Shida iko wapi ?
Kama una mihela ya kifisadi !
Kuna mbungi gani ukam'baiya BabySharo hata ka'Stalet !
Wakati na yeye anakufurahisha! Sharo anajitoa kula Papai kama hana akili nzuri .
mie wanaobust manyonyo, afu manyonyo yenye hayana mvuto!!!!!!
kero yangu kubwa kuona mtu mzima kanyanyua mkono kwenye daladala kashika bomba, kava sleevles halafu hajashave, nasikiaga kuchefukwa!
Me kero yangu ni baadhi ya member humu kuwa wavivu wa kunipa like.inakeera sana wakati me huwa siwabanii. Hata reputation tu inakuwa kero? Bofya ile nyota unayoiona kushoto bhana!
anakuwa kama kioja flan
Me kero yangu ni baadhi ya member humu kuwa wavivu wa kunipa like.inakeera sana wakati me huwa siwabanii. Hata reputation tu inakuwa kero? Bofya ile nyota unayoiona kushoto bhana!
mijitu inayotema tema mate hovyo barabarani......inanikera....
kero yangu mie kama huku dar ndo saana ukisimama kwenye gari basi lijanaume halina hata haya anakusimamia nyuma mara unahisi kitu kinakuchoma kumbe limeezeka turubai kwa mti mmoja ukihama anawewe afu jitu ziiima
Nyingne ni hili suala mtu anaita kwa busu afu eti anasema oya oyaa anti ee we antii oyaaa usipogeuka wanaanza sasa kuto mineno ya shombo
Nakumbuka Mwaka 2005 nilijibizana na dada mmoja ktk Daladala,
Tulitupiana maneno mpaka Nilifreeze.
Hyo ilikuwa mida ya saa2 Asbh.
Ile nafika Ofcn nikaambiwa na Boss kuwa kuna dada atakuja na ninatakiwa nimfanyie Usaili ili tumuajiri.
Ile kufika saa 4 tu mlango unagongwa akaingia yule dada aliekuwa ananitukana asubuhi ktk daladala,kumbe ndo ninaetakiwa nimfanyie usaili.
Baada ya Bosi kuondoka,Nilimkunja mule ofisini mpaka nilimchania nguo na Usaili sikumfanyia,nikamfukuzia mbali.
Basi mpaka leo akiniona Heshima na Adabu,japo hatukumwajiri pale.
Hii nayo ni Kero.
Usimdharau Usiemjua.
yan wangejua wanavnnikera. afu na wale wanaovaa nguo za usiku wakati wa mchana. eg. skin tight wananiboaje. bora uvae usiku
kero yangu kubwa kuona mtu mzima kanyanyua mkono kwenye daladala kashika bomba, kava sleevles halafu hajashave, nasikiaga kuchefukwa!
Tabia hyo wanayo wale wanaojiona Mabaunsa uchwara.
Ukute katoka Gym afu vinywele venyewe basi,vyekunduuu na tuunjanounjano afu kipilipili.
Kama una mimba,lazima itoke.
BTW cacico Mzima?
Me kero yangu ni baadhi ya member humu kuwa wavivu wa kunipa like.inakeera sana wakati me huwa siwabanii. Hata reputation tu inakuwa kero? Bofya ile nyota unayoiona kushoto bhana!
hii tena ni kero nyingine....vinauzi....vinataka vyenyewe ndio vikuchune......
Yani vinauzi sana.
Nguo zenyewe za kuazima mpaka Mkoko.
Halafu akija pale Yes! No! kibao.
Vinauzi sana hivi viakina Dimpoz na akina Bob Junior.
Arushaone kuanzia leo nitakuwa nakugongea like kila nikuonapo hapa jamvini, lol! i hope kero itapungua!!Me kero yangu ni baadhi ya member humu kuwa wavivu wa kunipa like.inakeera sana wakati me huwa siwabanii. Hata reputation tu inakuwa kero? Bofya ile nyota unayoiona kushoto bhana!
umeona eeeeeee?? mzima wewe bestito??duh,pole shost. bora kwa wanaume. basi ukute mdada anajidai du, ukicheck kwenye armpit unachefuka square!