Kero: Wanawake wengi wa Bongo hawaheshimu miadi (appointment)

Kero: Wanawake wengi wa Bongo hawaheshimu miadi (appointment)

Yaani kama ndio mnaenda kwenye harusi utakuta kila siku mnaingia saa tatu usiku wakati harusi inaanza saa moja. Uwa nachukia sana unakuta waliotangulia washapendeza kwa pombe na ukizingatia siku hizi round zinatolewa kwa mahesabu inabidi ukitoka hapo uunganishe Bar
Hahah!,,Ukitoka hapo inabidi uunganishe bar mkuu,wanashida sana hawa watu.
 
Unauliza kuzingatia muda bongo?!
Kwenda na wakati bongo hii au bongo nyingine?
Si wanawake tu wasio zingatia muda katika appointment bali hata wanaume nao ni hivyo hivyo.
Janga na kutofuata muda ni bongo ni janga la Taifa zima.
Hahah!,kweli janga la kitaifa.
 
Bibie anaweza kuoga kwa kasi na kuvaa ndani ya muda ila shida inakuja akifika stage ya kioo. Hapo atamaliza hata dk40 nzima kujipara na isitoshe anaweza akarudi stage iliopita!
Hahah!,inahitaji moyo sana kuwa vumilia kwenye hilo aisee Mkuu!
 
Kiukweli tu mwanamke anahitaji angalau 2hrs za kujiandaaa ...... nachukia saaana mtu ananiambia kwenda nae mahala afu baada ya dakika 30 anaanza kunisumbua sumbua !!!! Tupeane mda kidogo wajameni
Hahah!,si anakuwa anakukumbusha Mkuu?
 
Dah...miye Dakika 5 tu zikizidi hajatokea....nabwaga...kisha naamsha kwingine[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Pun
Siaanze kujiandaa masaa mawili kabla kama anajijua atatumia muda huo kujiandaa.

Dawa ni kuwaacha tuu au kama ni appointment akiexceed 15mn unasepa.
Punguza hasira tunakuwa tu nasubiri kioo kiruhusu tutoke
 
Tatizo la kitaifa, ila ukiona vipi mwachie usafiri wewe tangulia, au safari zake aende mwenyewe, msishangae baba na babu zetu walikuwa hawagombani na wake zao kwenye mambo madogo kama haya, sababu sokoni/shopping za nguo au viatu either anaenda baba au mama, kuongozana ni kama huna shughuli na hutakiwi kulalamika, umejipeleka mwenyewe..
Kama ni kanisani, shughuli za sherehe wewe waachie usafiri utangulie, au uvumilie..
 
Kweli kabisa Mkuu!
 
Back
Top Bottom