Kero: Wanawake wengi wa Bongo hawaheshimu miadi (appointment)

Kero: Wanawake wengi wa Bongo hawaheshimu miadi (appointment)

Ni Kher Huyo Anayefika,Kilchonikuta Mimi,Kimeniudh Na Kunikera,Mtu Tumepanga Vzuri Mpaka Asbuhi Yake Tunawacliana"Kmbe Amepanga Kunichomesha Mahindi,Na Pesa Amekula Ya Kutosha Tu,Nampangia Cha Kumfanya,Naamin Hatakaa Aje Anisahau! Is Better Uwe Muwazi Kwa Mtu,Hatokulazimisha.
 
Hii mbona ishu ndogo tu. Ukijua anachelewa ktk mihadi, muongezee saa mbili mbele, mfana unataka kuonananae saa tisa mwambie tuonane saa nane kamili huku ukijua target yako ni saa tisa. Na kwa wife kama kuna safari muwahishe saa moja mbele pia.
 
Back
Top Bottom