Kero: Wanawake wengi wa Bongo hawaheshimu miadi (appointment)

Kero: Wanawake wengi wa Bongo hawaheshimu miadi (appointment)

Kwa muda huwa hawajali kabisa, utakuta kaanza kuoga yeye mwanamke anatoka, baadae unafuata mwanaume lakini cha ajabu mwanaume unamaliza kujiandaa mwanamke bado.

hapo utakuta anatafuta nguo ya kuvaa tu ana nguo zaidi ya mwanaume lakini haoni nguo ya kuvaa
Huyu mm kabisa
 
Hahahahaha mkuu tunayoyaongea yapo na tunayaishi, sasa wewe mkuu una begi NNE za nguo lakini unatafuta huoni ya kuvaa hahaha wanaume fasta tu hatuna shida
Hahah!,wanashida kweli kwenye kujiandaa na kwenda na mda.
 
Mimi mwenyewe nimeahidiwa saa 8 muda huu saa nane na nusu hajatokea, naendelea kungoja huku napita Jf kwa kuwa papuchi hiyo naitaka sana. Mvumilivu hula mbivu.
 
Mimi mwenyewe nimeahidiwa saa 8 muda huu saa nane na nusu hajatokea, naendelea kungoja huku napita Jf kwa kuwa papuchi hiyo naitaka sana. Mvumilivu hula mbivu.
Hahah!,haya bhana endelea kuvumilia!
 
Huyu ni mimi kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haalgu nikichomeshwa mahindi mimi navyokereka sasa[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
 
Huyu ni mimi kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haalgu nikichomeshwa mahindi mimi navyokereka sasa[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
Ubadilike sasa Mkuu!
 
Back
Top Bottom