Kero: Wanawake wengi wa Bongo hawaheshimu miadi (appointment)

Kero: Wanawake wengi wa Bongo hawaheshimu miadi (appointment)

Jamani wanawake ndo tuko hvyo mtuvumilie tu tumeshaumbwa hivyo wengi wetu tunajivuta sana,,japo kwangu Mimi iko tofauti mwenzenu Mr wangu ndo anajua kujizungusha sehem anaejua kuwah yeye ni kazini tu lakini hizi domestic issues zote yani had huwa nakereka anajizungushaa kama piya
 
Me hata nishawazoea aiseee
Nikimuita saa nane namsubr
Saaa kumi
 
hiyo kawaida mbona...huoni hata bao zao zinachelewa sana......upige moyo konde muwe sawa....
 
Jamani wanawake ndo tuko hvyo mtuvumilie tu tumeshaumbwa hivyo wengi wetu tunajivuta sana,,japo kwangu Mimi iko tofauti mwenzenu Mr wangu ndo anajua kujizungusha sehem anaejua kuwah yeye ni kazini tu lakini hizi domestic issues zote yani had huwa nakereka anajizungushaa kama piya


Umenikumbusha mbali sana
Mchezo wa piya

 
Habari wakuu!


Nimefanya kautafiti kangu kafupi nimegundua moja kati ya Tabia ya wanawake wengi wa kibongo inayokera ni hili swala la kutoheshimu "Appointment".

Wanawake wengi wa kibongo hawana utamaduni wa kuheshimu
Muda na "Appointment" kwa mfano
Unaweza mkapanga appointment
Mkutane sehemu flani saa Tisa mchana lakini ukashangaa anakuja
Saa kumi na moja jioni na akifika
Wala haombi msamaha wa kuchelewa anaona kawaida tu!

Mfano mwingine anaweza akawa mke wako au mpenzi wako unae ishi
nae siku mnapanga muende kesho
Sehemu flani labda saa tatu asubuhi
Lakini utashangaa mpaka saa tatu
Inafika bado anajivutavuta sijui kwa
Nini?mpaka mnakuja kuondoka saa
Nne,hivi kwa nini wanawake wa kibongo hamjali Muda na Miadi
Inakera kwa kweli.

Wanaume wenzangu mnakabiliana
Vipi na hali kama hiyo kwa wanawake wa Bongo?,Mimi huwa
Sipendi kabisa mtu asiyejali Muda
na Appointment,ni vyema mtu kuwa
Mkweli kuliko kutoa miadi ambayo
Huwezi kuitekeleza!
Huu ni ukweli, yaani mtu asiyeheshimu muda mimi huwa ananikwaza sana!!!
 
hahha ukinikuta mie na shemeji yako sasa looh tukitak kutoka nitatiliwa vipodozi kwenye gari eti nijipodolee humo humo ndani ya gari sababu nitamaliza masaa mengi wew mwanaume mungu anakuona aisee dressing table yangu kaihamishia kwenye gari wasiwas han halafu
Ngoja na mm niige hii style ya shemeji yangu huyo!!! [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Cc Mama mimi
 
Kabisaa kwanza hata mawazo hamna unajichezea tu Mara piya,,huku makida makida
Haa haa haa huku ball,kombolela
Aiseee Ila matunda yake ndo
Haya tunayavuna ukubwan[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
kwa kweli mkuu ukweli usemwe tu, hii tabia inakera sana.

Mimi ni jana tu nimetoka kukutana kisa hiki.

Jana sikwenda kutafuta ridhiki nikaona wacha nimushtue aje geto kunisaidia usafi akaniambia ngoja mvua ipungue kama sio kuisha, mvua imekata saa7 mchana akaniahidi angekuja mda mfupi tu baada ya mvua kupungua ama kuisha, tokea mda huo alifika geto saa17:36 jioni nilishangaa sana.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom