goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,154
Unachekaaaaa unapenda ma-abuse. [emoji23]Hahahahaaaa
Nacheka saaana
Unachekaaaaa unapenda ma-abuse. [emoji23]Hahahahaaaa
Nacheka saaana
Maeneo yake husika kuleUnachekaaaaa unapenda ma-abuse. [emoji23]
Jina lingine inaitwa NMWARANDA. [emoji23] [emoji23] [emoji1]Maeneo yake husika kule
Jina lingine inaitwa NMWARANDA. [emoji23] [emoji23] [emoji1]Maeneo yake husika kule
NMWARANDA - umeniacha hapoJina lingine inaitwa NMWARANDA. [emoji23] [emoji23] [emoji1]
JF hamkosi mada za kulalama juu ya wanawake hii inakera sana.
Ok,sawa mkuu!Hii mbona ishu ndogo tu. Ukijua anachelewa ktk mihadi, muongezee saa mbili mbele, mfana unataka kuonananae saa tisa mwambie tuonane saa nane kamili huku ukijua target yako ni saa tisa. Na kwa wife kama kuna safari muwahishe saa moja mbele pia.
Hahah!,pole mkuu.Ni Kher Huyo Anayefika,Kilchonikuta Mimi,Kimeniudh Na Kunikera,Mtu Tumepanga Vzuri Mpaka Asbuhi Yake Tunawacliana"Kmbe Amepanga Kunichomesha Mahindi,Na Pesa Amekula Ya Kutosha Tu,Nampangia Cha Kumfanya,Naamin Hatakaa Aje Anisahau! Is Better Uwe Muwazi Kwa Mtu,Hatokulazimisha.
Na tunaweza chukua muda kujiandaa alafu tukitoka hamna hata jipya unashangaa tu "sasa alichopotezea muda ni nini haswa"!!!Kwa muda huwa hawajali kabisa, utakuta kaanza kuoga yeye mwanamke anatoka, baadae unafuata mwanaume lakini cha ajabu mwanaume unamaliza kujiandaa mwanamke bado.
hapo utakuta anatafuta nguo ya kuvaa tu ana nguo zaidi ya mwanaume lakini haoni nguo ya kuvaa
Hahahaaa! Wakati mwingine unakuta unapanga miadi ila ikifika muda basi tu hujisikii unaamua kughairi.Yaani ndio nimetoka kugombana na mama mmoja hivi, yaani kila tukipanga appointment ya mgegendo huwa inachukuwa wiki na zaidi kukamilika, mfano tulipanga toka jumamosi usiku nile tunda lakini kila siku kunavuka sababu hadi kero.... kumbe tuko wengi aisee
Kwa ni sisi tuna moyo wachuma,kwamba hatuchoki kuvumilia?,Dawa ni badilikeni tu Muheshimu Mda!.Na tunaweza chukua muda kujiandaa alafu tukitoka hamna hata jipya unashangaa tu "sasa alichopotezea muda ni nini haswa"!!!
Mie naweza nyoosha nguo usiku alafu asubuhi nikaghairi kuivaa nikaanza kutafuta nyingine. Kazi ipo, mtuvumilie tu.
Atleast leo umejitahid kuandika comment ndefu namna hii unastahili pongezi[emoji122] [emoji122] maana sio kwa vinukta vilehahha ukinikuta mie na shemeji yako sasa looh tukitak kutoka nitatiliwa vipodozi kwenye gari eti nijipodolee humo humo ndani ya gari sababu nitamaliza masaa mengi wew mwanaume mungu anakuona aisee dressing table yangu kaihamishia kwenye gari wasiwas han halafu
Wahindi nyie ni tofauti na hawa kina mwajumaSipendagi kuchelewa kwenye appointment. Na sipendi mtu aniweke.
Kweli tupo tofauti