Kero: Wanawake wengi wa Bongo hawaheshimu miadi (appointment)

Kero: Wanawake wengi wa Bongo hawaheshimu miadi (appointment)

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Dhaaaaaaaa kwenye huo mchezo
Sket za kina Pendo nlizifunua sana
Aiseee kule mgomban[emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaha nyie ndo mlokuaga mnacheza mnajificha hamuonekani hadi watu wanaamua kuahirisha mchezo
 
Hahaha nyie ndo mlokuaga mnacheza mnajificha hamuonekani hadi watu wanaamua kuahirisha mchezo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] aiseee

Acha kabsa mnajinasa kwenye
Mgomba hapo Pendo anakuuambia
Usiingize yote[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] aiseee

Acha kabsa mnajinasa kwenye
Mgomba hapo Pendo anakuuambia
Usiingize yote[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wew unaonekana ulikua unavizia sana warembo
 
Usiseme wanawake wa bongo sema wabongo wote kwa ujumla mna hii tabia sio wanawake sio wanaume wote mnakera kwenye suala la Kuheshimu appointment.

Kwani ni lini mlianza kuheshimu muda nyie na wakati hata kwenye interview interviewer ndio anawahi kuliko hata wewe interviewee
 
kwa kweli mkuu ukweli usemwe tu, hii tabia inakera sana.

Mimi ni jana tu nimetoka kukutana kisa hiki.

Jana sikwenda kutafuta ridhiki nikaona wacha nimushtue aje geto kunisaidia usafi akaniambia ngoja mvua ipungue kama sio kuisha, mvua imekata saa7 mchana akaniahidi angekuja mda mfupi tu baada ya mvua kupungua ama kuisha, tokea mda huo alifika geto saa17:36 jioni nilishangaa sana.
Mtu wa usafi ndo anakufanyia hivyo au humlipagi hela yake?
 
Mie naona kikubwa mtuvumilie tu na pia ikiwa safari ni moja basi wacha mwanamke ajiandae kabla ili iwezekane kwenda sawa.

Na hii kwa baadhi ya mambo wote inatuhusu.
Me nkiwa natoka na wifi ako
Yy akitoka kuoga nakaa nusu
Saa ndo mm nkaoge
 
Aisee mi niko tofauti nikiwa na appointment na mtu tukutane saa 10.ikifika mie nishafika eneo la tukio akichelewa dk.30 naondoka,tutapanga siku nyingine atakayoona ni rahisi kwake kufika muda muafaka! Labda mimi ndo niwe na shida ndo nitasubiri.Napenda sana kujali muda!
 
Yaani kama ndio mnaenda kwenye harusi utakuta kila siku mnaingia saa tatu usiku wakati harusi inaanza saa moja. Uwa nachukia sana unakuta waliotangulia washapendeza kwa pombe na ukizingatia siku hizi round zinatolewa kwa mahesabu inabidi ukitoka hapo uunganishe Bar
 
Unauliza kuzingatia muda bongo?!
Kwenda na wakati bongo hii au bongo nyingine?
Si wanawake tu wasio zingatia muda katika appointment bali hata wanaume nao ni hivyo hivyo.
Janga na kutofuata muda ni bongo ni janga la Taifa zima.
 
Vumiliaga tu mke wangu kwa sababu ananijua tukipanga mtoko nikiona anachelewa namuacha so huwa anaanza kujiandaa mapema vingine unamaliza kiume
 
Aisee mi niko tofauti nikiwa na appointment na mtu tukutane saa 10.ikifika mie nishafika eneo la tukio akichelewa dk.30 naondoka,tutapanga siku nyingine atakayoona ni rahisi kwake kufika muda muafaka! Labda mimi ndo niwe na shida ndo nitasubiri.Napenda sana kujali muda!
Bora wewe mkuu.
 
Kasome bibilia tumeambiwa na Mungu tuishi nao kwa akili.ukiishi nao kwa akili wala hutasumbuka.
 
Back
Top Bottom