Kero: Wanawake wengi wa Bongo hawaheshimu miadi (appointment)

Kero: Wanawake wengi wa Bongo hawaheshimu miadi (appointment)

Habari wakuu!

Nimefanya kautafiti kangu kafupi nimegundua moja kati ya Tabia ya wanawake wengi wa kibongo inayokera ni hili swala la kutoheshimu "Appointment".

Wanawake wengi wa kibongo hawana utamaduni wa kuheshimu
Muda na "Appointment" kwa mfano
Unaweza mkapanga appointment
Mkutane sehemu flani saa Tisa mchana lakini ukashangaa anakuja
Saa kumi na moja jioni na akifika
Wala haombi msamaha wa kuchelewa anaona kawaida tu!

Mfano mwingine anaweza akawa mke wako au mpenzi wako unae ishi
nae siku mnapanga muende kesho
Sehemu flani labda saa tatu asubuhi
Lakini utashangaa mpaka saa tatu
Inafika bado anajivutavuta sijui kwa
Nini?mpaka mnakuja kuondoka saa
Nne,hivi kwa nini wanawake wa kibongo hamjali Muda na Miadi
Inakera kwa kweli.

Wanaume wenzangu mnakabiliana
Vipi na hali kama hiyo kwa wanawake wa Bongo?,Mimi huwa
Sipendi kabisa mtu asiyejali Muda
na Appointment,ni vyema mtu kuwa
Mkweli kuliko kutoa miadi ambayo
Huwezi kuitekeleza!
Wazi kabisa mtoa Uzi umechomeshwa maindi
Twende kwenye main point, uzingatiaj wa appointment inategemea na status ya mtu kama ukiwa mzito appointment mnapanga saa 10 lakn utakumbushwa sku nzma na saa 10 kasoro kashafika sehem husika

Kaza moyo kaza na akil pia Ayo yatapita tu
 
Kwa muda huwa hawajali kabisa, utakuta kaanza kuoga yeye mwanamke anatoka, baadae unafuata mwanaume lakini cha ajabu mwanaume unamaliza kujiandaa mwanamke bado.

hapo utakuta anatafuta nguo ya kuvaa tu ana nguo zaidi ya mwanaume lakini haoni nguo ya kuvaa
hahha ukinikuta mie na shemeji yako sasa looh tukitak kutoka nitatiliwa vipodozi kwenye gari eti nijipodolee humo humo ndani ya gari sababu nitamaliza masaa mengi wew mwanaume mungu anakuona aisee dressing table yangu kaihamishia kwenye gari wasiwas han halafu
 
Hahahahaha, bora tu kwa kweli kuna side mirror pale utakuwa unajiangalia huku unajipodoa mnapoteza sana muda aiseee hahaha shemeji safi sana
 
wengi wao ndivyo walivyo..
ndio maana kuna ME wengine wakitaka wakutane nao muda fulani wantaja muda wa mapema zaidi ili kutouzishana sura bila sababu
 
wengi wao ndivyo walivyo..
ndio maana kuna ME wengine wakitaka wakutane nao muda fulani wantaja muda wa mapema zaidi ili kutouzishana sura bila sababu
Wana shida kwa kweli!
 
hahha ukinikuta mie na shemeji yako sasa looh tukitak kutoka nitatiliwa vipodozi kwenye gari eti nijipodolee humo humo ndani ya gari sababu nitamaliza masaa mengi wew mwanaume mungu anakuona aisee dressing table yangu kaihamishia kwenye gari wasiwas han halafu
Hahah!,mnasumbua kwa kweli!
 
Mwanamke inabidi apewe masaa 2 ya kujiandaa, wewe kama unamtaka mkutane SAA 10 jion.basi mwambie SAA 8 mchana awe tiyari.

Ingawa kuheshimu muda ni lazima, binafsi Niko makini na muda.
Siaanze kujiandaa masaa mawili kabla kama anajijua atatumia muda huo kujiandaa.

Dawa ni kuwaacha tuu au kama ni appointment akiexceed 15mn unasepa.
 
Hahahahaha, bora tu kwa kweli kuna side mirror pale utakuwa unajiangalia huku unajipodoa mnapoteza sana muda aiseee hahaha shemeji safi sana
ananiuzi san hajui tu yaan nikiwa na mtoko nae yaan naanza kujiandaa mapema kabl yey hajafany lolote la sivyo ndo hayo ya kuhamishiwa vipodoz vyangu ndani ya gari
 
ananiuzi san hajui tu yaan nikiwa na mtoko nae yaan naanza kujiandaa mapema kabl yey hajafany lolote la sivyo ndo hayo ya kuhamishiwa vipodoz vyangu ndani ya gari

Bora ukijiandaa mapema ndiyo mpango mzima ,vinginevyo ukubali ya kwa gari hahaha
 
Kama unasafari na mwanamke na inatakiwa muondoke saa 12 asubuhi, bhasi we muamshe saa 10 usiku ili ajiandae! Ikija kufika saa 12 asubuhi atakua tayari kamaliza na mtaondoka.
 
kwa kweli mkuu ukweli usemwe tu, hii tabia inakera sana.

Mimi ni jana tu nimetoka kukutana kisa hiki.

Jana sikwenda kutafuta ridhiki nikaona wacha nimushtue aje geto kunisaidia usafi akaniambia ngoja mvua ipungue kama sio kuisha, mvua imekata saa7 mchana akaniahidi angekuja mda mfupi tu baada ya mvua kupungua ama kuisha, tokea mda huo alifika geto saa17:36 jioni nilishangaa sana.
 
Kama unasafari na mwanamke na inatakiwa muondoke saa 12 asubuhi, bhasi we muamshe saa 10 usiku ili ajiandae! Ikija kufika saa 12 asubuhi atakua tayari kamaliza na mtaondoka.
Yani ni shida kweli!
 
Mwanamke inabidi apewe masaa 2 ya kujiandaa, wewe kama unamtaka mkutane SAA 10 jion.basi mwambie SAA 8 mchana awe tiyari.

Ingawa kuheshimu muda ni lazima, binafsi Niko makini na muda.
Hapo umenena me huwaga nawapatia hataree nawapaga masaa ma3...utakuta namwambia tuonane saa 7...kumbe me target yangu saa 10 kabsa na unakuta anafika saa 10 kwel so wanawake i inabid kuishi nao kwa akili sana, ata kwenye biblia imeandikwa....mwanaume usipokuwa na akili kila ck utakuwa unalalamika....
 
Back
Top Bottom