Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,577
- 18,476
Hata wanaume baadhi hatujui ku keep timeWanawake ndio wanaongoza kwa tabia hiyo.
Hata wanaume baadhi hatujui ku keep timeWanawake ndio wanaongoza kwa tabia hiyo.
Unauliza kuzingatia muda bongo?!
Kwenda na wakati bongo hii au bongo nyingine?
Si wanawake tu wasio zingatia muda katika appointment bali hata wanaume nao ni hivyo hivyo.
Janga na kutofuata muda ni bongo ni janga la Taifa zima.
Apo sawaMwanamke inabidi apewe masaa 2 ya kujiandaa, wewe kama unamtaka mkutane SAA 10 jion.basi mwambie SAA 8 mchana awe tiyari.
Ingawa kuheshimu muda ni lazima, binafsi Niko makini na muda.
Hongera yako mkuu kwa kujali Mda!Jamani wanawake ndo tuko hvyo mtuvumilie tu tumeshaumbwa hivyo wengi wetu tunajivuta sana,,japo kwangu Mimi iko tofauti mwenzenu Mr wangu ndo anajua kujizungusha sehem anaejua kuwah yeye ni kazini tu lakini hizi domestic issues zote yani had huwa nakereka anajizungushaa kama piya
Ni changamoto Mkuu lakini wanawake ndio wamezidi!.Usiseme wanawake wa bongo sema wabongo wote kwa ujumla mna hii tabia sio wanawake sio wanaume wote mnakera kwenye suala la Kuheshimu appointment.
Kwani ni lini mlianza kuheshimu muda nyie na wakati hata kwenye interview interviewer ndio anawahi kuliko hata wewe interviewee
Tuvumilieni to hamna namnaTunasoma maandiko lakini ni kazi sana kuwavumilia!
Safi sana Mkuu!Aisee mi niko tofauti nikiwa na appointment na mtu tukutane saa 10.ikifika mie nishafika eneo la tukio akichelewa dk.30 naondoka,tutapanga siku nyingine atakayoona ni rahisi kwake kufika muda muafaka! Labda mimi ndo niwe na shida ndo nitasubiri.Napenda sana kujali muda!