nyaggad
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 1,160
- 692
Habari wakuu,
Nimefanya kautafiti kangu kafupi nimegundua moja kati ya tabia ya wanawake wengi wa kibongo inayokera ni hili swala la kutoheshimu miadi "appointment".Wanawake wengi wa kibongo hawana utamaduni wa kuheshimu.
Muda na "appointment" kwa mfano
unaweza mkapanga appointment
mkutane sehemu flani saa tisa mchana lakini ukashangaa anakuja saa kumi na moja jioni na akifika.Wala haombi msamaha wa kuchelewa anaona kawaida tu.
Mfano mwingine anaweza akawa mke wako au mpenzi wako unae ishi nae siku mnapanga muende kesho sehemu flani labda saa tatu asubuhi lakini utashangaa mpaka saa tatu
inafika bado anajivutavuta sijui kwa
Nini? Mpaka mnakuja kuondoka saa
nne, hivi kwanini wanawake wa kibongo hamjali muda na miadi inakera kwa kweli.
Wanaume wenzangu mnakabiliana
vipi na hali kama hiyo kwa wanawake wa Bongo? Mimi huwa sipendi kabisa mtu asiyejali muda
na appointment ni vyema mtu kuwa
mkweli kuliko kutoa miadi ambayo
huwezi kuitekeleza.