Mkuu MB 66?Mkuu tayari imekubali, ipo hapo juu mwanzo ilikua inaleta wenge
Nimesikiliza mkuuWe lisikilize tu uone jinsi linavyoleta ngendembwe
Sasa fikiria unapamana na hiyo kero usiku kucha yaani hulali usingizi una'vapour, hapa penyewe vitu vinaita huko juu. Ngoja nitambae na hiyo formula walioweka wadau hapo juu, then nitaleta mrejesho.Nimesikiliza mkuu
Ni kama mtu anajikuna 🤣
Hao wadudu siyo kabisa, pole sana😫😫 🤦🏾♂️🤦🏾♂️Mkuu tayari imekubali, ipo hapo juu mwanzo ilikua inaleta wenge
Achana na uyo mpuuzi we kanunue dudu kila weka kwenye ndoo ya maji panda juu na brush paka mbao zakoNaomba unieleweshe hapa kiongozi "monitor spirit/familiar spirit"
mb 68 zoteNdugu zangu habari ya usiku?
Kama kichwa cha habari kinavyosema, nimekumbwa na wadudu wala mbao juu ya dari / bati kwa takribani miezi 6 sasa. Kero iliyopo sasa ni kwamba nyakati za usiku hao wadudu wanapiga kelele hatari wakiwa wanakula hizo mbao.
Nimejaribu mara kadhaa kupanda huko juu kuona kama nitawauwa kwa spoku kwenye vile vishimo lakini wapi nimeambulia patupu. Mwenye kujua namna ya kuwamaliza naomba njia tafadhali.
Nimeaambatanisha kelele ninayokumbana nayo hapo chini kwa msaada zaidi. Asanteni