SlimFit
JF-Expert Member
- Mar 29, 2016
- 2,283
- 3,544
Ndugu zangu habari ya usiku?
Kama kichwa cha habari kinavyosema, nimekumbwa na wadudu wala mbao juu ya dari / bati kwa takribani miezi 6 sasa. Kero iliyopo sasa ni kwamba nyakati za usiku hao wadudu wanapiga kelele hatari wakiwa wanakula hizo mbao.
Nimejaribu mara kadhaa kupanda huko juu kuona kama nitawauwa kwa spoku kwenye vile vishimo lakini wapi nimeambulia patupu. Mwenye kujua namna ya kuwamaliza naomba njia tafadhali.
Nimeaambatanisha kelele ninayokumbana nayo hapo chini kwa msaada zaidi. Asanteni