The Gojo
Member
- Feb 27, 2014
- 31
- 11
Habari!
Nataka kufikisha kero hii kwa niaba ya wasafiri wanaoingia na kutoka katika Stand Kuu ya Mabasi, Dodoma. Kila mtu anajua kuwa ni wajibu wa raia kulipa kodi, lakini ni lazima kuwe na mantiki katika hiyo kodi. Nimeshangazwa sana na utaratibu wa ushuru uliowekwa katika stand hii ambao sijaona mantiki yake.
Nataka kufikisha dukuduku langu kwenu waungwana. Kuna suala limenikera sana. Kuna utaratibu wa kulipa ushuru getini haijalishi una ticket ya kielectronic au ya kawaida tangu 29/11/2023. Mbaya zaidi wamepandisha ni Tsh 300 badala ya Tsh 200.
Hii imekaaaje? Reasoning yangu inakataa kuhusu huu utaratibu.
Ni kwamba sasa raia wa nchi hii wanawekewa kodi, tozo na ushuru kila mahali bila hata kujali hali ngumu ya uchumi iliyoko mtaani?Kodi zote ktk madini yanayochombwa karibia nchi nzima na rasilimali zingine hazitoshi kuipatia serikali fedha inayohitaji?
Naomba msaada kuwauliza wahusika ni kwanini wameamua hivi na kusababisha kero na usumbufu kwa wasafiri wengi. Kero hii inasababisha foreni isiyo na sababu na pia abiria wengine wakikosa hiyo 300 wanashindwa kusafiri. Naomba kuwasiilsha