Kero: George Marato wa ITV

Wengine ni wivu tuuu. Napenda Sana mtu kuwa unique. Hawa wanahabari wawili hasa hasa huyu wa michezo inaonesha walivyo iva ktk tasnia yao. Ni dalili ya kujiamini. Napenda sana. Ni sawa na wale wa DW SAA 7
 
Yani nafsi yangu inawapenda sana MARATU na KIVUYO!
 
Damn it. Hata uchawi ulianzanga hivi hivi yaani mtu kabuni ki identity chake anatafuta riziki wewe huku kisa biashara zako zimekwama unamchukia.
 
Kwani weeeeeewee kinakuuuuuuuuma nini? (katika sauti ya george}
 
Elimu,elimu elimu wakenya tutawafukuza sana na hatuta wakamata na ndio maana hapa wako wengi tu wanapiga kazi uliza kenya kuna wa tz wangapi wanafanya kazi huko-ni aibu.
Watu kama nyie huwa mnaboa sana, wakenya wakenya wewe fanya yako, ndio maana wanawadharau Kwani kila kitu lazima utaje wakenya ndio wanaokulisha au? Mbona ni binadamu km wewe tu, wewe unawaona km special saana au??
Kama unawapenda sana na wewe si uwe mkenya sasa.
 
Wasiompenda George maratu ni wale watu wenye msongo wa mawazo na wanaochukulia kila kitu serious.

Mimi namwelewa sana
 
 
Simpendi hata kidogo,sijui hata kwenye usaili alipitaje
Ukikutan naye utashangaa sana kuona kuwa ndo huwa anavuta sauti namna ile,

Kwenye maisha ya kawaida anaongea kawaida kabisa, tena ni miongoni mwa watu wanaoongea haraka haraka!
 
Hiki sio kiswahili cha Kenya
 
Umerogwa wewe, au una undugu na yesu - ney wa mitego
Uyo mwandishi napenda nimsikie, na irene owoya nae pia nampenda akitangaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…