Wakenya wabunifu.......huwezi kuwakuta wakitangaza kipuuzi kama hawa wetu........hata commercial zao zimeenda shule......sio kama za kina Majuto na magodoro Dodoma........kichefuchefu kitupu.........
Bora hata hao watangazaji kuliko matangazo ya biashara ya majuto na ivory zake, kwa kweli yanakera na unaweza kupiga marufuku watoto wako kununua hizo bidhaa
Kuna yule wa taarifa ya michezo khaaaaa ...ana misamiatiii anavuta sauti... nikimsikia tu nahamisha station..jina lake limenitoka sikapendi..nachefukwagaa