pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 6,477
- 4,876
Kutoa taarifa ya corona ndiyo kupambana?Mkuu, hebu acha kuwa Bwege, uwe unaumiza kichwa kufikiri, stop being an idiot!
Ni Mungu tu ndo anatusaidia watanzania, unadhani hali ikiwa mbaya Tanzania Magufuli atafanya nini Kama siyo kufukuza watu kazi hovyo na kwenda kujificha Chato?
Usimcheke Kenyatta, anaipambania nchi yake.
Tatizo lenu mmejifika ujuha wa kumwabudu Magufuli, kwenu nyie kila ujinga wa Magufuli ni jambo jema.
Ni heri ukose kila kitu, kuliko kukosa akili Kama nyie mlivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapambano yake yameleta mabadiliko yoyote?