Kenyatta amechanganyikiwa, Magufuli ame-relax

So raisi afanyeje sasa?unataka atangaze watu mkae majumbani ? Me binafsi nataka nishinde nyumbani na familia yangu ila hali ya uchumi inabidi nikawe mzururaji fanya kazi ndugu njaa inauma kuliko hata corona
 
Wakati Rais wa Kenya akiongea na Taifa lake kila muda kuwapatia updates ya ugonjwa wa Corona.

Rais wetu Magufuli ame-relax wala haongei na Taifa wala kuweka strategies zozote za kudhibiti Corona, Rais yupo kimya, Waziri wa Afya alionyesha hofu mapema kuwa Tanzania haiwezi kupambana na Corona. Kama Mungu ataamua kutuacha basi hatuna namna.

Inasikitisha kwamba serikali haichukui hata hatua za kibinadamu kuliepuka hili balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa hakuna. Michango hamtoi
Wafanyeje

Korona ni janga ila njaa ni janga zaidi
 
Hamia Kenya kama inakuuma sana.

Wapi kuna vifo vingi zaidi vya corona hadi sasa, kwa aliyerelax au aliyepanic?

Kama hutaki kufanya kazi unataka kulala ndani jifungie na familia yako, wengine hayo mafua ya mizungu hayatutishi tunapiga box kama kawa.

Lockdown nchi nzima kisa mizungu inafanya ni ujuha.
 
Mungu aliye mwingi wa fadhili na aendelee kutufumbata kwenye vitanga vyake! Asituache, akituachia tumekwishaa!
Wakati Rais wa Kenya akiongea na Taifa lake kila muda kuwapatia updates ya ugonjwa wa Corona.

Rais wetu Magufuli ame-relax wala haongei na Taifa wala kuweka strategies zozote za kudhibiti Corona, Rais yupo kimya, Waziri wa Afya alionyesha hofu mapema kuwa Tanzania haiwezi kupambana na Corona. Kama Mungu ataamua kutuacha basi hatuna namna.

Inasikitisha kwamba serikali haichukui hata hatua za kibinadamu kuliepuka hili balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli kenyata kachanganyikiwa. Kawa rais kawa msemaji wa serkali kawa waziri wa afya kawa general ispector of police kawa kila kitu na mambo bado hayakai sawa wakati huku down south Magu karelax na mambo yanaenda.
 
Unatoa taarifa au unafanya siasa inamana hatua zote zinazo chukuliwa huzion.? Kwa taarifa yako hamna njia sahihi ya kupambana na Corona sasaiv Ila ni kila mtu anajaribu kwa uwezo wake
Wakati Rais wa Kenya akiongea na Taifa lake kila muda kuwapatia updates ya ugonjwa wa Corona.

Rais wetu Magufuli ame-relax wala haongei na Taifa wala kuweka strategies zozote za kudhibiti Corona, Rais yupo kimya, Waziri wa Afya alionyesha hofu mapema kuwa Tanzania haiwezi kupambana na Corona. Kama Mungu ataamua kutuacha basi hatuna namna.

Inasikitisha kwamba serikali haichukui hata hatua za kibinadamu kuliepuka hili balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raisi wetu anafahamu kuwa huu ugonjwa ni mdogo.

Na ufahamu wake hauna tofauti na wakwangu yaani ni kama hivi
Corona sio gonjwa kubwa kama tunavyolichukulia.

Yaani kwenye watu 200
wanaokufa 8
Wanaopona 150
wanaokuwa mahututi 42.
Cha mtoto.
Narudia tena Cha mtoto.

Tena kwenye hao 8
Wazee 6
Vijana lakini waliokuwa na matatizo yao hapo kabla 2.

Sasa kwanini tunaogofya sana.

Mwenye kupiga anyooshe kidole juu.
 
Back
Top Bottom