Na wanamjadili kuwa aachie nchi.
Na wanamjadili kuwa aachie nchi.
Yuko kwako!
Mara ya mwisho alioneshwa anakunywa kahawa kijiweni chato from there sijasikia habari zake, rais wa nchi hii yuko wapi?Last time nilinuona ame-relax pale juu ya mawe ikulu Dom,sijamuona tena baada ya pale.
Rais wa China hajawahi kuongea na wananchi wake but in China now Corona is a thing of the past.. Rais Magufuli sio MTU wa kuongozwa na mihemko.Wakati Rais wa Kenya akiongea na Taifa lake kila muda kuwapatia updates ya ugonjwa wa Corona.
Rais wetu Magufuli ame-relax wala haongei na Taifa wala kuweka strategies zozote za kudhibiti Corona, Rais yupo kimya, Waziri wa Afya alionyesha hofu mapema kuwa Tanzania haiwezi kupambana na Corona. Kama Mungu ataamua kutuacha basi hatuna namna.
Inasikitisha kwamba serikali haichukui hata hatua za kibinadamu kuliepuka hili balaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
umenikumbusha jamaa mmoja hivi skuli enzi hizo.Wakati Rais wa Kenya akiongea na Taifa lake kila muda kuwapatia updates ya ugonjwa wa Corona.
Rais wetu Magufuli ame-relax wala haongei na Taifa wala kuweka strategies zozote za kudhibiti Corona, Rais yupo kimya, Waziri wa Afya alionyesha hofu mapema kuwa Tanzania haiwezi kupambana na Corona. Kama Mungu ataamua kutuacha basi hatuna namna.
Inasikitisha kwamba serikali haichukui hata hatua za kibinadamu kuliepuka hili balaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Balozi zimefungwa, shule vyuo vimefungwa.Mara ya mwisho alioneshwa anakunywa kahawa kijiweni chato from there sijasikia habari zake, rais wa nchi hii yuko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo ni jamaa mmoja kati ya wanafunzi 80 mliokuwepo.umenikumbusha jamaa mmoja hivi skuli enzi hizo.
there was this Physics paper (mtihani). baada ya kutoka kwenye chumba cha mtihani kuna jamaa mmoja alionekana yuko very relaxed na kudai hakutegemea ile paper ingekuwa rahisi namna ile. alitupanikisha sana (wakiwemo vipanga) tulioiona ile paper ni ngumu.
matokeo? jamaa aliibuka na 12% (F) na sisi wengine walau tukawa na 50% - 70% hapo. mtihani wa taifa jamaa aliondoka na div "0".
so, siyo kila unayemwona ame relax kwenye situation fulani anajua anachokifanya. wengi wao ni mbumbumbu tu!
Hatua zilizochukuliwa za kufunga mashule na kuweka wanaotoka nchi zilizoathirika karantini na level siti ktk mabasi kuondoa maongamano huoni ni hatua?
kama unataka lockdown ili utafute point za kisiasa imekula kwako mkuu. Ground your own family...
Unataka na huku polisi wauwe watu kwa ajili ya kujikinga na corona kama ilivyoyekea kwa kinyatta ndio ujue hatua zimechukuliwa?Wakati Rais wa Kenya akiongea na Taifa lake kila muda kuwapatia updates ya ugonjwa wa Corona.
Rais wetu Magufuli ame-relax wala haongei na Taifa wala kuweka strategies zozote za kudhibiti Corona, Rais yupo kimya, Waziri wa Afya alionyesha hofu mapema kuwa Tanzania haiwezi kupambana na Corona. Kama Mungu ataamua kutuacha basi hatuna namna.
Inasikitisha kwamba serikali haichukui hata hatua za kibinadamu kuliepuka hili balaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatua zilizochukuliwa za kufunga mashule na kuweka wanaotoka nchi zilizoathirika karantini na level siti ktk mabasi kuondoa maongamano huoni ni hatua?
kama unataka lockdown ili utafute point za kisiasa imekula kwako mkuu. Ground your own family...
Wanashangaza sana hawa watu. Wametumwa na ibilisi.Unajua kuna watu wametumwa na mbaya zaidi inawezekana wametumwa na ibilisi. Yaani wao wanachotaka kukisikia ni lockdown tu, ila hatua nyingine zoote wao hata hawazisikii. Na watu hao ndio wale kwa asilimia kubwa ni wavivu kuanzia mwilini hadi akilini. Anataka lockdown halafu njaa ikianza ndio huyo huyo atakuwa wa kwanza kuja na kulalamika hapa kuwa serikali inawaacha watu wake wafe kwa njaa na kuwafungia ndani.
Hapo ukimwambia atoe hata buku ya kununulia dawa ya kupuliza hana halafu anapiga kelele hapa lockdown lockdown. Shwaini kabisa!!
Na wanamjadili kuwa aachie nchi.
Sisi tukishaumwa Corona tukapona..Kila mtu apambane na Hali yake
Ile kauli ya Waziri wa Afya kwa nchi inayojua uongozi ilitosha kumfanya atolewe kazini.Wakati Rais wa Kenya akiongea na Taifa lake kila muda kuwapatia updates ya ugonjwa wa Corona.