Kenyatta amechanganyikiwa, Magufuli ame-relax

Kenyatta amechanganyikiwa, Magufuli ame-relax

Kuna mmoja wao anaona hali ikiwa mbaya zaidi anaweza kufaidika kwa namna fulani. Yaani itakuwa faida kwake. Madaraka matamu, lakini sijui kama ni matamu pale utakapokuwa una tawala mawe tu baada ya raia kufa.
 
Nakukumbuka wakati nipo secondary kuna jamaa mmoja alikuwa mkali wa hesabu hatari, hakuna swali lilikuwa linakatiza.

Ajabu alikua anakesha anasolve maswali darasani wakati sisi viazi tumelala tu bwenini.

Nilikuwa nawaza huyu jamaa anaenda kusoma kitu gani wakati kila kitu anakijua??

Ila mwisho wa siku (Necta) wote tulipata B.

Massage sent and delivered.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati Rais wa Kenya akiongea na Taifa lake kila muda kuwapatia updates ya ugonjwa wa Corona.

Rais wetu Magufuli ame-relax wala haongei na Taifa wala kuweka strategies zozote za kudhibiti Corona, Rais yupo kimya, Waziri wa Afya alionyesha hofu mapema kuwa Tanzania haiwezi kupambana na Corona. Kama Mungu ataamua kutuacha basi hatuna namna.

Inasikitisha kwamba serikali haichukui hata hatua za kibinadamu kuliepuka hili balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app

We hujawasikia wenzio wanataka wapite bila kupingwa na bila uchaguzi sasa Corona ndio fursa, Bashite mbona anaongea na kuchukua hatua mbalimbali.
 
Kwa kweli kenyata kachanganyikiwa. Kawa rais kawa msemaji wa serkali kawa waziri wa afya kawa general ispector of police kawa kila kitu na mambo bado hayakai sawa wakati huku down south Magu karelax na mambo yanaenda.
Mkuu, hebu acha kuwa Bwege, uwe unaumiza kichwa kufikiri, stop being an idiot!
Ni Mungu tu ndo anatusaidia watanzania, unadhani hali ikiwa mbaya Tanzania Magufuli atafanya nini Kama siyo kufukuza watu kazi hovyo na kwenda kujificha Chato?
Usimcheke Kenyatta, anaipambania nchi yake.
Tatizo lenu mmejifika ujuha wa kumwabudu Magufuli, kwenu nyie kila ujinga wa Magufuli ni jambo jema.
Ni heri ukose kila kitu, kuliko kukosa akili Kama nyie mlivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati Rais wa Kenya akiongea na Taifa lake kila muda kuwapatia updates ya ugonjwa wa Corona.

Rais wetu Magufuli ame-relax wala haongei na Taifa wala kuweka strategies zozote za kudhibiti Corona, Rais yupo kimya, Waziri wa Afya alionyesha hofu mapema kuwa Tanzania haiwezi kupambana na Corona. Kama Mungu ataamua kutuacha basi hatuna namna.

Inasikitisha kwamba serikali haichukui hata hatua za kibinadamu kuliepuka hili balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili nyingi huondoa maarifa. Tunatenda kana kwamba sisi tuna Corona ya aina yetu, na wakuu wanasema hatuta copy na ku paste.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Tunachagua kama vipofu, kisha tunalalama kama vichaa. Sasa tuamue: ama tuchague viongozi wetu kwa makini, au tukae kimya wakati wakitunyanyasa. Wachagua hovyo wasiwe wasema hovyo wakitendewa hovyo."-Jenerali Ulimwengu
Mfumo wa uchaguzi Tanzania hauwapi nafasi wapiga kura kuchagua kiongozi wamtakae. Kura zinahesabiwa kwenye vituo na kisha kupelekwa kituo kimoja kujumlisha kupata mshindi wa jumla. Akishindwa wamtakaye, zoezi la kuhesabu kura za vituo vyote huanza, kura za ziada hupenyezwa na matokeo hubadirika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Tunachagua kama vipofu, kisha tunalalama kama vichaa. Sasa tuamue: ama tuchague viongozi wetu kwa makini, au tukae kimya wakati wakitunyanyasa. Wachagua hovyo wasiwe wasema hovyo wakitendewa hovyo."-Jenerali Ulimwengu
Aliecgagua km kipofu labda ni baba yako na mama yako wtz tunajitambua na ndio maana tukamchagua magu na kuwaacha watu wanaongozwa na akili ndogo DJ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
viva rais wetu viva, msitutishena mafua yenu... nyie kama mmeugua mkajifungieni huko, sisi hatuna shida kiasi hicho

yaani mtu uzaliwe tanzania, ukulie tanzania, hujawah toka hata mara moja kwenda nchi jirani afu leo uogope korona? is it kaming'ikaming'i?

trend inaonesha km ushawahi kuwa mtu wa misele jishtukishe na ujifungie... nchi yetu wengine ni lockdown tosha
Da Imebidi nicheke tu
 
Wakati Rais wa Kenya akiongea na Taifa lake kila muda kuwapatia updates ya ugonjwa wa Corona.

Rais wetu Magufuli ame-relax wala haongei na Taifa wala kuweka strategies zozote za kudhibiti Corona, Rais yupo kimya, Waziri wa Afya alionyesha hofu mapema kuwa Tanzania haiwezi kupambana na Corona. Kama Mungu ataamua kutuacha basi hatuna namna.

Inasikitisha kwamba serikali haichukui hata hatua za kibinadamu kuliepuka hili balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungependa serikali ichukue hatua gani? Kupanick sio kitu kizuri.
Ukijaribu kuangalia kwa mfano elite special operators wote dunia nzima, kitu cha kwanza muhimu wanachofunzwa ni kuweka panick mbali na kutulia. Kufikiria kwa ufasaha ili kuepuka kuchukua hatua ambazo zinaweza kukuletea shida.
Siamini katika kupanick. Naamini katika njia sahihi za kupambana na changamoto.
Kwa hilo JPM yuko sahihi. Mbona hakuna hali mbaya inayotisha kama watu wengi wanavyosema?
 
Wakati Rais wa Kenya akiongea na Taifa lake kila muda kuwapatia updates ya ugonjwa wa Corona.

Rais wetu Magufuli ame-relax wala haongei na Taifa wala kuweka strategies zozote za kudhibiti Corona, Rais yupo kimya, Waziri wa Afya alionyesha hofu mapema kuwa Tanzania haiwezi kupambana na Corona. Kama Mungu ataamua kutuacha basi hatuna namna.

Inasikitisha kwamba serikali haichukui hata hatua za kibinadamu kuliepuka hili balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndipo utaelewa tofauti ya Phd na bachelor degree.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule ni jiwe hana feelings na wanadamu anachotaka mfe tu huku akiminya data.
 
Back
Top Bottom