Kenyatta amechanganyikiwa, Magufuli ame-relax

My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,932
13,283
Wakati Rais wa Kenya akiongea na Taifa lake kila muda kuwapatia updates ya ugonjwa wa Corona.

Rais wetu Magufuli ame-relax wala haongei na Taifa wala kuweka strategies zozote za kudhibiti Corona, Rais yupo kimya, Waziri wa Afya alionyesha hofu mapema kuwa Tanzania haiwezi kupambana na Corona. Kama Mungu ataamua kutuacha basi hatuna namna.

Inasikitisha kwamba serikali haichukui hata hatua za kibinadamu kuliepuka hili balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatua zilizochukuliwa za kufunga mashule na kuweka wanaotoka nchi zilizoathirika karantini na level siti ktk mabasi kuondoa maongamano huoni ni hatua?

kama unataka lockdown ili utafute point za kisiasa imekula kwako mkuu. Ground your own family...
 
"Tunachagua kama vipofu, kisha tunalalama kama vichaa. Sasa tuamue: ama tuchague viongozi wetu kwa makini, au tukae kimya wakati wakitunyanyasa. Wachagua hovyo wasiwe wasema hovyo wakitendewa hovyo."-Jenerali Ulimwengu
 
Wakati Rais wa Kenya akiongea na Taifa lake kila muda kuwapatia updates ya ugonjwa wa Corona.

Rais wetu Magufuli ame-relax wala haongei na Taifa wala kuweka strategies zozote za kudhibiti Corona, Rais yupo kimya, Waziri wa Afya alionyesha hofu mapema kuwa Tanzania haiwezi kupambana na Corona. Kama Mungu ataamua kutuacha basi hatuna namna.

Inasikitisha kwamba serikali haichukui hata hatua za kibinadamu kuliepuka hili balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi yuko wapi kwanza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na huku Boris hoi
Adjustments.jpg

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom