Kenyans work illegally in our country

Serikali inakazi moja tu kupambana na chadema kwa miaka 5 basi na baada ya uchaguzi kama wataiba kura tena wataanza kupambama na chadema kwa next 5 yrs! Loo what a loss to our kids!
 
Immigration is the source of Unemployment in Tanzania.Discuss
 

We don't need Kenyans coz most of them do come with forged documents. Bcoz of our lazyness (Tanzanians) we normally employ them without even certifying their documents!! Also wrong mentality among Tanzanians, that knowing English is education!!! Kenyans are lecturing/teaching to many Universities/schools in Tz, leaving many of our lovely brothers and sisters unemployed. Real it's a shame to the gvt of Tz (esp. Immigration sect) to leave these Kenyans to work in Tz as if its their home!!!! Once in time we shall turn to S. Africa.
 
Kwenye sector za hotels na Utalii wamejaa, huku Zenji wanaona bora Mkenya kuliko Mtanganyika
 
tatizo amjui english nyie watz sasa mtapata kazi vip kwenye shule zinazofundisha english wakat english yenyewe mpaka mnajikakamua adi mnajamba. english mgogoro kila sehemu adi bungeni acha wajaluo waje kuchukua ajira.
 
Kwenye sector za hotels na Utalii wamejaa, huku Zenji wanaona bora Mkenya kuliko Mtanganyika

Wanajua kumnyenyekea mteja na kutoa excellent customer service.
I wish bank staff kwenye benk zote bongo wangekuwa wakenya
 

Kuhusu suala la fulsa ni kote kote, nakumbuka mwaka 1995-1998 tulikuwa na GARAGE ya Watanzania pale Dandola Phase2.
Tulikuwa tunapiga pesa mpaka Wakenya wanashangaa, wanasema Watanzania wako njema.
 
Swala ni kwamba hao jamaa kujua english watanzania wanajua ni wasomi,wamefoji sana vyeti nitapambana nao hadi mwisho
 
Swala ni kwamba hao jamaa kujua english watanzania wanajua ni wasomi,wamefoji sana vyeti nitapambana nao hadi mwisho

Nawashangaa Watanzania wanaojidharau, nawajua Watanzania wengi wanaoishi Kenya na wana maisha mazuri, pia wamefanikiwa kifedha na wamewaajiri hao Wakenya.
 
Tena wangeongezwa zaidi ili kufidia uhaba wa manesi weledi nchini na kuleta "work ethics" za karne ya ishirini na moja kwenye hospitali zetu.

tena hawa jamaa ni balaa, wanachapa kazi hawana ubabaishaji wa kibongo!
 
The influx of Kenyans who illegally work in our country is a big problem whereby Kenyans dominate most of private school.
Mkuu, kama wanaweza kuwachia Wachina kuwa wachuuzi wa ndala, thermos flasks na maua ndio watajali Walimu kutoka Kenya? Wahusika walio pewa dhamana ya kudhibiti uhamiaji haramu mawazo na akili zao zimezama kwenye mambo mengine tofauti kabisa i.e Rushwa imetawala ndio maana wageni wanatamba sana.
 

No, Kenyans shouldnt be allowed in Tanzania unless under strict supervision and entry requirements..EAC is doomed to fail, lets concentrate on SADC.
 

Stop dillydallying on this issue ZOMBA. go ahead and explain why you personally are not ready to recruit these UDOM world record breaking entrants into your business? and avoid dragging me into discussing Mr Kikwete because I have worse comments about him. lets stick to substance of the thread.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…