zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,938
Basi acheni kulalamika.
Tunaelalamika sisi au aliyeleta mada? sisi tunamjibu tu, kuwa Wafanyakazi wa Kitanzania ni wazembe. Na si huko kwenye elimu tu, kote. Tutaleta tunaoona wanafaa kutoka kokote kule, si Kenya tu.
Nyie bakini mnalalamika wanaletwa Wakenya sijui hawana vibali, mlitakaje ikiwa hamuwezi.