zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,935
Can you tell us about the quality of education offered at udom?
Highest in Tanzania.
Can you tell us about the quality of education offered at udom?
Instead of focusing your attention on our Eastern African brothers who are in our schools training our kids I suggest that you deal first with the illegal immigrants of Chinese and Indian origin who are busy peddling petty businesses and constructing substandard buildings in our cities and towns. In fact, I would suggest that we pass a law attracting educated and skilled foreigners especially Kenyans and Ugandans to come and assist us in areas where we are lacking skills and education is one of them. We could even naturalise them in the process.
Highest in Tanzania.
Kwenye sector za hotels na Utalii wamejaa, huku Zenji wanaona bora Mkenya kuliko Mtanganyika
acha watu wafanye kazi,watu walioko tanzania hawaoni fursa wanalalamika tu lakin cha ajabu wakija wageni wanaona fursa nyingi ambazo zipo Tanzania,acheni wageni wapige kazi ili wawachangamshe akili,kwanza mbona kuna watanzania wengi wanafanya kazi nje bila vibali
Swala ni kwamba hao jamaa kujua english watanzania wanajua ni wasomi,wamefoji sana vyeti nitapambana nao hadi mwisho
Watu wanajikakamua kwa kiingereza hadi wanakaribia kujamba.
Tena wangeongezwa zaidi ili kufidia uhaba wa manesi weledi nchini na kuleta "work ethics" za karne ya ishirini na moja kwenye hospitali zetu.
Mkuu, kama wanaweza kuwachia Wachina kuwa wachuuzi wa ndala, thermos flasks na maua ndio watajali Walimu kutoka Kenya? Wahusika walio pewa dhamana ya kudhibiti uhamiaji haramu mawazo na akili zao zimezama kwenye mambo mengine tofauti kabisa i.e Rushwa imetawala ndio maana wageni wanatamba sana.The influx of Kenyans who illegally work in our country is a big problem whereby Kenyans dominate most of private school.
Instead of focusing your attention on our Eastern African brothers who are in our schools training our kids I suggest that you deal first with the illegal immigrants of Chinese and Indian origin who are busy peddling petty businesses and constructing substandard buildings in our cities and towns. In fact, I would suggest that we pass a law attracting educated and skilled foreigners especially Kenyans and Ugandans to come and assist us in areas where we are lacking skills and education is one of them. We could even naturalise them in the process.
It took 24 years of Nyerere and another 20 Years of his puppets to destroy everything in this country.
It took Kikwete 5 Years to rescuscitate it, and now he is in his 2nd Year of ensuring development in all sectors is achieved in the unparalleled and unprecedented speed. Do you know it took only 2 Years to have the first intake of students at UDOM since its inception? that is a world record for your information.