the influx of kenyans who illegally work in our country is a big problem whereby kenyans dominate most of private school.
let them come and work ,at the end of the day your children will benefit by speaking english
the influx of kenyans who illegally work in our country is a big problem whereby kenyans dominate most of private school.
Hatuzipeleki, bali tunawaleta Wakenya waje hapa ndio njia rahisi na nyinyi mtapata kujifunza na kujiondoa kwenye uvivu.
For your information Tanzania Nurse course are better than Kenya and Uganda.That's why in many Universities offering Nurse undergraduate course you never miss a kenyan taking it.I can agree you in the sector of education we can hire them in some subject like science but in other sector let them leave our country so that our young brother and sister can get a job. I think the home minister and immigration department should tackle this issues very seriously, of illegal immigrant in our country.How comes when you go to kenya and moving on street they ask you about your identity but here in Tanzania they are coming freely without questioned.We love them but let them go back to their home country.Tukiwa na Huruma sana itakuja kutugharimu.
Kama ulinisoma vizuri ndugu yangu Sherpherd niliongelea "WORK ETHICS" wakati najenga hoja yangu ya awali kuhusu umuhimu wa kuwakaribisha wageni waje kufanya kazi nchini. Inawezekana kabisa kama ulivyosema kozi ya unesi ya Tanzania ikawa na mtaala mzuri tu. Ila utendaji wa kazi unahitaji stadi za kazi zaidi ya hizi academic qualifications tunazozishadidia sana hapa Tanzania. Kuna mambo kama kuheshimu kazi, kujituma kazini, kujiamini, uwezo wa kuwasiliana (communication skills) na watu mbalimbali, huduma kwa wateja na muhimu zaidi ubunifu katika utendaji wa kila siku. Bahati mbaya haya mambo hayafundishwi mashuleni bali ni elimu dunia ambayo mtu anaipata kutoka kwenye jamii iliyomzunguka toka kwa wazazi, walimu, na watu wengine. Hivyo badala ya kupoteza muda kuwalaumu wageni wanaokuja nchini kufanya shughuli mbalimbali tungejifunza ni nini hasa walichonacho, ambacho sisi ama hatuna au hatukitumii ipasavyo, kinachowafanya waweze kuajiriwa nchini mbali na makwao na kuweza kufanya kazi kwa ufanisi.
Umewahi kujiuliza kwa nini mahoteli mengi ya kitalii yanapenda kuwaajiri wakenya hata kwa nafasi za chini ambazo hazihitaji utaalamu mkubwa na wako tayari kuwalipa mshahara zaidi ya watanzania? Ulishawahi kufika hotelini na kugundua kuwa badala ya mpokeaji kukupokea mzigo, ambayo ni kazi yake aliyoajiriwa kuifanya, anajidai kama hajakuona? Wewe hujawahi kumuajiri fundi uashi au seremala mkakubaliana kazi na malipo na unapomsimamia ili amalize kazi kwa wakati na kiwango mlichokubaliana akakuona msumbufu na wakati mwingine kuikimbia kazi? Kuna tatizo la msingi ambalo tunatakiwa kama watanzania tujiulize ni wapi ambapo hatuendi sawasawa ili ikiwezekana tuanze kuwekeza kwa watoto wetu waje kutukomboa kwenye hili tope la "mediocrity". Ukisoma vitabu vinavyoelezea maendeleo ya nchi za Asia kama China, Malaysia, Singapore, Thailand, na nyinginezo utagundua kuwa walijifunza mambo mengi sana toka kwa wazungu na wajapani kwa lengo la kubadilika ili waige yale mambo yaliyowafanya waendelee kwa kasi. Na pia hawakusita kuwaajiri kwa wingi pale utaalamu wao ulipohitajika.
Suala la watu kuulizwa vitambulisho barabarani siwezi kuliongelea kwa undani kwani sijui masuala ya Kenya kwa undani ila kwa uzoefu wangu mchache wa kutembelea huko sijawahi kuulizwa kitambulisho barabarani. Ninachojua ni kuwa ukiwa unafanya mambo yanayotia shaka yumkini utaulizwa kitambulisho hata hapa kwetu Tanzania.
Their presence is not a problem,but their illegal presence matters, try to go in Kenya and work illegally u will see
let them come and work ,at the end of the day your children will benefit by speaking english
Acha siasa za kufanya chuki na majirani zetu. Na sina uhakika kama unaelewa unachokisema. Umewahi kufika Nairobi wewe? Nenda kwenye mtaa mmoja (kwa utani unaitwa mtaa wa wachagga), jina lake halisi ni Kikomba, mtaa huo umejaa wachagga wanafanya biashara zao kwa amani na bila bughudha. Hakuna hata mmoja wao aliye na kibali cha kufanya kazi Kenya. Sasa wewe unayoyasema hapa umeyapata wapi? Kwa ufahamu wangu, ni kwamba wenzetu wa Kenya wako juu linapokuja suala la kuzungumza, kuelewa na kutumia lugha ya kiingereza. Ukitaka walimu wazuri wa kufundisha kwenye English Medium Schools, hautawapata Tanzania. Hapa sina maana ya kwamba Tanzania hatuna walimu wazuri, la hasha, tunao. Tatizo ni uwezo wa kujieleza vizuri na kuitumia hiyo lugha kumfundisha Mwanafunzi mpaka akalielewa somo.
Tusiwachukie walimu kutoka Kenya, ni muhimu tukawa nao, ni kwa faida yetu ila ni vizuri wakawa na vibali halali vya kufanya kazi ambavyo nina imani wengi wanavyo.
Tiba
For your information Tanzania Nurse course are better than Kenya and Uganda.That's why in many Universities offering Nurse undergraduate course you never miss a kenyan taking it.I can agree you in the sector of education we can hire them in some subject like science but in other sector let them leave our country so that our young brother and sister can get a job.I think the home minister and immigration department should tackle this issues very seriously, of illegal immigrant in our country.How comes when you go to kenya and moving on street they ask you about your identity but here in Tanzania they are coming freely without questioned.We love them but let them go back to their home country.Tukiwa na Huruma sana itakuja kutugharimu.
wacha kutuchanganya wewe!!!! is there any opportunity for Tanzanians to do the same in Kenya????!!!! hata ikitokea imeenda Kenya kusoma especially universities once ukimaliza immigration officers will deal with u perpendicularly hadi unavuka mpaka kuingia tz kama ni barabara au hadi unapanda ndege!!!!!!Instead of focusing your attention on our Eastern African brothers who are in our schools training our kids I suggest that you deal first with the illegal immigrants of Chinese and Indian origin who are busy peddling petty businesses and constructing substandard buildings in our cities and towns. In fact, I would suggest that we pass a law attracting educated and skilled foreigners especially Kenyans and Ugandans to come and assist us in areas where we are lacking skills and education is one of them. We could even naturalise them in the process.
mbona unaandika vitu ivi ivi..Unajuanga Tatizo si kwa wa KE kuwa wengi kwa hii nchi, na wala sisi wa KE sio kwamba tunajuanga mavitu mingi. Issue ni kwa ogezeko la wajinga kwa Tz, maana sielewi ni kwa nini mTZ anangangania lichama zee kama ccm(implies ujinga bado upo nchini) halafu anashangaa eti kwa nini wakenya wanajaa hapa ni kufanya kazi professional ati, kwa sababu hamna watu wa kutosha kufanya hizi kazi
Wanakidhi viwango?? Kama mnawapeleka failures kwenye fani ya ualimu mnategemea nini?? Waacheni bana watusaidie cha msingi wafuate taratibu tu :bored:How about our native teachers who in streets scrambling at least to get a post while private schools are under kenyans
Nikiendelea kuchangia hi mada tym t napigwa ban, maana kuna watu wajinga cjawah kuona, wanasema watanzania ni waviv cjui blah blah.. let me tel them if u pay cheap u get the monkeys..! kama kaz inahtaj digree alaf unajir chet kuna utanzania hapo? by tha way wat is the use of English in tailoring? engeneering? nursing? hawa watz wanaowadharau watz wenzao ni full of sh\@t!! hata ivo knachogomba hapa sio wakenya kufanya kaz, ni kufanya kaz bila vibal... alaf huu upuuz umekuwa ukichagiza na viongoz wetu.. mauchwara makubwa.. hata Pinda amewah sema hvo, et mara amefiwa oh cjui nini, mbona kesi zinahairishwa jaj akiuguliwa na mtoto? au wao sio watz? mara ngap wabunge na mawazir hawapo oficn au majimbon kwao? hata uwazir tuwaajir wakenya na wahind basi... This is our Tanzania and we wl damn die for it no matter wat!! wakituona waviv wakajenge hizo shule Kenya.. wa.j.in.ga wakubwa!!
The influx of Kenyans who illegally work in our country is a big problem whereby Kenyans dominate most of private school.
Watanzania lazima mfahamu kuwa mkenya au mganda kufanya kazi Tanzania SIO KOSA KISHERIA!
Muungano wa nchi za afrika mashariki zinamruhusu mwananchi wa nchi yyt katika hizi, kuishi na kufanya kazi popote pale ktk afrika mashariki.
Tujadili kufanya kazi bila vibali. Walio wengi wanafanya kazi bila vibali na kama kuna mmoja bi boss anataka awabebe ndugu zake wote .
W tz inabidi tuwe wazalendo kwa kuwafichua watu kama hawa.