Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,701
- 218,228
Na kofia wachukue
Wanasiasa ni wala rushwa wakubwa kuliko polisi
Kuna kamtu kamoja katakuja kusema mungu ibariki kenya ......yaani tuige upuuzi wa kutoka slums DWALLF huko kibera nchi ya kimaskin serious...dude....??
😆😆😆 Tena hako kamtu ni bora katekwe tuKuna kamtu kamoja katakuja kusema mungu ibariki kenya ......yaani tuige upuuzi wa kutoka slums DWALLF huko kibera nchi ya kimaskin serious...dude....??
Kamtu kenyewe si ndio weweTena hako kamtu ni bora katekwe tu
Hivi nyie mnajiona matajiri hatari sana eh!? 🤣 🤣 🤣 Ishaisha iyoo!Kuna kamtu kamoja katakuja kusema mungu ibariki kenya ......yaani tuige upuuzi wa kutoka slums DWALLF huko kibera nchi ya kimaskin serious...dude....??
Allah ! kuuuumbeeee !!Kamtu kenyewe si ndio wewe
.....kana jifanya hakajijui kama ndo kenyewe....Kamtu kenyewe si ndio wewe
...ndio sisi ni matajiri sana tyuu .....madini ........mafuta .....gesii. ...tanzanite iliyokuwa inawatajirisha .......wabna wa kibera dwalf......Hivi nyie mnajiona matajiri hatari sana eh!? Ishaisha iyoo!
Sawa bana! 🤦🏾♂️...ndio sisi ni matajiri sana tyuu .....madini ........mafuta .....gesii. ...tanzanite iliyokuwa inawatajirisha .......wabna wa kibera dwalf......