Kenya Trafiki wote nchi nzima wapangiwa majukumu mengine. Maamuzi magumu sana

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,704
6,501
Habari za hivi punde kutoka Kenya ni kwba askari Polisi wa Usalama Barabarani wote wamabadilishiwa majumu waende kuwa askari wa kawaida.

Haya ji moja ya maamuzi magumu ya hawa jamaa aiswe. Hii ni baada ya kuona trafiki wako busy na rushwa ilihali ajari zikiongezeka na oia kutokana na complain ya rai kuhusu kukisili kwa vitebdi vya rushwa miongoni mwa trafiki.

Hakuna tofauti sana kati ya trafiki wa Kenya na wa Tanzania kwenye swala la kuomba rushwa.

Screenshot_20231220_105513.jpg
 
Duuu.
No comment. Ila Kuna Jambo Muhimu la Kujifunza. Uadilifu ni tunu ya Utu na Rushwa ni kuudhalilisha utu wako. Imagine wanatangazwa wametolewa kwasababu ya Rushwa si ni aibu kubwa ya kumalizia Mwaka 2023
 
Habari za hivi punde kutoka Kenya ni kwba askari Polisi wa Usalama Barabarani wote wamabadilishiwa majumu waende kuwa askari wa kawaida.

Haya ji moja ya maamuzi magumu ya hawa jamaa aiswe. Hii ni baada ya kuona trafiki wako busy na rushwa ilihali ajari zikiongezeka na oia kutokana na complain ya rai kuhusu kukisili kwa vitebdi vya rushwa miongoni mwa trafiki.

Hakuna tofauti sana kati ya trafiki wa Kenya na wa Tanzania kwenye swala la kuomba rushwa.

View attachment 2847897
Tanzania tuige,Bora kutumia teknolojia kuliko Hawa wapuuzi
 
Habari za hivi punde kutoka Kenya ni kwba askari Polisi wa Usalama Barabarani wote wamabadilishiwa majumu waende kuwa askari wa kawaida.

Haya ji moja ya maamuzi magumu ya hawa jamaa aiswe. Hii ni baada ya kuona trafiki wako busy na rushwa ilihali ajari zikiongezeka na oia kutokana na complain ya rai kuhusu kukisili kwa vitebdi vya rushwa miongoni mwa trafiki.

Hakuna tofauti sana kati ya trafiki wa Kenya na wa Tanzania kwenye swala la kuomba rushwa.

View attachment 2847897
Naomba Mungu dhoruba hii ivume kwa spidi kubwa na kufika haraka nchi ya Tz.
 
Habari za hivi punde kutoka Kenya ni kwba askari Polisi wa Usalama Barabarani wote wamabadilishiwa majumu waende kuwa askari wa kawaida.

Haya ji moja ya maamuzi magumu ya hawa jamaa aiswe. Hii ni baada ya kuona trafiki wako busy na rushwa ilihali ajari zikiongezeka na oia kutokana na complain ya rai kuhusu kukisili kwa vitebdi vya rushwa miongoni mwa trafiki.

Hakuna tofauti sana kati ya trafiki wa Kenya na wa Tanzania kwenye swala la kuomba rushwa.

View attachment 2847897
Ni kufurahisha raia. Wanabadilisha sura tu.
 
Asee we kijana ya Nyerere pesa ya Kenya unapeleka wapi. Pesa ya Kenya inabaki Kenya.
 
Back
Top Bottom