Kwanini Kenya wanauzalendo sana kwa nchi yao kuliko watanzania?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,090
2,705
Kenya inaongozwa na mfumo wa kibepari huku tanzania tumepitia mfumo wa ujamaa.Cha kushangaza wenzetu Kenya ni wazalendo sana kwenye nchi yao hasa linapokuja swala la uraia au mtu anapoishambulia Kenya.

Kenya wamekua wakiingia “Battle” hata na nigeria , South Africa na nchi nyingine kubwa ambazo zina pride sana kwene uraia wao.
Ukiacha Nigeria Nchi inayofuata ni Kenya usiguse hii nchi linapokuja swala la uzalendo wa kupigania nchi yao au kutetea nchi yao.

Ni kweli nchi yao ina matatizo kama Njaa,Ukabila rushwa na kadharika lakini linapokuja suala la Nchi haya yote hutayaona wanapambana utadhani Kenya ni nchi ya kabila moja dini moja na lugha moja.

Hata somalia ambayo iko more homogeneous hawafikii wala kusogelea hapa.

Swali ni je kwanini Kenya?

nb: Mi ni mtz msije sema ninapigia chapuo kenya (It is what it is)
IMG_5100.jpg
 
Kenya inaongozwa na mfumo wa kibepari huku tanzania tumepitia mfumo wa ujamaa.Cha kushangaza wenzetu Kenya ni wazalendo sana kwenye nchi yao hasa linapokuja swala la uraia au mtu anapoishambulia Kenya.

Kenya wamekua wakiingia “Battle” hata na nigeria , South Africa na nchi nyingine kubwa ambazo zina pride sana kwene uraia wao.
Ukiacha Nigeria Nchi inayofuata ni Kenya usiguse hii nchi linapokuja swala la uzalendo wa kupigania nchi yao au kutetea nchi yao.

Ni kweli nchi yao ina matatizo kama Njaa,Ukabila rushwa na kadharika lakini linapokuja suala la Nchi haya yote hutayaona wanapambana utadhani Kenya ni nchi ya kabila moja dini moja na lugha moja.

Hata somalia ambayo iko more homogeneous hawafikii wala kusogelea hapa.

Swali ni je kwanini Kenya?

nb: Mi ni mtz msije sema ninapigia chapuo kenya (It is what it is)View attachment 2889441
Kenya ilikuwa koloni la uingereza na ilipats uhuru wake kwa mapambano na vifo, hivyo wanauchungu wa kuona wengine wanaichezea nchi yao, Tanganyika haikuwa koloni la muingereza ilikuwa chini ya uangalizi wa uingereza hakukua na mapambano wala vifo, hivyo hakuna anayejali.
 
Inaleta sense sana
 
Kenya inaongozwa na mfumo wa kibepari huku tanzania tumepitia mfumo wa ujamaa.Cha kushangaza wenzetu Kenya ni wazalendo sana kwenye nchi yao hasa linapokuja swala la uraia au mtu anapoishambulia Kenya.

Kenya wamekua wakiingia “Battle” hata na nigeria , South Africa na nchi nyingine kubwa ambazo zina pride sana kwene uraia wao.
Ukiacha Nigeria Nchi inayofuata ni Kenya usiguse hii nchi linapokuja swala la uzalendo wa kupigania nchi yao au kutetea nchi yao.

Ni kweli nchi yao ina matatizo kama Njaa,Ukabila rushwa na kadharika lakini linapokuja suala la Nchi haya yote hutayaona wanapambana utadhani Kenya ni nchi ya kabila moja dini moja na lugha moja.

Hata somalia ambayo iko more homogeneous hawafikii wala kusogelea hapa.

Swali ni je kwanini Kenya?

nb: Mi ni mtz msije sema ninapigia chapuo kenya (It is what it is)View attachment 2889441
Wametawaliwa na Uingereza na wana ustaarabu wa kizungu.
Tanganyika mwarabu alileta uswahili/unafki sehemu za pwani ambao umesambaa sehemu nyingi za nchi.
Kenya rais anapingwa na makamu , na jaji mkuu na hata ngumi zinapigwa, tanzania unapotezwa.

Kenya upuuzi wa Makonda asingekatiza mikoa miwili, kudanganya watu, ila Tanzania anazunguka kama mfalme .
 
Kuna vitu vya kumshukuru Mungu sana sana kwenye suala la ukabila. Ukabila upo hadi huku nchi za nje, kuna radio marekani ya kikikuyu. Hadi youtube channel za diaspora za kikikuyu zipo. Hata kama wakijitahidi kuitetea nchi yao kugawanyika kwao ndio failure yao. Maana hawawezi kusimama pamoja mpaka kura na tender za serikali zinagawiwa kikabila. Nampongeza sana Nyerere kwa hili maana aliangalia mengi sana nchi za je na akatuunganisha pamoja.
 
Sasa hizo channel/radio unazosema ni za Kikikuyu zina tofauti gani na zile zinazotumia lugha za Kiingereza, Kijerumani au hata Kihispania?
 
Wametawaliwa na Uingereza na wana ustaarabu wa kizungu.
Tanganyika mwarabu alileta uswahili/unafki sehemu za pwani ambao umesambaa sehemu nyingi za nchi.
Kenya rais anapingwa na makamu , na jaji mkuu na hata ngumi zinapigwa, tanzania unapotezwa.

Kenya upuuzi wa Makonda asingekatiza mikoa miwili, kudanganya watu, ila Tanzania anazunguka kama mfalme .

Mkuu ebu tueleezee kutawaliwa na Uingereza kunavofanya wawe wazalendo!?

maana nchi nyingi zimetawaliwa na Uingereza hazina uzalendo huo
 
Back
Top Bottom