Kenya watatuacha zaidi. Tanzania hatuna plan

Kenya watatuacha zaidi. Tanzania hatuna plan

Sasa si ukaishi Kenya kwenye plan ili usonge mbele?

Sasa hii inasaidia vipi TZ? Huwezi kupata maendeleo kama unakataa ukweli eleza ni jinsi gani nchi yetu itaendelea lakini ni lazima ukubali ukweli kama sio hivyo tutakuwa tunajidanganya. Huwezi kutukasirisha na kukwepa agenda. TZ hatuna plan na tunahitaji kurudi kujipanga kuacha majungu, kujifungafunga , kuacha uoga wa kimaendeleo , unafiki, uongeaji ongeaji na kuleta plan za uhakika. Sifasifa na kujigamba hakusaidii Mimi ni Mtanzania na nitakuwa Mtanzania tu hata kama nikihama nchi..... Utanzania umepewa na Mungu sio mitandao, siasa au uongozi
 
Nimependa hii yangu " Utanzania umepewa na Mungu sio mitandao, siasa au uongozi"
 
Kenyatta kafungua mipaka ili wale mnaoiona Kenya ni bora kuliko Tz muende huko!!

Kenya sio bora kuliko Tanzania ! Lakini uchumi wa Kenya ni mkubwa kuliko TZ na hii sio kwa wanaoiona tu ni ukweli. Kama hauamini hilo unajidanganya. Swali hapa je wewe una kataa na unasababu zipi? na una solution gani. Uwezi kushabikia tu vitu wakati hatuoni results.... na mifano niliyotoa. Majibu ya kupuuza hayatafanikiwa kwenye hili ..
 
Wanaosema Ethiopia na sio Kenya. Ethiopia tofauti na Kenya wana advantage ya watu zaidi ya 80 M , Uganda wana population ndogo lakini wako chini yetu lakini Kenya wana population ndogo, nchi ndogo zaidi, na same location lakini wametuzidi pamoja na ukabila wao je sababu ni zipi na kwanini. ...
 
We nyambaf kweli! Hivi unaweza ukailinganisha kiuchumi Tanzania na Kenya? achie mengine angalia kwanza exchange rate ya Tsh na Ksh. Hebu waulize kwanza Watz wanaoishi jirani na Nchi hiyo wakuambie kinachoendelea
We mbayuwai mbona hueleweki? Every biznessman knows that Kenyan economy is way forward than ours olmost twice,u know nothing stay calm
 
Kenya sio bora kuliko Tanzania ! Lakini uchumi wa Kenya ni mkubwa kuliko TZ na hii sio kwa wanaoiona tu ni ukweli. Kama hauamini hilo unajidanganya. Swali hapa je wewe una kataa na unasababu zipi? na una solution gani. Uwezi kushabikia tu vitu wakati hatuoni results.... na mifano niliyotoa. Majibu ya kupuuza hayatafanikiwa kwenye hili ..

Sasa unasubiri nini kwenye uchumi mdogo?

Hamieni kwenye uchumi mkubwa.
 
Hakuna mfumo mbaya kama huu! Nchi kuvunjika vipande vipande na kuishia kuwa na nchi ndogo ndogo kama Rwanda na Burundi ni kitendo cha dakika. We unaona Zbar wanavyotupelekesha? Ukishaigawa nchi katika kanda nne au tano, zile kanda zinaweza zikajitangazia mamlaka kamili na kuwa nchi. Refer mgogoro wa kura ya maoni ya Catalonia...
.....Mawazo ya hovyo kabisa, yaani badala ya kuona huo mfumo ni rahisi kuwaletea wananchi maendeleo, hasa kwa nchi kubwa, wewe unawaza tuu jinsi ya kuwa contain watu na kuwatawala kirahisi, hata kama wakizidi kuwa mafukara you don't care!!
 
Wew sisis sio mafala kufuata sera ya kijinga hyo tukiifuata kenya wtakua wanatunyonya sisi
....Kama alivyowahi kusema chenkapaa nchi hii ina malofa wengi sana, no doubt this is one of them..
 
Mkuu huyu ni mkenya tayari, fatilia hata kiswahili alichotumia luandika ni mkenya, tena wa western kule na atakuwa ni mluhya tu...arudi tu huko kwao kwani huku kwetu anapapendea nini kma ameona hatuna plan B?
..shida yote ya nini kulazimisha mtu usiyemjua his nationality? Mbona tuna wahindi wenye kiswahili kibovu but yet they are Tanzanian?
 
..shida yote ya nini kulazimisha mtu usiyemjua his nationality? Mbona tuna wahindi wenye kiswahili kibovu but yet they are Tanzanian?
Yeye mwenyewe hakupinga nilipo mwambia wewe kimekuwasha nini make nimeanza kum quote vitu vilivyomfanya awe mkenya, na wala hakubisha hivyo, piga kimya hii mada tulimalizana naye jana, hivyo wewe endelea kuchangia mawazo yako.
 
Yeye mwenyewe hakupinga nilipo mwambia wewe kimekuwasha nini make nimeanza kum quote vitu vilivyomfanya awe mkenya, na wala hakubisha hivyo, piga kimya hii mada tulimalizana naye jana, hivyo wewe endelea kuchangia mawazo yako.
....Ni ulofa badala ya kujibu hoja wewe umekomalia ni mkenya ni mkenya as if wewe ni migration officer
 
Kenya watatuacha zaidi kwasababu TZ hatuna plan inayoeleweka. Kenya sasa wana sera rahisi sana wako open kwa wana EA kuhamia Kenya, kununua land na kufanya biashara. Kwa Kenya watu ni rasilimali na sio kitu cha kuogopa. Kenya diaspora wote wana haki zao zote za kikatiba na uraia na hii inasababisha uwekezaji mkubwa sana kwenye nyumba na apartments Kenya. Uwekezaji wa Kenya unasababisha serikali kuwwa na pesa kwenye vitu vingine. Kenya budget ni 100% ina garimiwa na Wakenya bila msaaada wowote. Kenya wana katiba mpya na mfumo wa county ambao ni wa kimarekani ambao unapeleka maendeleo zaidi chini na pesa inabaki zaidi kwenye kata na kusaidia zaidi walipa mkodi. Mradi wa train wa Kenya umekwisha. Pamoja na ukabila Wakenya wana furaha kuliko Watanzania. Watanzania tumekuwa tunarudi nyuma kila sehemu. Demokrasia tumerudi nyuma, uchumi tumerudi nyuma, master plan ya nchi haieleweki, uoga kwenye nchi, bank filisi, ardhi kushuka thamani,madeni ya nchi kuongezeka, hakuna uwekezaji binafsi mpya zaidi ya plan za zamani za mikopo. Uhuru wa habari unakufa, vyama vya siasa vina hujumiwa na kufa. Viongozi ni wasomi wasiojua kutenda hawana uzoefu wa utendaji. Tunapigana na rushwa wakati makama ya rushwa haina washitakiwa ..... na waliopo wachache ni wa kuchaguliwa. Kuna video za watu kutoa rushwa lakini hakuna action yeyote... polisi sasa ni chombo cha kisiasa. TRA ni chombo cha kutisha na kuua biashara. Bank ni sanamu hazitoe mikopo , hazina pesa...... Elimu bado hatuna plan wakati viwango vinaendelea kushuka. Tanzania hatuna hata statistics za kueleweka. Mfumo wa Afya unaotegemea msaada tu bila kubadilisshwa mfumo. Nchi ambayo viongozi wanajali siasa zaidi kuliko chi. Nchi ya wajuaji bila kuwa na la kuonyesha. Viongozi ambao wanajali habari kuliko ukweli na wananchi... viongoizi wasioweza kusemwa, kushauriwa au kubadilika......... I wish tungekuwa na viongozi wa Kenya maana sina imani tena... hata rushwa ni macho tu magari ya mchanga hayafanyi kazi mchana kwasababu ya rushwa kuzidi na kuchukua faida yote.....

Kwa ufupi Kenya ni open country na Tanzania ni closed country...
Sera yetu ya kutofungulia madirisha na milango kwa mbu, papasi, viroboto , chawa etc ndio hii inakufanya wewe uweze kumiliki ardhi ukiwa mtu wa kawaida sana ukishindwa kupata ajira unarudi shamba kufanya kilimo Biashara. Hiyo Kenya nusu ya ardhi inamilikiwa NA tajiri mmoja sasa hao wanaoitwa kwenda huko watapata wapi ardhi ya kuwekeza? Mtanzania hapendi kwenda Nchi yeyote kwani kwa mchapakazi bongo ndo pakuishi. Wewe MTZ huna uwezo wa kupata hapa bongo una ardhi, Ndugu, Amani, upendo ndio utaweza kwenda kuwekeza Kenya kwenye mpambano wa ukabila wakikuyu NA wajaluo, ardhi kwa wao wenyewe mtafutano. Msitufanye wajinga msimamo wetu JUU ya ardhi yetu ni kwa manufaa ya wabongo. Hakuna MTZ atakayeweza kufanya hata Biashara ya mama ntilie anaweza kufanikiwa huko kenya.wanataka kutafanya Mafala ili nasi tuwafungulie walete ukabila, rushwa, u wizi wa ardhi yetu etc. nenda wewe kama unataka. Mmwambie aliyekutuma watz hatudanganyiki.
 
....Ni ulofa badala ya kujibu hoja wewe umekomalia ni mkenya ni mkenya as if wewe ni migration officer
.lofa mwenyewe, hujui hata tulianzia wapi, unanunua ugomvi usiokuhusu, mbna unafatilia watu ili wakutukane, nimeona msg zako zote, umekosa watu wa kuchat nao, mi sitaki matusi na wewe mbna, shame on you, nilishakujibu niliyekuwa nachat naye tulimalizana jana, wewe inakuhusu nini? Na ni mkenya kwa taarifa yako na ndo chuki yake na Tanzania, Kenya nimeishi, nimekulia, nimesomea so u cant tell me anything kuihusu, tuishiye hapo mkuu, we endelea na hoja zako za kuchangia mada
 
Kumbe unashindana na Kenya?
Benchmarking; umeshawahi kukutana na concept hii katika shule ulizosoma. Huwezi kuendelea bila kuwa na benchmark.
Japan na Korea ya kusinj waliendelea sana kwa kubencmark na Marekani, China walikuwa wanabencmark na Europe na US, wakapeleka watu wao kusomea huko
Kama Tz haina benchmark it is done
 
Benchmarking; umeshawahi kukutana na concept hii katika shule ulizosoma. Huwezi kuendelea bila kuwa na benchmark.
Japan na Korea ya kusinj waliendelea sana kwa kubencmark na Marekani, China walikuwa wanabencmark na Europe na US, wakapeleka watu wao kusomea huko
Kama Tz haina benchmark it is done
Is Kenya your benchmark?
 
Wapo wajinga watakataa na hili
Pesa za walipa kodi zinapotelea kwenye siasa chafu huku wananchi hawana maji safi Elimu ya ovyo Afya ndio usiseme miundo mbinu ya ovyo. Kila kitu ni ovyo nchi hii
 
Back
Top Bottom