Kenya watatuacha zaidi. Tanzania hatuna plan

Kenya watatuacha zaidi. Tanzania hatuna plan

Kenya watatuacha zaidi kwasababu TZ hatuna plan inayoeleweka. Kenya sasa wana sera rahisi sana wako open kwa wana EA kuhamia Kenya, kununua land na kufanya biashara. Kwa Kenya watu ni rasilimali na sio kitu cha kuogopa. Kenya diaspora wote wana haki zao zote za kikatiba na uraia na hii inasababisha uwekezaji mkubwa sana kwenye nyumba na apartments Kenya. Uwekezaji wa Kenya unasababisha serikali kuwwa na pesa kwenye vitu vingine. Kenya budget ni 100% ina garimiwa na Wakenya bila msaaada wowote. Kenya wana katiba mpya na mfumo wa county ambao ni wa kimarekani ambao unapeleka maendeleo zaidi chini na pesa inabaki zaidi kwenye kata na kusaidia zaidi walipa mkodi. Mradi wa train wa Kenya umekwisha. Pamoja na ukabila Wakenya wana furaha kuliko Watanzania. Watanzania tumekuwa tunarudi nyuma kila sehemu. Demokrasia tumerudi nyuma, uchumi tumerudi nyuma, master plan ya nchi haieleweki, uoga kwenye nchi, bank filisi, ardhi kushuka thamani,madeni ya nchi kuongezeka, hakuna uwekezaji binafsi mpya zaidi ya plan za zamani za mikopo. Uhuru wa habari unakufa, vyama vya siasa vina hujumiwa na kufa. Viongozi ni wasomi wasiojua kutenda hawana uzoefu wa utendaji. Tunapigana na rushwa wakati makama ya rushwa haina washitakiwa ..... na waliopo wachache ni wa kuchaguliwa. Kuna video za watu kutoa rushwa lakini hakuna action yeyote... polisi sasa ni chombo cha kisiasa. TRA ni chombo cha kutisha na kuua biashara. Bank ni sanamu hazitoe mikopo , hazina pesa...... Elimu bado hatuna plan wakati viwango vinaendelea kushuka. Tanzania hatuna hata statistics za kueleweka. Mfumo wa Afya unaotegemea msaada tu bila kubadilisshwa mfumo. Nchi ambayo viongozi wanajali siasa zaidi kuliko chi. Nchi ya wajuaji bila kuwa na la kuonyesha. Viongozi ambao wanajali habari kuliko ukweli na wananchi... viongoizi wasioweza kusemwa, kushauriwa au kubadilika......... I wish tungekuwa na viongozi wa Kenya maana sina imani tena... hata rushwa ni macho tu magari ya mchanga hayafanyi kazi mchana kwasababu ya rushwa kuzidi na kuchukua faida yote.....

Kwa ufupi Kenya ni open country na Tanzania ni closed country...
kama ww si mkenya basi ni mpinzani usiye jitambua
 
Ko hao unaowabwatukia wakija wakakodi na kuizalisha ww na binamu zako mulioshindwa kuitumia munawashwa nini,let them come tupate maendeleo na changamoto lakini akili mgando kama zako ni useless
Unasema akili mgando kama zangu, kwakuwa unanifahamu sivyo? Hongera kwa kunifahamu.
Na kwa post yako hii, umeonesha jinsi gani wewe ni mtoto, usiyejua lolote. Mimi sikuongelea maoni yangu, (ingawa hata yangu kwakuwa na uelewa hayapingani na hiki) nimeongelea sheria za nchi. Ungekuwa na kaakili kadogo kama kamuwezeshaye kuku kukumbuka kwake, ungeitaji kujifunza zaidi toka kwangu.

Kama ni mtz, pole kwa kutozijua sheria za nchi yako,, ni uzembe lakini hata umeshindwa kujiuliza Kwanini unalipia kodi ya ardhi. Kama ni mgeni, jihadhari, utaingizwa cha kike kwa kuuziwa ardhi Bongo, haiuzwi. Na hakuna mwenye ardhi yake nchini. Zote zinaweza kubadirishiwa matumizi muda wowote ikionekana inafaa kwa maslahi ya umma. Be smart.
 
Ufinyu wa akili huu! Kwamba kila anayekosoa hii Serikali basi ana matatizo ya kiuchumi. Jiongeze ZWAZWA kukosoa Serikali ni haki ya Watanzania wote wenye matatizo ya kiuchumi na wasio na matatizo ya kiuchumi. Warioba, Kinana, Mwinyi, Butiku hawana matatizo ya kiuchumi lakini waliikosoa Serikali.

Ujuha mwisho lumumba siyo humu.

Kama wao wanapenda kusifu kila kitu cha Serikali na CCM wafanye hivyo

Waache tabia ya kutukana na kusumbua wanaoona kasoro za Serikali na kukosoa

Kama wewe unapenda YANGA, kwa nini unamtukana wa SIMBA?

VIjana wa UVCC ni mabingwa wa matusi, wanataka kila mtu asifie serikali, Nyie UVCC, kazi yenu mnalipwa kusifia Serikali
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Unasema akili mgando kama zangu, kwakuwa unanifahamu sivyo? Hongera kwa kunifahamu.
Na kwa post yako hii, umeonesha jinsi gani wewe ni mtoto, usiyejua lolote. Mimi sikuongelea maoni yangu, (ingawa hata yangu kwakuwa na uelewa hayapingani na hiki) nimeongelea sheria za nchi. Ungekuwa na kaakili kadogo kama kamuwezeshaye kuku kukumbuka kwake, ungeitaji kujifunza zaidi toka kwangu.

Kama ni mtz, pole kwa kutozijua sheria za nchi yako,, ni uzembe lakini hata umeshindwa kujiuliza Kwanini unalipia kodi ya ardhi. Kama ni mgeni, jihadhari, utaingizwa cha kike kwa kuuziwa ardhi Bongo, haiuzwi. Na hakuna mwenye ardhi yake nchini. Zote zinaweza kubadirishiwa matumizi muda wowote ikionekana inafaa kwa maslahi ya umma. Be smart.

Wewe ndio akili mgando kabisa na huna upeo..Open up your mind brother

Wawekezaji wanamilikije ardhi Tanzania? Unajua maana ya Title deed?

Kama mtu anapewa ardhi kwa miaka 99? na ikiisha ana renew, then wewe peleka hapo tumbo kama hujalamba risasi

Wageni wanamiliki ardhi kwa lease ya miaka 66 na 99, so na Wakenya wanamiliki na wanalima...na wanaajiri watanzania kama vibarua....Serikali yako inatesa wananchi wake kwa sababu ni wajinga..Kama wewe

Kunyima elimu watanzania kama wewe ili uwe mjinga, uwe mnyonge

Huna hata heka kumi na hulimi, huna ajira....

Ila wapo Wakenya Morogoro na wanalima mpunga ile mbaya, wameajiri watanzania vibarua
 
Labda kwakuwa unanijua vyema, ila hii simu ninayoitumia nikiiuza na kutaka kununua ardhi bongo napata heka tatu. Sio kununua ni kukodisha. Lugha ya matusi ni kupungukiwa kwa hoja tu ndugu, huyajui na kamwe hutakuja huyajue mengi ya Tz, Tz ni taifa kama UK na USA ama China, sio tu nchi ni taifa.

Nimekwambia, tena inawezekana sikustahili kumwambia haya yote ubaki na fikra zako hasi. Sasa kama mkenya akija na mtaji wake, akalima mpunga Kilombero, na tukamwambia asiwapelekee ndugu zake wa tumbo moja wa Kenya, bali awauzie wasukuma wa Mwanza, tatizo liko wapi? Kisheria akikaidi hilo, na haki ya kuitumia hiyo ardhi inatoweka. Uwelewa wako unakwambia shamba tena sio shamba bali ardhi ni yake, natamani kukutukana. Busara zangu tu.
 
Wewe sio professional wa hii kada, nalo linakusumbua. Hata mimi naweza kuchukua lease hata ya karne kokote, bali ni lease tu. Title deed zimegawanyika,iko ya lease kama ya Tz na ownership kama ya KE. Lease iko subject na terms za mkodishaji, ukivunja masharti,na lease inavunjika. I once had some arguments with somebody, if you weren't the same, then the same with power of thinking like you, I said to him, that, he must've to be smart in each and everything, however the litle it is. Be smart. Here is the governing law of the country. And for a merely you, you are a very minute with. Be smart. Ushauri wa bure tu, ila karibu Tz, utusaidie vyakula.
 
Huwezi kuifikia kenya kwa kulalamika tuu
Haya sie hatuna plan,tuwekee basi plan zako mr planning manager!
 
Wewe ndio akili mgando kabisa na huna upeo..Open up your mind brother

Wawekezaji wanamilikije ardhi Tanzania? Unajua maana ya Title deed?

Kama mtu anapewa ardhi kwa miaka 99? na ikiisha ana renew, then wewe peleka hapo tumbo kama hujalamba risasi

Wageni wanamiliki ardhi kwa lease ya miaka 66 na 99, so na Wakenya wanamiliki na wanalima...na wanaajiri watanzania kama vibarua....Serikali yako inatesa wananchi wake kwa sababu ni wajinga..Kama wewe

Kunyima elimu watanzania kama wewe ili uwe mjinga, uwe mnyonge

Huna hata heka kumi na hulimi, huna ajira....

Ila wapo Wakenya Morogoro na wanalima mpunga ile mbaya, wameajiri watanzania vibarua
Pole sana mkuu, unakazi ngumu sana ya kupambana na wanufaika wachache wa mfumo uliopo.
 
Huwezi kuifikia kenya kwa kulalamika tuu
Haya sie hatuna plan,tuwekee basi plan zako mr planning manager!

Sijuka kama unaniambia mimi lakini kwenye topic nyingine tulishatoa ushauri na unaweza kuwatumia huu hapa chini

"Watanzania wengi tunataka Magufuli afanikiwe. Lakini kuwa Raisi sio kazi ndogo kwasababu kuna watu wanakushauri kwa manufaa binafsi ya kichama, kuan watu wanataka kupata nguvu kupitia migongo yako, na kuna viongozi ambao wanafikiria wanajua kila kitu. Tatizo kubwa sana la Magufuli na uongozi wa sasa inaonekana hawana plan. Hawana plan ni kwasababu wanajaribu kuendesha nchi kwa jinsi wanavyofikiria wakati huo na kibaya zaidi ukifanya hivyo mara nyingi nchi itakushinda kwasababu kuna kelele nyingi sana.

Hivyo kuna wanaosema hatushauri sasa mimi najua Magufuli anatakiwa kuanzia wapi na matatizo yako ni yapi. Na ni nini kitafanya maendeleo ya nchi yaanze kuonekana na furaha kwa nchi. Kwasasa hakuna anayefurahia chochote Tanzania. Nitaandika vitu hatua moja moja kuwasaidia

1. Ajiri team ya pricewaterhousecooper ikishirikiana na Mhasibu mkuu wa nchi kufanya yafuatayo

a. Kuchunguza utendaji wa idara zote za serikali na utendaji wake

b. Kutoa report ya kuongeza ufanisi kwenye kila idara hasa kwenye kuweka technologia, kupunguza wafanyakazi wasio wa lazima, kuunganisha idara zinazofanya kazi moja n.k…

c. Kuweka hatuna za kuchukua za utekelezaji wa hiyo plan bila kujali faida za kisiasa

Hii step ya kwanza itasaidia kujua tuko wapi, idara ambazo si za lazima na kutakuwa na plan ya utekelezaji.Utaratibu wa sasa wa viongozi wa kisiasa kufanya maamuzi hautasaidia maana wengine hawana ujuzi lakini vilevile wengine hasa viongozi kuwa na budget kubwa ni faidia kwao hivyo hawawezi wenyewe kupunguza matumizi ya ofisi zao maan itakuwa ni kujipunguzia power zao kitu ambacho ni kigumu. Hii inatakiwa kufanya na sharia lisilo na siasa wala agenda nyingine ya siri.

2. Achane ya vyombo vya habari. Waache watu waongee lolote , chochote kile na serikali iwekeze kwenye kukuza uchumi tu. Uchumi ukikuwa watu wanafurahia hautahitaji polisi wala uhasama. Na kikubwa hii vita huwezi kushinda

3. Ruhusu vyama vya siasa kuwa free na kufanya mikutano. Uhasama wa sasa hausaidii nchi na vievile ujue kwamba skendo kubwa za rushwa zimeletwa na upinzani. Ukiwa na wale wanaokuita mzee kila wakati huta kaa ujue ukweli . Lakini kikubwa corruption itaongezeka badala ya kupungua. Watakaonufaika sio TZ wala wewe ni viongozi binafsi wa CCM. Be careful kwenye hili utaka nchi ifanikiwe au CCM… ni vitu tofauti hivyo.

4. Fanya mpango wa uangalizi upya wa kodi. Kodi zetu sio zote nzuri na nyingi ziko juu sana na kupunguza uwekezaji. Kodi ziwe zina stimulate maendeleo

5. Fanya kufungua biashara iwe rahisi. Tuachane na milolongo ya kufungua biashara hakuna sababu maana wafanyabiashara ni walipa kodi.

6. Bank: Serikali isikope kutoka bank za ndani hii itapunguza riba za bank

7. Kila Mtanzania awe na kitambulisho na vitumike kila mahali hii itasadia sehemu nyingi sana. Vilevile kuwe na address za nyumba wanazoishi kwenye vitambulisho.

8. Ajiri watu wenye uzoefu sio wasomi wasio na uzoefu mfano hakuna wafanyabiashara kwenye baraza lako na wengi wa Dr, Prof hawajui chochote kuhusu utendaji wa kazi. Research za kishue hazisaidii sana kwenye utendaji.

9. Unda team maalumu za mapendekezo ya mabadiliko ya mifumo kama Afya, Elimu, Land, Kilimo….. mifumo ya sasa imepitwa na wakati sana. Unda team ambayo tena… ina watu wenye uzoefu wa hizo sehemu sio wasomi wasio na uzoefu na ziweke utendaji na plan zote.

10. Sikiliza ushauri sio kutoka kwa wana siasa pekee bali wapinzani, wafanyabiashara, wanafunzi, NGO’s na wengine wengi

11. Achana na vyombo vya sheria . acha view huru sasa tunaona mahaka ya rushwa inachagua makossa, kuna video za rushwa lakini hakuna washitakiwa! Polisi kwenye siasa achana na haya itaweka future mbaya ni si ya lazima.

Kikubwa Magufuli angalia sana sera zako. Ili Tanzania iende mbele haihitaji wewe kuwa na nguvu zaidi bali wewe kuwa na nguvu pungufu. Maana kesho na kesho kutwa akija mwingine na ana power zote uliyofanya yote anaweza kufuta kwa mwaka mmoja tu. Hivyo kama unapenda TZ ni lazima upende demokrasia kwa manufaa ya nchi nzima sio binafsi maana hata wewe una muda tu utaondoka"
 
kama ww si mkenya basi ni mpinzani usiye jitambua

Bahati mbaya vijana wa siku hizi kwasababu ya elimu kushuka hatuwezi hata kujibu hoja ni kutafuta kujuana huyu ni nani, yule ni nani.... yaani hata vijana waliomaliza chuo siku hizi huwezi kulinganisha na Form 6 ya wakati wetu tuliomaliza late 1990's inatia huruma. Na ndiyo maana tunasema tunahitaji plan
 
Wewe ndio akili mgando kabisa na huna upeo..Open up your mind brother

Wawekezaji wanamilikije ardhi Tanzania? Unajua maana ya Title deed?

Kama mtu anapewa ardhi kwa miaka 99? na ikiisha ana renew, then wewe peleka hapo tumbo kama hujalamba risasi

Wageni wanamiliki ardhi kwa lease ya miaka 66 na 99, so na Wakenya wanamiliki na wanalima...na wanaajiri watanzania kama vibarua....Serikali yako inatesa wananchi wake kwa sababu ni wajinga..Kama wewe

Kunyima elimu watanzania kama wewe ili uwe mjinga, uwe mnyonge

Huna hata heka kumi na hulimi, huna ajira....

Ila wapo Wakenya Morogoro na wanalima mpunga ile mbaya, wameajiri watanzania vibarua
Kama inawamilolisha wanalima na kufanya uwekezaji ni bora zaidi kuliko kuwa iddle au underutilised,serikali ya maccm isiyojielewa wajibu wake wa kuinua watu wake kiuchumi
 
Mtu
Labda kwakuwa unanijua vyema, ila hii simu ninayoitumia nikiiuza na kutaka kununua ardhi bongo napata heka tatu. Sio kununua ni kukodisha. Lugha ya matusi ni kupungukiwa kwa hoja tu ndugu, huyajui na kamwe hutakuja huyajue mengi ya Tz, Tz ni taifa kama UK na USA ama China, sio tu nchi ni taifa.

Nimekwambia, tena inawezekana sikustahili kumwambia haya yote ubaki na fikra zako hasi. Sasa kama mkenya akija na mtaji wake, akalima mpunga Kilombero, na tukamwambia asiwapelekee ndugu zake wa tumbo moja wa Kenya, bali awauzie wasukuma wa Mwanza, tatizo liko wapi? Kisheria akikaidi hilo, na haki ya kuitumia hiyo ardhi inatoweka. Uwelewa wako unakwambia shamba tena sio shamba bali ardhi ni yake, natamani kukutukana. Busara zangu tu.
Mtu anayekuja na mtaji wa biashara anataka faida hio ya xjui kumwambia labda na ww wekeza pesa zako ndo uambiwe,mengine uliyoandika hayaeleweke na hayana msingi wa hoja iliyoko mezani
 
Mtu

Mtu anayekuja na mtaji wa biashara anataka faida hio ya xjui kumwambia labda na ww wekeza pesa zako ndo uambiwe,mengine uliyoandika hayaeleweke na hayana msingi wa hoja iliyoko mezani
Hakuna mtu anayezuiliwa kuja kuwekeza kiuwekezaji nchini, kwa sera na sheria za nchi. Akaribie tu. Ila unaposema kuna mkenya anamiliki ardhi, Big No.
 
Unategemea tulingane au tuwafikie lini wakenya ilhali mkulu hajui chochote kuhusu bizness wala uchumi ndio maana wanaelekeza resource katika maeneo yasiyo na tija mfano viwanja vya Ndege vya kutua bundi na popo,sgr za umeme za kubebea mawese na magunia ya dagaa,sasa ni akili hizi kweli.Mathalani Wakenya wamejenga sgr sehemu ambayo kuna commercial cargo ya kutosha kurudisha investment capital na faida juu.
Hapa tzn kuna vioja na viroja vya kila aina,hujawahi kuta miradi hasa ya barabara za halmashauri inajengwa katika mitaa hata hakuna traffic au ipo kidogo sana sasa najiuliza pesa yote inayotumika kufanya mirandi isiyokuwa na maana kwa nn isitumike maeneo yatakauoleta tija kwa uchumi na wananchi?
 
Hakuna mtu anayezuiliwa kuja kuwekeza kiuwekezaji nchini, kwa sera na sheria za nchi. Akaribie tu. Ila unaposema kuna mkenya anamiliki ardhi, Big No.
Sasa munapotokwa na povu kwa Wakenya kuja nchini ikiwemo kumiliki ardhi kwa sharia zilizopo tuwaelewaje?
 
Sasa munapotokwa na povu kwa Wakenya kuja nchini ikiwemo kumiliki ardhi kwa sharia zilizopo tuwaelewaje?
Huwa sikuelewi halafu, ila Nitajitaidi tu. Kwanza Mimi msamiati povu hata huwa siuelewi kabisa. Labda nikuulize swali, inazijua sheria za ardhi za Tanzania na sera zake? Je, unazijua tofauti zake na za Kenya? Then, nikuulize, unadhani ni kipi kimesababsha tofauti hizo na zipi zenye tija kwa jamii za nchi husika? Labda tuanzie hapo, mbeleni tutaelewana.
 
Mdau keshafafanua hapo juu,.Tukiwa chuo mwaka wa kwanza,kama hujaelewa jambo ukimuuliza lecturer,alikuwa anajibu kwamba first year huwezi muelewa professor
 
Back
Top Bottom