Kenya watatuacha zaidi. Tanzania hatuna plan

Kenya watatuacha zaidi. Tanzania hatuna plan

Hakuna mfumo mbaya kama huu! Nchi kuvunjika vipande vipande na kuishia kuwa na nchi ndogo ndogo kama Rwanda na Burundi ni kitendo cha dakika. We unaona Zbar wanavyotupelekesha? Ukishaigawa nchi katika kanda nne au tano, zile kanda zinaweza zikajitangazia mamlaka kamili na kuwa nchi. Refer mgogoro wa kura ya maoni ya Catalonia...
We unalopoka lopoka tu kama hayawani Wala hujui unachokisema
 
Ngoja Kenya nao walete changamoto zako halafu nipime nitahamia wapi?
 
Plan yetu upinzani wa vyama ufe hayo mengine sio size yetu
Mawazo ya kijinga sanaaa
Nyie watu maendeleo yatakuja kwako na kitaifa kama hufanyikazu yeyote ya kichumi kwako na taifa.
Tufanyeni kazi Watanzani!!!!! Tusijiegeshe na kukaa mitandaoni kujilainisha!!!!
Hao wafadhili wenu waliyo na lengo la kuzoofisha taifs hili wana mwisho!!!
Usije jilaumu!!!!
 
Kwanza reference yetu kimaendeleo na ustaarabu ni Kenya,hiyo tu ni sababu tisha kuonesha kwamba she is ahead of us
 
Nenda Huko Bac Ukaishi
Siyo swala la unaishi wapi? Nchi sio mtu mmoja. Vilevile kuishi nje sio kwamba wanaoishi Tanzania ni wazalendo zaidi wengine ni kuzubaa na kutokutaka kujiendeleza. Uzalendo ni kujaribu kusaidia Watanzania na jamii yako na kwa upendo
 
Back
Top Bottom