Kenya watatuacha zaidi. Tanzania hatuna plan

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,609
8,749
Kenya watatuacha zaidi kwasababu TZ hatuna plan inayoeleweka. Kenya sasa wana sera rahisi sana wako open kwa wana EA kuhamia Kenya, kununua land na kufanya biashara.

Kwa Kenya watu ni rasilimali na sio kitu cha kuogopa. Kenya diaspora wote wana haki zao zote za kikatiba na uraia na hii inasababisha uwekezaji mkubwa sana kwenye nyumba na apartments Kenya.

Uwekezaji wa Kenya unasababisha serikali kuwwa na pesa kwenye vitu vingine.

Kenya budget ni 100% ina garimiwa na Wakenya bila msaaada wowote. Kenya wana katiba mpya na mfumo wa county ambao ni wa kimarekani ambao unapeleka maendeleo zaidi chini na pesa inabaki zaidi kwenye kata na kusaidia zaidi walipa mkodi.

Mradi wa train wa Kenya umekwisha. Pamoja na ukabila Wakenya wana furaha kuliko Watanzania. Watanzania tumekuwa tunarudi nyuma kila sehemu.

Demokrasia tumerudi nyuma, uchumi tumerudi nyuma, master plan ya nchi haieleweki, uoga kwenye nchi, bank filisi, ardhi kushuka thamani,madeni ya nchi kuongezeka, hakuna uwekezaji binafsi mpya zaidi ya plan za zamani za mikopo.

Uhuru wa habari unakufa, vyama vya siasa vina hujumiwa na kufa. Viongozi ni wasomi wasiojua kutenda hawana uzoefu wa utendaji. Tunapigana na rushwa wakati makama ya rushwa haina washitakiwa ..... na waliopo wachache ni wa kuchaguliwa.

Kuna video za watu kutoa rushwa lakini hakuna action yeyote... polisi sasa ni chombo cha kisiasa. TRA ni chombo cha kutisha na kuua biashara. Bank ni sanamu hazitoe mikopo , hazina pesa.

Elimu bado hatuna plan wakati viwango vinaendelea kushuka. Tanzania hatuna hata statistics za kueleweka. Mfumo wa Afya unaotegemea msaada tu bila kubadilisshwa mfumo.

Nchi ambayo viongozi wanajali siasa zaidi kuliko chi. Nchi ya wajuaji bila kuwa na la kuonyesha. Viongozi ambao wanajali habari kuliko ukweli na wananchi.

Viongoizi wasioweza kusemwa, kushauriwa au kubadilika. I wish tungekuwa na viongozi wa Kenya maana sina imani tena hata rushwa ni macho tu magari ya mchanga hayafanyi kazi mchana kwasababu ya rushwa kuzidi na kuchukua faida yote.

Kwa ufupi Kenya ni open country na Tanzania ni closed country...
 
Kenya watatuacha zaidi kwasababu TZ hatuna plan inayoeleweka. Kenya sasa wana sera rahisi sana wako open kwa wana EA kuhamia Kenya, kununua land na kufanya biashara. Kwa Kenya watu ni rasilimali na sio kitu cha kuogopa. Kenya diaspora wote wana haki zao zote za kikatiba na uraia na hii inasababisha uwekezaji mkubwa sana kwenye nyumba na apartments Kenya. Uwekezaji wa Kenya unasababisha serikali kuwwa na pesa kwenye vitu vingine. Kenya budget ni 100% ina garimiwa na Wakenya bila msaaada wowote. Kenya wana katiba mpya na mfumo wa county ambao ni wa kimarekani ambao unapeleka maendeleo zaidi chini na pesa inabaki zaidi kwenye kata na kusaidia zaidi walipa mkodi. Mradi wa train wa Kenya umekwisha. Pamoja na ukabila Wakenya wana furaha kuliko Watanzania. Watanzania tumekuwa tunarudi nyuma kila sehemu. Demokrasia tumerudi nyuma, uchumi tumerudi nyuma, master plan ya nchi haieleweki, uoga kwenye nchi, bank filisi, ardhi kushuka thamani,madeni ya nchi kuongezeka, hakuna uwekezaji binafsi mpya zaidi ya plan za zamani za mikopo. Uhuru wa habari unakufa, vyama vya siasa vina hujumiwa na kufa. Viongozi ni wasomi wasiojua kutenda hawana uzoefu wa utendaji. Tunapigana na rushwa wakati makama ya rushwa haina washitakiwa ..... na waliopo wachache ni wa kuchaguliwa. Kuna video za watu kutoa rushwa lakini hakuna action yeyote... polisi sasa ni chombo cha kisiasa. TRA ni chombo cha kutisha na kuua biashara. Bank ni sanamu hazitoe mikopo , hazina pesa...... Elimu bado hatuna plan wakati viwango vinaendelea kushuka. Tanzania hatuna hata statistics za kueleweka. Mfumo wa Afya unaotegemea msaada tu bila kubadilisshwa mfumo. Nchi ambayo viongozi wanajali siasa zaidi kuliko chi. Nchi ya wajuaji bila kuwa na la kuonyesha. Viongozi ambao wanajali habari kuliko ukweli na wananchi... viongoizi wasioweza kusemwa, kushauriwa au kubadilika......... I wish tungekuwa na viongozi wa Kenya maana sina imani tena... hata rushwa ni macho tu magari ya mchanga hayafanyi kazi mchana kwasababu ya rushwa kuzidi na kuchukua faida yote.....

Plan yetu upinzani wa vyama ufe hayo mengine sio size yetu
 
mfumo wa county
Hakuna mfumo mbaya kama huu! Nchi kuvunjika vipande vipande na kuishia kuwa na nchi ndogo ndogo kama Rwanda na Burundi ni kitendo cha dakika. We unaona Zbar wanavyotupelekesha? Ukishaigawa nchi katika kanda nne au tano, zile kanda zinaweza zikajitangazia mamlaka kamili na kuwa nchi. Refer mgogoro wa kura ya maoni ya Catalonia...
 
Bidhaa za Kenya ni Bora na zinanunulika Tanzania. BLueband, Mafuta Fresh, Juices, Mafuta ya KCC, Siagi, Cofta, Hedex na nyingine kede kede

Embu Nenda Kenya kama utaona bidhaa za TZ supermarket za kenya?

Watz wanadanganywa na kauli mbiu ya Tanzania ya Viwanda...Wao Kenya ni Vitendo

Sera inayotekelezeka Tanzania ni kuuwa upinzani

Nao ViwaviJeshi kazi yao ni matusi, hawawezi kujenga hoja na kujibu hoja, wanatukana watu wanaokosoa serikali
 
Kenya watatuacha zaidi kwasababu TZ hatuna plan inayoeleweka. Kenya sasa wana sera rahisi sana wako open kwa wana EA kuhamia Kenya, kununua land na kufanya biashara. Kwa Kenya watu ni rasilimali na sio kitu cha kuogopa. Kenya diaspora wote wana haki zao zote za kikatiba na uraia na hii inasababisha uwekezaji mkubwa sana kwenye nyumba na apartments Kenya. Uwekezaji wa Kenya unasababisha serikali kuwwa na pesa kwenye vitu vingine. Kenya budget ni 100% ina garimiwa na Wakenya bila msaaada wowote. Kenya wana katiba mpya na mfumo wa county ambao ni wa kimarekani ambao unapeleka maendeleo zaidi chini na pesa inabaki zaidi kwenye kata na kusaidia zaidi walipa mkodi. Mradi wa train wa Kenya umekwisha. Pamoja na ukabila Wakenya wana furaha kuliko Watanzania. Watanzania tumekuwa tunarudi nyuma kila sehemu. Demokrasia tumerudi nyuma, uchumi tumerudi nyuma, master plan ya nchi haieleweki, uoga kwenye nchi, bank filisi, ardhi kushuka thamani,madeni ya nchi kuongezeka, hakuna uwekezaji binafsi mpya zaidi ya plan za zamani za mikopo. Uhuru wa habari unakufa, vyama vya siasa vina hujumiwa na kufa. Viongozi ni wasomi wasiojua kutenda hawana uzoefu wa utendaji. Tunapigana na rushwa wakati makama ya rushwa haina washitakiwa ..... na waliopo wachache ni wa kuchaguliwa. Kuna video za watu kutoa rushwa lakini hakuna action yeyote... polisi sasa ni chombo cha kisiasa. TRA ni chombo cha kutisha na kuua biashara. Bank ni sanamu hazitoe mikopo , hazina pesa...... Elimu bado hatuna plan wakati viwango vinaendelea kushuka. Tanzania hatuna hata statistics za kueleweka. Mfumo wa Afya unaotegemea msaada tu bila kubadilisshwa mfumo. Nchi ambayo viongozi wanajali siasa zaidi kuliko chi. Nchi ya wajuaji bila kuwa na la kuonyesha. Viongozi ambao wanajali habari kuliko ukweli na wananchi... viongoizi wasioweza kusemwa, kushauriwa au kubadilika......... I wish tungekuwa na viongozi wa Kenya maana sina imani tena... hata rushwa ni macho tu magari ya mchanga hayafanyi kazi mchana kwasababu ya rushwa kuzidi na kuchukua faida yote.....

Kwa ufupi Kenya ni open country na Tanzania ni closed country...
Hapa Serikali ina kimbizana na wananchi kukopa kwenye Mabenki
 
Kwa nini sasa usihamie Kenya huko unakosifia sana juzi ndugu yangu alienda mpakani anataka kwenda Nairobi akitumia kitambulisho chake alifika pal Sirari mpakani akadai anenda Nairobi na kitambulisho cha Tanzania aliambiwa hayo matangazo aliyotoa Rais Kenyatta hayoko katika sheria lazima aonyeshe pasi ya kusafiria tafadhali mnapolinganisha nchi yetu na kauli za viongozi wa jiongeze kiakili na ongeza na yako.
 
Another Askofu player hater son of ... peleka inferiority complex yako huko kwa Askofu Kakobe!
 
Watanzania tunachojua ni kufukia vichwa kwenye mchanga na kujifanya dosari zetu hatuzioni.

Kuna aina nne za watu
1. Watu wajinga lakini hawajui wao ni wajinga
2. Watu wajinga na wanajua ni wajinga lakini hawafanyi juhudi yoyote ya kutoka kwenye ujinga (wameridhika na ujinga)
3. Watu wajinga waojitahidi kuondokana na ujinga
4. Werevu

Where are we?
 
Wewe mwenyewe uko Tanzania na Huna Land, Wivu wa Kike tu

Wageni wanakuja na chapaa na kununua land wewe, acha ufala
Ugeni kwenu, hatutaki watu wa kuja kutwambkiza ukabila kwenye maeneo yetu, kwa nini msitulie kwenu? Mkamwapishe Odinga....hlf huku kwetu bank=benki
Land=ardhi,
Hatuchanganyi lugha, ukitaka kunyooka kwenye kiswahili nyooka au nyoka kwenye kingereza moja kwa moja, cha kukuongezea nimekaa huko Kenya, nimesomea huko miaka 11. Huna cha kuniambia kuhusu Kenya.
 
Kwa nini sasa usihamie Kenya huko unakosifia sana juzi ndugu yangu alienda mpakani anataka kwenda Nairobi akitumia kitambulisho chake alifika pal Sirari mpakani akadai anenda Nairobi na kitambulisho cha Tanzania aliambiwa hayo matangazo aliyotoa Rais Kenyatta hayoko katika sheria lazima aonyeshe pasi ya kusafiria tafadhali mnapolinganisha nchi yetu na kauli za viongozi wa jiongeze kiakili na ongeza na yako.
Hiyo mpya
 
Another Askofu player hater son of ... peleka inferiority complex yako huko kwa Askofu Kakobe!
Mkimbizi huyo anaanzisha uzi, eti kutulazimisha kuiponda nchi yetu, wakati yeye ni mkenya, waende watulie kule kwao, wasuluhishe mambo yao ya ukabila na kumwapisha Odinga.
 
Kwa nini sasa usihamie Kenya huko unakosifia sana juzi ndugu yangu alienda mpakani anataka kwenda Nairobi akitumia kitambulisho chake alifika pal Sirari mpakani akadai anenda Nairobi na kitambulisho cha Tanzania aliambiwa hayo matangazo aliyotoa Rais Kenyatta hayoko katika sheria lazima aonyeshe pasi ya kusafiria tafadhali mnapolinganisha nchi yetu na kauli za viongozi wa jiongeze kiakili na ongeza na yako.
Piga debe tu lakini ukweli ni ukweli tu. Kama una hoja au nililosema si kweli tuo maelezo hapa
 
Maeneo ambayo hatutakiwi kushindana na Kenya na kutegemea kuwapita kiurahisi ni pamoja na viwanda na usafiri wa anga. Ijapo kuna maeneo tunaweza kuwekeza na wasitukute kamwe kama vile kwenye kilimo cha kibiashara kwani tuna ardhi kubwa na nzuri sana, pia kwenye kuitumia ardhi kama mtaji wa kipato cha uchumi kwakuipima na kuithamanisha. Pia tunao uwezo mkubwa katika suala la utarii kama tunafikiria nje ya boksi. Mikoa yetu mingi ina sifa na vivutio vingi sana vya utarii tatizo ni kukariri vichache vilivyopo tayari, halmashauri zetu kutokuwa na ma afisa utarii waliosomea fani hiyo nalo ni tatizo la aina yake. Ndo hayo tu kwa leo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom