Kenya watatuacha zaidi. Tanzania hatuna plan

Kenya watatuacha zaidi kwasababu TZ hatuna plan inayoeleweka. Kenya sasa wana sera rahisi sana wako open kwa wana EA kuhamia Kenya, kununua land na kufanya biashara. Kwa Kenya watu ni rasilimali na sio kitu cha kuogopa. Kenya diaspora wote wana haki zao zote za kikatiba na uraia na hii inasababisha uwekezaji mkubwa sana kwenye nyumba na apartments Kenya. Uwekezaji wa Kenya unasababisha serikali kuwwa na pesa kwenye vitu vingine. Kenya budget ni 100% ina garimiwa na Wakenya bila msaaada wowote. Kenya wana katiba mpya na mfumo wa county ambao ni wa kimarekani ambao unapeleka maendeleo zaidi chini na pesa inabaki zaidi kwenye kata na kusaidia zaidi walipa mkodi. Mradi wa train wa Kenya umekwisha. Pamoja na ukabila Wakenya wana furaha kuliko Watanzania. Watanzania tumekuwa tunarudi nyuma kila sehemu. Demokrasia tumerudi nyuma, uchumi tumerudi nyuma, master plan ya nchi haieleweki, uoga kwenye nchi, bank filisi, ardhi kushuka thamani,madeni ya nchi kuongezeka, hakuna uwekezaji binafsi mpya zaidi ya plan za zamani za mikopo. Uhuru wa habari unakufa, vyama vya siasa vina hujumiwa na kufa. Viongozi ni wasomi wasiojua kutenda hawana uzoefu wa utendaji. Tunapigana na rushwa wakati makama ya rushwa haina washitakiwa ..... na waliopo wachache ni wa kuchaguliwa. Kuna video za watu kutoa rushwa lakini hakuna action yeyote... polisi sasa ni chombo cha kisiasa. TRA ni chombo cha kutisha na kuua biashara. Bank ni sanamu hazitoe mikopo , hazina pesa...... Elimu bado hatuna plan wakati viwango vinaendelea kushuka. Tanzania hatuna hata statistics za kueleweka. Mfumo wa Afya unaotegemea msaada tu bila kubadilisshwa mfumo. Nchi ambayo viongozi wanajali siasa zaidi kuliko chi. Nchi ya wajuaji bila kuwa na la kuonyesha. Viongozi ambao wanajali habari kuliko ukweli na wananchi... viongoizi wasioweza kusemwa, kushauriwa au kubadilika......... I wish tungekuwa na viongozi wa Kenya maana sina imani tena... hata rushwa ni macho tu magari ya mchanga hayafanyi kazi mchana kwasababu ya rushwa kuzidi na kuchukua faida yote.....

Kwa ufupi Kenya ni open country na Tanzania ni closed country...
Sio kenya tu hata nchi zingine zilizotuzunguka watu wake hawataki ujinga na wako tayari kuthubutu!, Kenya, Malawi, Zambia, wananchi wake wakimuona kiongozi wao anawaletea ungese huwa wanamng'oa asubuhi na mapema tu kwenye uchaguzi ndiyo maana wamefanikiwa sana kujenga demokrasia imara inayotoa fursa ya kuchangia mawazo yenye mlengo wa kujenga Nchi tofauti na hapa kwetu ambapo mtu akishakuwa kiongozi basi hujiona yy ni tofauti na wengine
 
Taahira bibi yako,weka hapa figure za GDP na budget ya Kenya na Tzn kwa mwaka uliopita
We nyambaf kweli! Hivi unaweza ukailinganisha kiuchumi Tanzania na Kenya? achie mengine angalia kwanza exchange rate ya Tsh na Ksh. Hebu waulize kwanza Watz wanaoishi jirani na Nchi hiyo wakuambie kinachoendelea
 
Wee inaelekea uelewi hao diaspora wako watahatalisha usalama Wa Haifa kwani tukiwapa tena uraia watachukua fomu alafu watasapotiwa na mataifa ya magharibi kisha wataleta taabu inchi itakuwa haitawaliki, tetetetete we,are prisoner of our own device. Lol
 
Hakuna mfumo mbaya kama huu! Nchi kuvunjika vipande vipande na kuishia kuwa na nchi ndogo ndogo kama Rwanda na Burundi ni kitendo cha dakika. We unaona Zbar wanavyotupelekesha? Ukishaigawa nchi katika kanda nne au tano, zile kanda zinaweza zikajitangazia mamlaka kamili na kuwa nchi. Refer mgogoro wa kura ya maoni ya Catalonia...
Mbona majimbo ya marekan hayajitangazii Uhuru wao,kama kuna haki na usawa katika mambo ya kijamii,kisiasa na kiuchumi.hakuwez kuwa na matatizo ya kujitangazia Uhuru,ila kama kuna unyanyasaji na ukandamizaji,watu lazima wadai Uhuru wao.
 
Kenya watatuacha zaidi kwasababu TZ hatuna plan inayoeleweka. Kenya sasa wana sera rahisi sana wako open kwa wana EA kuhamia Kenya, kununua land na kufanya biashara. Kwa Kenya watu ni rasilimali na sio kitu cha kuogopa. Kenya diaspora wote wana haki zao zote za kikatiba na uraia na hii inasababisha uwekezaji mkubwa sana kwenye nyumba na apartments Kenya. Uwekezaji wa Kenya unasababisha serikali kuwwa na pesa kwenye vitu vingine. Kenya budget ni 100% ina garimiwa na Wakenya bila msaaada wowote. Kenya wana katiba mpya na mfumo wa county ambao ni wa kimarekani ambao unapeleka maendeleo zaidi chini na pesa inabaki zaidi kwenye kata na kusaidia zaidi walipa mkodi. Mradi wa train wa Kenya umekwisha. Pamoja na ukabila Wakenya wana furaha kuliko Watanzania. Watanzania tumekuwa tunarudi nyuma kila sehemu. Demokrasia tumerudi nyuma, uchumi tumerudi nyuma, master plan ya nchi haieleweki, uoga kwenye nchi, bank filisi, ardhi kushuka thamani,madeni ya nchi kuongezeka, hakuna uwekezaji binafsi mpya zaidi ya plan za zamani za mikopo. Uhuru wa habari unakufa, vyama vya siasa vina hujumiwa na kufa. Viongozi ni wasomi wasiojua kutenda hawana uzoefu wa utendaji. Tunapigana na rushwa wakati makama ya rushwa haina washitakiwa ..... na waliopo wachache ni wa kuchaguliwa. Kuna video za watu kutoa rushwa lakini hakuna action yeyote... polisi sasa ni chombo cha kisiasa. TRA ni chombo cha kutisha na kuua biashara. Bank ni sanamu hazitoe mikopo , hazina pesa...... Elimu bado hatuna plan wakati viwango vinaendelea kushuka. Tanzania hatuna hata statistics za kueleweka. Mfumo wa Afya unaotegemea msaada tu bila kubadilisshwa mfumo. Nchi ambayo viongozi wanajali siasa zaidi kuliko chi. Nchi ya wajuaji bila kuwa na la kuonyesha. Viongozi ambao wanajali habari kuliko ukweli na wananchi... viongoizi wasioweza kusemwa, kushauriwa au kubadilika......... I wish tungekuwa na viongozi wa Kenya maana sina imani tena... hata rushwa ni macho tu magari ya mchanga hayafanyi kazi mchana kwasababu ya rushwa kuzidi na kuchukua faida yote.....

Kwa ufupi Kenya ni open country na Tanzania ni closed country...
Unasema wakenya wana furaha ?????nilianza kusoma vzur nkajua unaijua kenya vizuri kumbe cheche tuu et wakenya wanafuraha kuliko watz hahahahahaha ....hujui ulisemalo na hujui y toka enzi za Nyerere hao wakenya walifanya nn??? Ukiwajua vzuri hutataka hata robo tufungulie hawa kenge waje kuingia huku bila proper process
 
Kenya watatuacha zaidi kwasababu TZ hatuna plan inayoeleweka. Kenya sasa wana sera rahisi sana wako open kwa wana EA kuhamia Kenya, kununua land na kufanya biashara. Kwa Kenya watu ni rasilimali na sio kitu cha kuogopa. Kenya diaspora wote wana haki zao zote za kikatiba na uraia na hii inasababisha uwekezaji mkubwa sana kwenye nyumba na apartments Kenya. Uwekezaji wa Kenya unasababisha serikali kuwwa na pesa kwenye vitu vingine. Kenya budget ni 100% ina garimiwa na Wakenya bila msaaada wowote. Kenya wana katiba mpya na mfumo wa county ambao ni wa kimarekani ambao unapeleka maendeleo zaidi chini na pesa inabaki zaidi kwenye kata na kusaidia zaidi walipa mkodi. Mradi wa train wa Kenya umekwisha. Pamoja na ukabila Wakenya wana furaha kuliko Watanzania. Watanzania tumekuwa tunarudi nyuma kila sehemu. Demokrasia tumerudi nyuma, uchumi tumerudi nyuma, master plan ya nchi haieleweki, uoga kwenye nchi, bank filisi, ardhi kushuka thamani,madeni ya nchi kuongezeka, hakuna uwekezaji binafsi mpya zaidi ya plan za zamani za mikopo. Uhuru wa habari unakufa, vyama vya siasa vina hujumiwa na kufa. Viongozi ni wasomi wasiojua kutenda hawana uzoefu wa utendaji. Tunapigana na rushwa wakati makama ya rushwa haina washitakiwa ..... na waliopo wachache ni wa kuchaguliwa. Kuna video za watu kutoa rushwa lakini hakuna action yeyote... polisi sasa ni chombo cha kisiasa. TRA ni chombo cha kutisha na kuua biashara. Bank ni sanamu hazitoe mikopo , hazina pesa...... Elimu bado hatuna plan wakati viwango vinaendelea kushuka. Tanzania hatuna hata statistics za kueleweka. Mfumo wa Afya unaotegemea msaada tu bila kubadilisshwa mfumo. Nchi ambayo viongozi wanajali siasa zaidi kuliko chi. Nchi ya wajuaji bila kuwa na la kuonyesha. Viongozi ambao wanajali habari kuliko ukweli na wananchi... viongoizi wasioweza kusemwa, kushauriwa au kubadilika......... I wish tungekuwa na viongozi wa Kenya maana sina imani tena... hata rushwa ni macho tu magari ya mchanga hayafanyi kazi mchana kwasababu ya rushwa kuzidi na kuchukua faida yote.....

Kwa ufupi Kenya ni open country na Tanzania ni closed country...
Ni kawaida. Msemo wa waingereza kwamba bustani ya jirani yako kila wakati unaiona ni green.

Kama wewe ni m-TZ, una tatizo. Binafsi nawaomba sana wa-TZ tuwe na tabia ya kutafuta taarifa badala ya kumeza tunachosimuliwa. Unaanza mwanzo mpaka mwisho ukisema uzuri wa Kenya. Kenya siyo Eden au Mbingu ndugu. Kenya ni nchi ya taabu kama zingine dunia hii ya tatu. Naona hujawahi fika Kenya. Kenya unayoifahamu ni ile ya TV na magazeti. Usizubaishwe na mikwara ya matamko kwenye EAC.

Kenya kuna demokrasia ipi ya kila uchaguzi watu kuuwawa? Wana furaha ipi wakti wanaongoza kwa kupeleka wahudumu wa nyumbani uarabuni? Benki zipi unazosema wakati mwaka jana tu walilazimishwa kushusha interest rates hadi iwe chini ya 17 na bado hawataki! Elimu ipi wakati juzi tu Fredy Matiag'i ametia kichefuchefu. Unamfahamu au unafahamu Kernya tu!

Kuhusu elimu soma makara hii iliyoandikwa na m-Kenya, baadaye acha kujiandikia tu! Na wale wanaotoa 'Like', amkeni. Usingizi utawaponza.
Revealed: Why CS Matiang'i Ensured 70% of KCSE Candidates Scored a Strong D and Below
 
Mbona majimbo ya marekan hayajitangazii Uhuru wao,kama kuna haki na usawa katika mambo ya kijamii,kisiasa na kiuchumi.hakuwez kuwa na matatizo ya kujitangazia Uhuru,ila kama kuna unyanyasaji na ukandamizaji,watu lazima wadai Uhuru wao.
Hukuwahi kusikia Texas wanataka kujitenga na Marekani? Au Quebec kujitenga na Canada?
 
M
Kenya watatuacha zaidi kwasababu TZ hatuna plan inayoeleweka. Kenya sasa wana sera rahisi sana wako open kwa wana EA kuhamia Kenya, kununua land na kufanya biashara. Kwa Kenya watu ni rasilimali na sio kitu cha kuogopa. Kenya diaspora wote wana haki zao zote za kikatiba na uraia na hii inasababisha uwekezaji mkubwa sana kwenye nyumba na apartments Kenya. Uwekezaji wa Kenya unasababisha serikali kuwwa na pesa kwenye vitu vingine. Kenya budget ni 100% ina garimiwa na Wakenya bila msaaada wowote. Kenya wana katiba mpya na mfumo wa county ambao ni wa kimarekani ambao unapeleka maendeleo zaidi chini na pesa inabaki zaidi kwenye kata na kusaidia zaidi walipa mkodi. Mradi wa train wa Kenya umekwisha. Pamoja na ukabila Wakenya wana furaha kuliko Watanzania. Watanzania tumekuwa tunarudi nyuma kila sehemu. Demokrasia tumerudi nyuma, uchumi tumerudi nyuma, master plan ya nchi haieleweki, uoga kwenye nchi, bank filisi, ardhi kushuka thamani,madeni ya nchi kuongezeka, hakuna uwekezaji binafsi mpya zaidi ya plan za zamani za mikopo. Uhuru wa habari unakufa, vyama vya siasa vina hujumiwa na kufa. Viongozi ni wasomi wasiojua kutenda hawana uzoefu wa utendaji. Tunapigana na rushwa wakati makama ya rushwa haina washitakiwa ..... na waliopo wachache ni wa kuchaguliwa. Kuna video za watu kutoa rushwa lakini hakuna action yeyote... polisi sasa ni chombo cha kisiasa. TRA ni chombo cha kutisha na kuua biashara. Bank ni sanamu hazitoe mikopo , hazina pesa...... Elimu bado hatuna plan wakati viwango vinaendelea kushuka. Tanzania hatuna hata statistics za kueleweka. Mfumo wa Afya unaotegemea msaada tu bila kubadilisshwa mfumo. Nchi ambayo viongozi wanajali siasa zaidi kuliko chi. Nchi ya wajuaji bila kuwa na la kuonyesha. Viongozi ambao wanajali habari kuliko ukweli na wananchi... viongoizi wasioweza kusemwa, kushauriwa au kubadilika......... I wish tungekuwa na viongozi wa Kenya maana sina imani tena... hata rushwa ni macho tu magari ya mchanga hayafanyi kazi mchana kwasababu ya rushwa kuzidi na kuchukua faida yote.....

Kwa ufupi Kenya ni open country na Tanzania ni closed country...
Mkuu mbona walishatuacha!!! Watuache mara ngapi????
 
Umesahau all uniliver products kama omo,fresh vegetable oil etc, na vipi kuhusu jamaa, ndume? [emoji28] [emoji28]

Sasa tujiulize bidhaa za Tanzania zinauzika Kenya? Kama hapana, Kwa nini?
 
Watanzania tunachojua ni kufukia vichwa kwenye mchanga na kujifanya dosari zetu hatuzioni.

Kuna aina nne za watu
1. Watu wajinga lakini hawajui wao ni wajinga
2. Watu wajinga na wanajua ni wajinga lakini hawafanyi juhudi yoyote ya kutoka kwenye ujinga (wameridhika na ujinga)
3. Watu wajinga waojitahidi kuondokana na ujinga
4. Werevu

Where are we?

Asilimia ingine kuna Bendera fuata upepo

Kura za vijijini ni za 1, 2
 
Kenyatta kafungua mipaka ili wale mnaoiona Kenya ni bora kuliko Tz muende huko!!
 
Kenya watatuacha zaidi kwasababu TZ hatuna plan inayoeleweka. Kenya sasa wana sera rahisi sana wako open kwa wana EA kuhamia Kenya, kununua land na kufanya biashara. Kwa Kenya watu ni rasilimali na sio kitu cha kuogopa. Kenya diaspora wote wana haki zao zote za kikatiba na uraia na hii inasababisha uwekezaji mkubwa sana kwenye nyumba na apartments Kenya. Uwekezaji wa Kenya unasababisha serikali kuwwa na pesa kwenye vitu vingine. Kenya budget ni 100% ina garimiwa na Wakenya bila msaaada wowote. Kenya wana katiba mpya na mfumo wa county ambao ni wa kimarekani ambao unapeleka maendeleo zaidi chini na pesa inabaki zaidi kwenye kata na kusaidia zaidi walipa mkodi. Mradi wa train wa Kenya umekwisha. Pamoja na ukabila Wakenya wana furaha kuliko Watanzania. Watanzania tumekuwa tunarudi nyuma kila sehemu. Demokrasia tumerudi nyuma, uchumi tumerudi nyuma, master plan ya nchi haieleweki, uoga kwenye nchi, bank filisi, ardhi kushuka thamani,madeni ya nchi kuongezeka, hakuna uwekezaji binafsi mpya zaidi ya plan za zamani za mikopo. Uhuru wa habari unakufa, vyama vya siasa vina hujumiwa na kufa. Viongozi ni wasomi wasiojua kutenda hawana uzoefu wa utendaji. Tunapigana na rushwa wakati makama ya rushwa haina washitakiwa ..... na waliopo wachache ni wa kuchaguliwa. Kuna video za watu kutoa rushwa lakini hakuna action yeyote... polisi sasa ni chombo cha kisiasa. TRA ni chombo cha kutisha na kuua biashara. Bank ni sanamu hazitoe mikopo , hazina pesa...... Elimu bado hatuna plan wakati viwango vinaendelea kushuka. Tanzania hatuna hata statistics za kueleweka. Mfumo wa Afya unaotegemea msaada tu bila kubadilisshwa mfumo. Nchi ambayo viongozi wanajali siasa zaidi kuliko chi. Nchi ya wajuaji bila kuwa na la kuonyesha. Viongozi ambao wanajali habari kuliko ukweli na wananchi... viongoizi wasioweza kusemwa, kushauriwa au kubadilika......... I wish tungekuwa na viongozi wa Kenya maana sina imani tena... hata rushwa ni macho tu magari ya mchanga hayafanyi kazi mchana kwasababu ya rushwa kuzidi na kuchukua faida yote.....

Kwa ufupi Kenya ni open country na Tanzania ni closed country...
Sasa si ukaishi Kenya kwenye plan ili usonge mbele?
 
1:Hivi kuna nini kinaendelea kati ya Tanzania na Kenya?
2:Humu JamiiForums naona sana ufananisho wa hizi nchi mbili kuna nini ndugu zangu?
3:Kwa nini sio Kenya na Uganda au Kenya na Kongo - Kinshasa?
Tatizo letu kama nilivyosema hatutaki kujua wala kusema ukweli.

Kwanza Kwanini Kenya? Kwasababu Kenya na Tanzania ni watu walewale na utamaduni wetu ni sawa tofauti kubwa ni idadi ya watu, ukubwa wa nchi na utamaduni kidogo. Lakini hizi tofauti zina ipa TZ advantage lakini je kwanini uchumi wetu bado uko nyuma sana ni sheria na kutokubadilika. Wenzetu wana katiba mpya mfano wakati sisi bado tuna lumbana wenyewe wenyewe... wenzetu wana sheria za land sasa sisi tunajisifia hii land inatuletea maendeleo gani mpaka sasa zaidi ya mapori tu hata kilimo hatufanyi ni majungu tu ! ukisafisha shamba kesho porini na kuliweka vizuri ndiyo unapata migogoro na watu kutafuta mbinu za kuchukua sehemu yako wakati kuna mapori mengi. Tanzania hatuna sababu ya kuwa nyuma ya Kenya kiuchumi sasa badala ya madongo tujiulize ni sera gani ambazo ni mbovu...Tuache jazba na kuelezana facts.
 
Back
Top Bottom