Kenya watatuacha zaidi. Tanzania hatuna plan

Hakuna mfumo mbaya kama huu! Nchi kuvunjika vipande vipande na kuishia kuwa na nchi ndogo ndogo kama Rwanda na Burundi ni kitendo cha dakika. We unaona Zbar wanavyotupelekesha? Ukishaigawa nchi katika kanda nne au tano, zile kanda zinaweza zikajitangazia mamlaka kamili na kuwa nchi. Refer mgogoro wa kura ya maoni ya Catalonia...
Kwani hii nchi kubwa tuliyonayo imetusaidia nn? Bora ivunjike tu. Ni aibu kuitwa mtanzania.
 
Kenya watatuacha zaidi kwasababu TZ hatuna plan inayoeleweka. Kenya sasa wana sera rahisi sana wako open kwa wana EA kuhamia Kenya, kununua land na kufanya biashara. Kwa Kenya watu ni rasilimali na sio kitu cha kuogopa. Kenya diaspora wote wana haki zao zote za kikatiba na uraia na hii inasababisha uwekezaji mkubwa sana kwenye nyumba na apartments Kenya. Uwekezaji wa Kenya unasababisha serikali kuwwa na pesa kwenye vitu vingine. Kenya budget ni 100% ina garimiwa na Wakenya bila msaaada wowote. Kenya wana katiba mpya na mfumo wa county ambao ni wa kimarekani ambao unapeleka maendeleo zaidi chini na pesa inabaki zaidi kwenye kata na kusaidia zaidi walipa mkodi. Mradi wa train wa Kenya umekwisha. Pamoja na ukabila Wakenya wana furaha kuliko Watanzania. Watanzania tumekuwa tunarudi nyuma kila sehemu. Demokrasia tumerudi nyuma, uchumi tumerudi nyuma, master plan ya nchi haieleweki, uoga kwenye nchi, bank filisi, ardhi kushuka thamani,madeni ya nchi kuongezeka, hakuna uwekezaji binafsi mpya zaidi ya plan za zamani za mikopo. Uhuru wa habari unakufa, vyama vya siasa vina hujumiwa na kufa. Viongozi ni wasomi wasiojua kutenda hawana uzoefu wa utendaji. Tunapigana na rushwa wakati makama ya rushwa haina washitakiwa ..... na waliopo wachache ni wa kuchaguliwa. Kuna video za watu kutoa rushwa lakini hakuna action yeyote... polisi sasa ni chombo cha kisiasa. TRA ni chombo cha kutisha na kuua biashara. Bank ni sanamu hazitoe mikopo , hazina pesa...... Elimu bado hatuna plan wakati viwango vinaendelea kushuka. Tanzania hatuna hata statistics za kueleweka. Mfumo wa Afya unaotegemea msaada tu bila kubadilisshwa mfumo. Nchi ambayo viongozi wanajali siasa zaidi kuliko chi. Nchi ya wajuaji bila kuwa na la kuonyesha. Viongozi ambao wanajali habari kuliko ukweli na wananchi... viongoizi wasioweza kusemwa, kushauriwa au kubadilika......... I wish tungekuwa na viongozi wa Kenya maana sina imani tena... hata rushwa ni macho tu magari ya mchanga hayafanyi kazi mchana kwasababu ya rushwa kuzidi na kuchukua faida yote.....

Kwa ufupi Kenya ni open country na Tanzania ni closed country...
Toa ushauri nini kifanyike mkuu. Ukilalamika sana haisaidii. Utaonekana sio mzalendo.
 
Wewe mwenyewe inaonekana ni mkenya, "eti kununua land", kaeni na unyang'au wenu huko huko, hatudanganyiki, kamalizeni kwanza ukabila wenu huko kwenu ndo mje muongelee "kununua land Tz".
Hata wafute mipaka isiwepo bado Kenya ndo nchi ya kipuuzi sana et unaweza nunua land thubutuuu
 
Umeona mkuu, eti wanataka kutuingiza mkenge, tukubali wawe huru kufanya chchte wanachotaka huku kwetu.
 
Hakuna mfumo mbaya kama huu! Nchi kuvunjika vipande vipande na kuishia kuwa na nchi ndogo ndogo kama Rwanda na Burundi ni kitendo cha dakika. We unaona Zbar wanavyotupelekesha? Ukishaigawa nchi katika kanda nne au tano, zile kanda zinaweza zikajitangazia mamlaka kamili na kuwa nchi. Refer mgogoro wa kura ya maoni ya Catalonia...
Akili ya kijinga hiyo mkuu,mfumo wa kisiasa unaoupinga ndio mfumo wa kisasa dunia nzima just like market economy,,tayari tuna mikoa na local government,,ni ishu ya kudecentralize tu,,kanuni ya PAYE ndio inatumika kuendesha serikali kuu,case ya Zanzibar ni tofauti ile ni nchi sio mkoa
 
Hakuna mfumo mbaya kama huu! Nchi kuvunjika vipande vipande na kuishia kuwa na nchi ndogo ndogo kama Rwanda na Burundi ni kitendo cha dakika. We unaona Zbar wanavyotupelekesha? Ukishaigawa nchi katika kanda nne au tano, zile kanda zinaweza zikajitangazia mamlaka kamili na kuwa nchi. Refer mgogoro wa kura ya maoni ya Catalonia...
Kwanini Kenya haitokei hiyo unayowaza
 
Unajua serikali ya Kenya ina mkopo kiasi ambacho kwasasa nchi hiyo haikopesheki tena.
Hata kama haikopesheki ingawa hujaleta Ushahidi lkn Bajeti yao wanaiFUND
wenyewe sisi tunaodhani kukopeshwa ni Sifa Bajeti inatushinda
 
T
Maeneo ambayo hatutakiwi kushindana na Kenya na kutegemea kuwapita kiurahisi ni pamoja na viwanda na usafiri wa anga. Ijapo kuna maeneo tunaweza kuwekeza na wasitukute kamwe kama vile kwenye kilimo cha kibiashara kwani tuna ardhi kubwa na nzuri sana, pia kwenye kuitumia ardhi kama mtaji wa kipato cha uchumi kwakuipima na kuithamanisha. Pia tunao uwezo mkubwa katika suala la utarii kama tunafikiria nje ya boksi. Mikoa yetu mingi ina sifa na vivutio vingi sana vya utarii tatizo ni kukariri vichache vilivyopo tayari, halmashauri zetu kutokuwa na ma afisa utarii waliosomea fani hiyo nalo ni tatizo la aina yake. Ndo hayo tu kwa leo
Tatizo kubwa LA hii nchi ni rasilimali watu sio aggressive kuanzia rais hadi raia wa kawaida,mfumo wa uongizi na utawala ,,tukirekebisha haya we can move somewhere
 
Hakuna mfumo mbaya kama huu! Nchi kuvunjika vipande vipande na kuishia kuwa na nchi ndogo ndogo kama Rwanda na Burundi ni kitendo cha dakika. We unaona Zbar wanavyotupelekesha? Ukishaigawa nchi katika kanda nne au tano, zile kanda zinaweza zikajitangazia mamlaka kamili na kuwa nchi. Refer mgogoro wa kura ya maoni ya Catalonia...

Huu ukubwa wetu unatusaidia nini? Mbona bado sisi ni masikini na wakati ni wamoja toka uhuru? Ungeweza kueleza ukubwa wetu umebadilisha vipi umasikini wetu wangalau ningeelewa unasema nini.
 
Maeneo ambayo hatutakiwi kushindana na Kenya na kutegemea kuwapita kiurahisi ni pamoja na viwanda na usafiri wa anga. Ijapo kuna maeneo tunaweza kuwekeza na wasitukute kamwe kama vile kwenye kilimo cha kibiashara kwani tuna ardhi kubwa na nzuri sana, pia kwenye kuitumia ardhi kama mtaji wa kipato cha uchumi kwakuipima na kuithamanisha. Pia tunao uwezo mkubwa katika suala la utarii kama tunafikiria nje ya boksi. Mikoa yetu mingi ina sifa na vivutio vingi sana vya utarii tatizo ni kukariri vichache vilivyopo tayari, halmashauri zetu kutokuwa na ma afisa utarii waliosomea fani hiyo nalo ni tatizo la aina yake. Ndo hayo tu kwa leo
Ndugu hivi vitu sijui Ardhi sijui nini tumekuwa navyo miaka yote vimetusaidia nini wanaosema watajenga Viwanda wanaishia kurudisha biashara ya utumwa kununua watu ili wabaki mamlakani
 
Kenya watatuacha zaidi kwasababu TZ hatuna plan inayoeleweka. Kenya sasa wana sera rahisi sana wako open kwa wana EA kuhamia Kenya, kununua land na kufanya biashara. Kwa Kenya watu ni rasilimali na sio kitu cha kuogopa. Kenya diaspora wote wana haki zao zote za kikatiba na uraia na hii inasababisha uwekezaji mkubwa sana kwenye nyumba na apartments Kenya. Uwekezaji wa Kenya unasababisha serikali kuwwa na pesa kwenye vitu vingine. Kenya budget ni 100% ina garimiwa na Wakenya bila msaaada wowote. Kenya wana katiba mpya na mfumo wa county ambao ni wa kimarekani ambao unapeleka maendeleo zaidi chini na pesa inabaki zaidi kwenye kata na kusaidia zaidi walipa mkodi. Mradi wa train wa Kenya umekwisha. Pamoja na ukabila Wakenya wana furaha kuliko Watanzania. Watanzania tumekuwa tunarudi nyuma kila sehemu. Demokrasia tumerudi nyuma, uchumi tumerudi nyuma, master plan ya nchi haieleweki, uoga kwenye nchi, bank filisi, ardhi kushuka thamani,madeni ya nchi kuongezeka, hakuna uwekezaji binafsi mpya zaidi ya plan za zamani za mikopo. Uhuru wa habari unakufa, vyama vya siasa vina hujumiwa na kufa. Viongozi ni wasomi wasiojua kutenda hawana uzoefu wa utendaji. Tunapigana na rushwa wakati makama ya rushwa haina washitakiwa ..... na waliopo wachache ni wa kuchaguliwa. Kuna video za watu kutoa rushwa lakini hakuna action yeyote... polisi sasa ni chombo cha kisiasa. TRA ni chombo cha kutisha na kuua biashara. Bank ni sanamu hazitoe mikopo , hazina pesa...... Elimu bado hatuna plan wakati viwango vinaendelea kushuka. Tanzania hatuna hata statistics za kueleweka. Mfumo wa Afya unaotegemea msaada tu bila kubadilisshwa mfumo. Nchi ambayo viongozi wanajali siasa zaidi kuliko chi. Nchi ya wajuaji bila kuwa na la kuonyesha. Viongozi ambao wanajali habari kuliko ukweli na wananchi... viongoizi wasioweza kusemwa, kushauriwa au kubadilika......... I wish tungekuwa na viongozi wa Kenya maana sina imani tena... hata rushwa ni macho tu magari ya mchanga hayafanyi kazi mchana kwasababu ya rushwa kuzidi na kuchukua faida yote.....

Kwa ufupi Kenya ni open country na Tanzania ni closed country...
Wew sisis sio mafala kufuata sera ya kijinga hyo tukiifuata kenya wtakua wanatunyonya sisi
 
Huu ukubwa wetu unatusaidia nini? Mbona bado sisi ni masikini na wakati ni wamoja toka uhuru? Ungeweza kueleza ukubwa wetu umebadilisha vipi umasikini wetu wangalau ningeelewa unasema nini.
Shida ya Nchi hii kuna majitu bado hayatumii Akili zao kufiri bado yanakaririshwa maneno na watu wengine wao Kazi yao ni kutapika tu kama Kasuku
 
Unajua serikali ya Kenya ina mkopo kiasi ambacho kwasasa nchi hiyo haikopesheki tena.
Acha uongo,sio Greece ile kwamba uchumi umecolapse hadi isikopesheke,afu Japan na marekani sana uwiano mkubwa kabisa wa madeni kwa pato LA taifa na wanakopesheka
 
Hata kama haikopesheki ingawa hujaleta Ushahidi lkn Bajeti yao wanaiFUND
wenyewe sisi tunaodhani kukopeshwa ni Sifa Bajeti inatushinda

Image result for kenya external debt 2017
External Debt in Kenya increased to 2310.20 KES Billion in September from 2309.78 KES Billion in August of 2017.

World Bank in fresh warning as Kenya’s debt hits Sh3.8 trn
A rapid build-up of public debt in the past four years has put the Kenyan economy at the risk of turbulence, the World Bank warned on Wednesday, adding its voice to rising concerns over the possible impact of heavy borrowing on the country’s future.

Quote: Daily Nation Kenya

Mkuu na sehemu kubwa ya mikopo hii imeishia kwenye mifuko ya viongozi wakubwa wa Kenya
 
Tanzania imejaa wajinga, wabishi na wajuaji. Na sasa Tanzania imepata mungu-mtu anayependa kuwapelekesha ovyo ovyo kama mwendawazimu.
 
Kenya watatuacha zaidi kwasababu TZ hatuna plan inayoeleweka. Kenya sasa wana sera rahisi sana wako open kwa wana EA kuhamia Kenya, kununua land na kufanya biashara. Kwa Kenya watu ni rasilimali na sio kitu cha kuogopa. Kenya diaspora wote wana haki zao zote za kikatiba na uraia na hii inasababisha uwekezaji mkubwa sana kwenye nyumba na apartments Kenya. Uwekezaji wa Kenya unasababisha serikali kuwwa na pesa kwenye vitu vingine. Kenya budget ni 100% ina garimiwa na Wakenya bila msaaada wowote. Kenya wana katiba mpya na mfumo wa county ambao ni wa kimarekani ambao unapeleka maendeleo zaidi chini na pesa inabaki zaidi kwenye kata na kusaidia zaidi walipa mkodi. Mradi wa train wa Kenya umekwisha. Pamoja na ukabila Wakenya wana furaha kuliko Watanzania. Watanzania tumekuwa tunarudi nyuma kila sehemu. Demokrasia tumerudi nyuma, uchumi tumerudi nyuma, master plan ya nchi haieleweki, uoga kwenye nchi, bank filisi, ardhi kushuka thamani,madeni ya nchi kuongezeka, hakuna uwekezaji binafsi mpya zaidi ya plan za zamani za mikopo. Uhuru wa habari unakufa, vyama vya siasa vina hujumiwa na kufa. Viongozi ni wasomi wasiojua kutenda hawana uzoefu wa utendaji. Tunapigana na rushwa wakati makama ya rushwa haina washitakiwa ..... na waliopo wachache ni wa kuchaguliwa. Kuna video za watu kutoa rushwa lakini hakuna action yeyote... polisi sasa ni chombo cha kisiasa. TRA ni chombo cha kutisha na kuua biashara. Bank ni sanamu hazitoe mikopo , hazina pesa...... Elimu bado hatuna plan wakati viwango vinaendelea kushuka. Tanzania hatuna hata statistics za kueleweka. Mfumo wa Afya unaotegemea msaada tu bila kubadilisshwa mfumo. Nchi ambayo viongozi wanajali siasa zaidi kuliko chi. Nchi ya wajuaji bila kuwa na la kuonyesha. Viongozi ambao wanajali habari kuliko ukweli na wananchi... viongoizi wasioweza kusemwa, kushauriwa au kubadilika......... I wish tungekuwa na viongozi wa Kenya maana sina imani tena... hata rushwa ni macho tu magari ya mchanga hayafanyi kazi mchana kwasababu ya rushwa kuzidi na kuchukua faida yote.....

Kwa ufupi Kenya ni open country na Tanzania ni closed country...
Kaombe uraia, tuache na Tanzania yetu tulivyo
 
Back
Top Bottom