bintidarajani
JF-Expert Member
- Aug 21, 2014
- 200
- 178
Kenya is not stable politically, the country is not peaceful as you can hear a lot of alshabab attacks, the country is tribalistic, uchumi wao una favor matajiri wachache wenye umiliki wa ardhi karibu robo Tatu ya Nchi, mtu wa kawaida umiliki eka ya ardhi Nairobi ni ndoto, corruption NJE nje, Kabila moja ndio lipo sehemu zote muhimu za ofisi za Serikali, hakuna uzalendo ni u binafsi tu, wanajua kiingereza, ujanja na maneno mingi ili wapate pesa wanafunzi wa Kenya hawa jui hesabu na ndio maana wanao soma huko primary wakuja Tz hesabu hawa jui . Ulizeni historia kwanini EAC ilivunjika 1977 utaelewa ujanja janja wao. Tz ni Kiboko ya Nchi za EAC tuna ardhi, Amani, Watu , uongozi bora, sera bora zinazofanya uchumi wetu ukue kwa kasi, MADINI, utalii mwaka huu watalii ni wengi sana hakuna Cha low wala high season sababu tuna mboga nzuri, vivutio vizuri vya utalii hasa Amani ime wafanya wakimbie kenya NA kuwa acha wake ya wafanya siasa. Hapa kazi tuu. Acha wakae wenyewe hakuna MTZ wa kukimbilia Kenya. Tz imezoea kupokea wakimbizi toka Nchi jirani wakiwa na vita. Watakula wakiwa na shida za kibinaadam. Ardhi yetu ni ya watz period. Peleka salaam kwa walio kutumaKenya watatuacha zaidi kwasababu TZ hatuna plan inayoeleweka. Kenya sasa wana sera rahisi sana wako open kwa wana EA kuhamia Kenya, kununua land na kufanya biashara. Kwa Kenya watu ni rasilimali na sio kitu cha kuogopa. Kenya diaspora wote wana haki zao zote za kikatiba na uraia na hii inasababisha uwekezaji mkubwa sana kwenye nyumba na apartments Kenya. Uwekezaji wa Kenya unasababisha serikali kuwwa na pesa kwenye vitu vingine. Kenya budget ni 100% ina garimiwa na Wakenya bila msaaada wowote. Kenya wana katiba mpya na mfumo wa county ambao ni wa kimarekani ambao unapeleka maendeleo zaidi chini na pesa inabaki zaidi kwenye kata na kusaidia zaidi walipa mkodi. Mradi wa train wa Kenya umekwisha. Pamoja na ukabila Wakenya wana furaha kuliko Watanzania. Watanzania tumekuwa tunarudi nyuma kila sehemu. Demokrasia tumerudi nyuma, uchumi tumerudi nyuma, master plan ya nchi haieleweki, uoga kwenye nchi, bank filisi, ardhi kushuka thamani,madeni ya nchi kuongezeka, hakuna uwekezaji binafsi mpya zaidi ya plan za zamani za mikopo. Uhuru wa habari unakufa, vyama vya siasa vina hujumiwa na kufa. Viongozi ni wasomi wasiojua kutenda hawana uzoefu wa utendaji. Tunapigana na rushwa wakati makama ya rushwa haina washitakiwa ..... na waliopo wachache ni wa kuchaguliwa. Kuna video za watu kutoa rushwa lakini hakuna action yeyote... polisi sasa ni chombo cha kisiasa. TRA ni chombo cha kutisha na kuua biashara. Bank ni sanamu hazitoe mikopo , hazina pesa...... Elimu bado hatuna plan wakati viwango vinaendelea kushuka. Tanzania hatuna hata statistics za kueleweka. Mfumo wa Afya unaotegemea msaada tu bila kubadilisshwa mfumo. Nchi ambayo viongozi wanajali siasa zaidi kuliko chi. Nchi ya wajuaji bila kuwa na la kuonyesha. Viongozi ambao wanajali habari kuliko ukweli na wananchi... viongoizi wasioweza kusemwa, kushauriwa au kubadilika......... I wish tungekuwa na viongozi wa Kenya maana sina imani tena... hata rushwa ni macho tu magari ya mchanga hayafanyi kazi mchana kwasababu ya rushwa kuzidi na kuchukua faida yote.....
Kwa ufupi Kenya ni open country na Tanzania ni closed country...