Kenya watatuacha zaidi. Tanzania hatuna plan

Kenya watatuacha zaidi. Tanzania hatuna plan

Kwenye elimu bado tunaendelea kuichekesha dunia. Primary watoto wanafundishwa kwa kiswahili halafu sekondari ghafla wanabadilishiwa lugha na kufundishwa kwa kiingereza. Walimu wengi sekondari hicho kiingerza hawakiwezi. Wanafundisha kwa kiswahili wanaandika notes kwa kiingereza. Watoto hawaelewi masomo bali wanakariri ili wafaulu mitihàni. Mpaka hapo, sisi kama taifa tunajitambua kweli?
 
Tokea JPM ashike dola uchumi wa Tanzania unapaa kwa kasi world Bank wametoa report Jana.

Kadanganye bibi zako kijijini,hizo figure tokea Jk alivyoingia madarakani hadi huyu Mzee wa kiki huwa zinacheza humo humo,,cha ajabu awamu hii matakwimu ya kukua uchumi yako juu wakati uhalisia wa maisha hali ni mbaya,,Wenzenu hapo Ethiopia na Kenya private consumers per head inazidi kuexpand wakati bongo inapungua sasa huo uchumi unakulia wapi?
 
Tanzania tulikuwa na fursa ya kufanya vizuri zaidi kushinda Kenya hasa ki uchumi lkn sera na uongozi mbovu vimetuua pamoja na kuhubiri mno siasa.

Kwa hali hii tutabaki kuwa watu wa kulazimisha kusifiwa tu na kelele nyingi za majukwaani huku wenzetu wakikata mbuga.

Tuko preoccupied na namna gani tunaweza kuutokomeza upinzani kuliko namna gani tufanye ili tuwe na 'viwanda'...!! Tutaendelea tu kuwa 'The laughing stock of the world'.
 
Hahaha na ukifika South Africa si utazirai? Nitajie kiwanda kilichopo Kenya Tanzania hakuna mbona hukisemi?
Tht y nikasema kwa afrika mashariki, ukweli mchungu idadi ya viwanda walivyonavyo wakenya hatuwafikii hta nusu yake
 
Hakuna mfumo mbaya kama huu! Nchi kuvunjika vipande vipande na kuishia kuwa na nchi ndogo ndogo kama Rwanda na Burundi ni kitendo cha dakika. We unaona Zbar wanavyotupelekesha? Ukishaigawa nchi katika kanda nne au tano, zile kanda zinaweza zikajitangazia mamlaka kamili na kuwa nchi. Refer mgogoro wa kura ya maoni ya Catalonia...

Kwani wakijitenga kuna kuwa na shida gani? Tunachoitaji ni maendeleo ya kila mkoa au kanda yaendelezwa na kile kinachopatikana kwenye hizo kanda.
Hii ya kuweka pesa zote serikali kuu, ndio maana Rais anatumia jinsi anavyotaka kwasababu hakuna wa kuhoji wala kufatilia.
Leo hii mikoa kama ya Ruvuma na Rukwa iko kwenye hali mbaya wakati kuna wilaya zinapelekewa pesa kila siku.
 
Kenya's economy z almost twice ours,how do u feel like..wenzenu wako bize na mambo ya msingi tena tangible nyie mnakomaa na kubambikia kesi upinzani.
wewe ni taira wa mwisho,kwamba kenyan economy iko almost as twice as Ours!!!smh... kadanganye bibi yako
 
Kadanganye bibi zako kijijini,hizo figure tokea Jk alivyoingia madarakani hadi huyu Mzee wa kiki huwa zinacheza humo humo,,cha ajabu awamu hii matakwimu ya kukua uchumi yako juu wakati uhalisia wa maisha hali ni mbaya,,Wenzenu hapo Ethiopia na Kenya private consumers per head inazidi kuexpand wakati bongo inapungua sasa huo uchumi unakulia wapi?
who are you kupingana na data za World Bank
 
We pumbavu kweli kuna kiwanda gani Kenya Tanzania hakipo? Hiyo kq iliyofilisika haina hata ndege 50? Kila siku ina loss kwenye annual financial statement? Na Ethiopia au Qatar utasemaje? Huna exposure bora tu unyamaze sababu unaongea mavi
Mkuu unafananisha kq na atcl??? kuwa na loss sio issue we unasema haina hata ndegeb 50 hivi atcl anazo ngapi hivi atcl anaenda ruti gani ya nje? ya nchi? kama hii ndo exposure yako unasikitisha nawe bora unyamaze tu! kenya kwa sasa ni nchi ya watu wa kipato cha kati, kenya ndo nchi yenye soko la hisa toka kitambo hichoooooo, kenya vw wanaanzisha assembly centre yao, kenya ndo nchi yenye diaspora wengi, kenya ndo nchi pekee ea ambayo budget yao wanacover recurrent exp kwa mapato ya ndani tz bado!
 
E

Wewe ndo kilaza unadhani wanauchumi hawajui hiyo,51% ni kitu gani kwa nchi yenye uchumi wa matirion ya shng? Good enough wamekopa Ku finance miundombinu,nyie na sizonje wenu deni limeongezeka kwa kazi mumefanyia nn hizo pesa maana hstuoni kitu.U know nothing abt economics,shut up
Mkuu wajinga ka sizonje wako wengi mno juzi sizonje na mpwae wamekopa dola mill 500 tena wakafanya siri ambapo aftet 4/5 years nchi itarudisha dola mil 900 hii kama sio akili za kipuuzi ni nini hii? riba karibia 100%
 
Kenya watatuacha zaidi kwasababu TZ hatuna plan inayoeleweka. Kenya sasa wana sera rahisi sana wako open kwa wana EA kuhamia Kenya, kununua land na kufanya biashara. Kwa Kenya watu ni rasilimali na sio kitu cha kuogopa. Kenya diaspora wote wana haki zao zote za kikatiba na uraia na hii inasababisha uwekezaji mkubwa sana kwenye nyumba na apartments Kenya. Uwekezaji wa Kenya unasababisha serikali kuwwa na pesa kwenye vitu vingine. Kenya budget ni 100% ina garimiwa na Wakenya bila msaaada wowote. Kenya wana katiba mpya na mfumo wa county ambao ni wa kimarekani ambao unapeleka maendeleo zaidi chini na pesa inabaki zaidi kwenye kata na kusaidia zaidi walipa mkodi. Mradi wa train wa Kenya umekwisha. Pamoja na ukabila Wakenya wana furaha kuliko Watanzania. Watanzania tumekuwa tunarudi nyuma kila sehemu. Demokrasia tumerudi nyuma, uchumi tumerudi nyuma, master plan ya nchi haieleweki, uoga kwenye nchi, bank filisi, ardhi kushuka thamani,madeni ya nchi kuongezeka, hakuna uwekezaji binafsi mpya zaidi ya plan za zamani za mikopo. Uhuru wa habari unakufa, vyama vya siasa vina hujumiwa na kufa. Viongozi ni wasomi wasiojua kutenda hawana uzoefu wa utendaji. Tunapigana na rushwa wakati makama ya rushwa haina washitakiwa ..... na waliopo wachache ni wa kuchaguliwa. Kuna video za watu kutoa rushwa lakini hakuna action yeyote... polisi sasa ni chombo cha kisiasa. TRA ni chombo cha kutisha na kuua biashara. Bank ni sanamu hazitoe mikopo , hazina pesa...... Elimu bado hatuna plan wakati viwango vinaendelea kushuka. Tanzania hatuna hata statistics za kueleweka. Mfumo wa Afya unaotegemea msaada tu bila kubadilisshwa mfumo. Nchi ambayo viongozi wanajali siasa zaidi kuliko chi. Nchi ya wajuaji bila kuwa na la kuonyesha. Viongozi ambao wanajali habari kuliko ukweli na wananchi... viongoizi wasioweza kusemwa, kushauriwa au kubadilika......... I wish tungekuwa na viongozi wa Kenya maana sina imani tena... hata rushwa ni macho tu magari ya mchanga hayafanyi kazi mchana kwasababu ya rushwa kuzidi na kuchukua faida yote.....

Kwa ufupi Kenya ni open country na Tanzania ni closed country...
Plan atakuwa nayo NG'OMBE? labda angekuwa mtu!
 
1:Hivi kuna nini kinaendelea kati ya Tanzania na Kenya?
2:Humu JamiiForums naona sana ufananisho wa hizi nchi mbili kuna nini ndugu zangu?
3:Kwa nini sio Kenya na Uganda au Kenya na Kongo - Kinshasa?
 
Back
Top Bottom