Endeleaaa
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 1,485
- 740
Tupatie plan ya mwenyekiti wako kuelekea 2020, au ndo hiyo ya kujitoa kila uchaguziUtakuwa na plan wakati wamemsukumizia mtenda maovu ambaye hajui chochote hana sera ni kukurupuka tu kila kukicha kwa mambo ambayo hayana tija kwa Watanzania.
Janga kubwa sana la Taifa huyu.