Tokea JPM ashike dola uchumi wa Tanzania unapaa kwa kasi world Bank wametoa report Jana.Acha utoto, hapa hatuongelei utajiri wala umasikini wa mtu mmoja mmoja, bali ni umasikini wa nchi.
Wewe akili yako ndogo sana. Kama kenya wanajitegemea bajeti yao. Why hawakupiga kura ya kumpinga trump. Msikae kusifiasifia nchi za wengine kama unaona umeiharibu tanzania kwa uzembe wako, kutokuwajibika basi kenya sio mbali, funga virago vyako tuachie nchi yetuKenya watatuacha zaidi kwasababu TZ hatuna plan inayoeleweka. Kenya sasa wana sera rahisi sana wako open kwa wana EA kuhamia Kenya, kununua land na kufanya biashara. Kwa Kenya watu ni rasilimali na sio kitu cha kuogopa. Kenya diaspora wote wana haki zao zote za kikatiba na uraia na hii inasababisha uwekezaji mkubwa sana kwenye nyumba na apartments Kenya. Uwekezaji wa Kenya unasababisha serikali kuwwa na pesa kwenye vitu vingine. Kenya budget ni 100% ina garimiwa na Wakenya bila msaaada wowote. Kenya wana katiba mpya na mfumo wa county ambao ni wa kimarekani ambao unapeleka maendeleo zaidi chini na pesa inabaki zaidi kwenye kata na kusaidia zaidi walipa mkodi. Mradi wa train wa Kenya umekwisha. Pamoja na ukabila Wakenya wana furaha kuliko Watanzania. Watanzania tumekuwa tunarudi nyuma kila sehemu. Demokrasia tumerudi nyuma, uchumi tumerudi nyuma, master plan ya nchi haieleweki, uoga kwenye nchi, bank filisi, ardhi kushuka thamani,madeni ya nchi kuongezeka, hakuna uwekezaji binafsi mpya zaidi ya plan za zamani za mikopo. Uhuru wa habari unakufa, vyama vya siasa vina hujumiwa na kufa. Viongozi ni wasomi wasiojua kutenda hawana uzoefu wa utendaji. Tunapigana na rushwa wakati makama ya rushwa haina washitakiwa ..... na waliopo wachache ni wa kuchaguliwa. Kuna video za watu kutoa rushwa lakini hakuna action yeyote... polisi sasa ni chombo cha kisiasa. TRA ni chombo cha kutisha na kuua biashara. Bank ni sanamu hazitoe mikopo , hazina pesa...... Elimu bado hatuna plan wakati viwango vinaendelea kushuka. Tanzania hatuna hata statistics za kueleweka. Mfumo wa Afya unaotegemea msaada tu bila kubadilisshwa mfumo. Nchi ambayo viongozi wanajali siasa zaidi kuliko chi. Nchi ya wajuaji bila kuwa na la kuonyesha. Viongozi ambao wanajali habari kuliko ukweli na wananchi... viongoizi wasioweza kusemwa, kushauriwa au kubadilika......... I wish tungekuwa na viongozi wa Kenya maana sina imani tena... hata rushwa ni macho tu magari ya mchanga hayafanyi kazi mchana kwasababu ya rushwa kuzidi na kuchukua faida yote.....
Kwa ufupi Kenya ni open country na Tanzania ni closed country...
Si uukane utanzania uhamie Kenya, as if una faida yoyoteKwani hii nchi kubwa tuliyonayo imetusaidia nn? Bora ivunjike tu. Ni aibu kuitwa mtanzania.
Budget yao wanai fund wenyewe. Dumbest lie, majitu mnabonba uongo msioujua mnakera. Sio kweliHata kama haikopesheki ingawa hujaleta Ushahidi lkn Bajeti yao wanaiFUND
wenyewe sisi tunaodhani kukopeshwa ni Sifa Bajeti inatushinda
Tatizo letu huwa hatukubali kuambiwa ukweli. Haya huyu kasema ukweli, unaanza kumwamvia yee Mkenya, ndo nyie watuwakisema ukweli mnaanza kuwaita wachochezi.Wewe mwenyewe inaonekana ni mkenya, "eti kununua land", kaeni na unyang'au wenu huko huko, hatudanganyiki, kamalizeni kwanza ukabila wenu huko kwenu ndo mje muongelee "kununua land Tz".
Umaskini wa nchi unamaanisha umaskini wa serikali au wa wananchi.Acha utoto, hapa hatuongelei utajiri wala umasikini wa mtu mmoja mmoja, bali ni umasikini wa nchi.
Supermarket za Kenya asilimia kubwa sana bidha wanatumia Made in kenya, kuanzia sabuni za kuogea, mafuta ya kujipaka mwilini, vyakula, viatu, nguo vitu vingi sana wanatumia vya kwao wenyewe. Na wakenya ni wazalendo, wananunua vitu vya kwao (sababu vina ubora wa kuridhisha). Watz tupo busy kupambana mitandaoni na kuimba ngonjera za uchumi wa viwanda. Eti viwanda elfu tatu mia ngapi sijui vimefunguliwa kwa mwaka. Like, seriously??Bidhaa za Kenya ni Bora na zinanunulika Tanzania. BLueband, Mafuta Fresh, Juices, Mafuta ya KCC, Siagi, Cofta, Hedex na nyingine kede kede
Embu Nenda Kenya kama utaona bidhaa za TZ supermarket za kenya?
Watz wanadanganywa na kauli mbiu ya Tanzania ya Viwanda...Wao Kenya ni Vitendo
Sera inayotekelezeka Tanzania ni kuuwa upinzani
Nao ViwaviJeshi kazi yao ni matusi, hawawezi kujenga hoja na kujibu hoja, wanatukana watu wanaokosoa serikali
Another Askofu player hater son of ... peleka inferiority complex yako huko kwa Askofu Kakobe!
Umesahau all uniliver products kama omo,fresh vegetable oil etc, na vipi kuhusu jamaa, ndume? [emoji28] [emoji28]Bidhaa za Kenya ni Bora na zinanunulika Tanzania. BLueband, Mafuta Fresh, Juices, Mafuta ya KCC, Siagi, Cofta, Hedex na nyingine kede kede
Embu Nenda Kenya kama utaona bidhaa za TZ supermarket za kenya?
Watz wanadanganywa na kauli mbiu ya Tanzania ya Viwanda...Wao Kenya ni Vitendo
Sera inayotekelezeka Tanzania ni kuuwa upinzani
Nao ViwaviJeshi kazi yao ni matusi, hawawezi kujenga hoja na kujibu hoja, wanatukana watu wanaokosoa serikali
Kenya watatuacha zaidi kwasababu TZ hatuna plan inayoeleweka. Kenya sasa wana sera rahisi sana wako open kwa wana EA kuhamia Kenya, kununua land na kufanya biashara. Kwa Kenya watu ni rasilimali na sio kitu cha kuogopa. Kenya diaspora wote wana haki zao zote za kikatiba na uraia na hii inasababisha uwekezaji mkubwa sana kwenye nyumba na apartments Kenya. Uwekezaji wa Kenya unasababisha serikali kuwwa na pesa kwenye vitu vingine. Kenya budget ni 100% ina garimiwa na Wakenya bila msaaada wowote. Kenya wana katiba mpya na mfumo wa county ambao ni wa kimarekani ambao unapeleka maendeleo zaidi chini na pesa inabaki zaidi kwenye kata na kusaidia zaidi walipa mkodi. Mradi wa train wa Kenya umekwisha. Pamoja na ukabila Wakenya wana furaha kuliko Watanzania. Watanzania tumekuwa tunarudi nyuma kila sehemu. Demokrasia tumerudi nyuma, uchumi tumerudi nyuma, master plan ya nchi haieleweki, uoga kwenye nchi, bank filisi, ardhi kushuka thamani,madeni ya nchi kuongezeka, hakuna uwekezaji binafsi mpya zaidi ya plan za zamani za mikopo. Uhuru wa habari unakufa, vyama vya siasa vina hujumiwa na kufa. Viongozi ni wasomi wasiojua kutenda hawana uzoefu wa utendaji. Tunapigana na rushwa wakati makama ya rushwa haina washitakiwa ..... na waliopo wachache ni wa kuchaguliwa. Kuna video za watu kutoa rushwa lakini hakuna action yeyote... polisi sasa ni chombo cha kisiasa. TRA ni chombo cha kutisha na kuua biashara. Bank ni sanamu hazitoe mikopo , hazina pesa...... Elimu bado hatuna plan wakati viwango vinaendelea kushuka. Tanzania hatuna hata statistics za kueleweka. Mfumo wa Afya unaotegemea msaada tu bila kubadilisshwa mfumo. Nchi ambayo viongozi wanajali siasa zaidi kuliko chi. Nchi ya wajuaji bila kuwa na la kuonyesha. Viongozi ambao wanajali habari kuliko ukweli na wananchi... viongoizi wasioweza kusemwa, kushauriwa au kubadilika......... I wish tungekuwa na viongozi wa Kenya maana sina imani tena... hata rushwa ni macho tu magari ya mchanga hayafanyi kazi mchana kwasababu ya rushwa kuzidi na kuchukua faida yote.....
Kwa ufupi Kenya ni open country na Tanzania ni closed country...
Huo ndo utofauti wetu kwamba rais hayupo juu ya sheria, ingekuwa hapa Tz na Magufuli akatoa tangazo hilo, nani ange pinga?Kwa nini sasa usihamie Kenya huko unakosifia sana juzi ndugu yangu alienda mpakani anataka kwenda Nairobi akitumia kitambulisho chake alifika pal Sirari mpakani akadai anenda Nairobi na kitambulisho cha Tanzania aliambiwa hayo matangazo aliyotoa Rais Kenyatta hayoko katika sheria lazima aonyeshe pasi ya kusafiria tafadhali mnapolinganisha nchi yetu na kauli za viongozi wa jiongeze kiakili na ongeza na yako.
Kenya's economy z almost twice ours,how do u feel like..wenzenu wako bize na mambo ya msingi tena tangible nyie mnakomaa na kubambikia kesi upinzani.We unaelinganisha Kenya na USA kwenye ukopaji mikopo ndio kilaza hivi kisa Bank inapokea wajasiriamali wa aina zote utajilinganisha na mtu kama Coca-Cola na wewe unaetengeneza chang'aa kwenye misuli ya ukopaji?
Hoja mfu. Hongereni "open country." Tuwatakeni mafanikio katika safari yenu ya kufungua mipaka ya nchi iliyokwisha tayari.Kenya watatuacha zaidi kwasababu TZ hatuna plan inayoeleweka. Kenya sasa wana sera rahisi sana wako open kwa wana EA kuhamia Kenya, kununua land na kufanya biashara. Kwa Kenya watu ni rasilimali na sio kitu cha kuogopa. Kenya diaspora wote wana haki zao zote za kikatiba na uraia na hii inasababisha uwekezaji mkubwa sana kwenye nyumba na apartments Kenya. Uwekezaji wa Kenya unasababisha serikali kuwwa na pesa kwenye vitu vingine. Kenya budget ni 100% ina garimiwa na Wakenya bila msaaada wowote. Kenya wana katiba mpya na mfumo wa county ambao ni wa kimarekani ambao unapeleka maendeleo zaidi chini na pesa inabaki zaidi kwenye kata na kusaidia zaidi walipa mkodi. Mradi wa train wa Kenya umekwisha. Pamoja na ukabila Wakenya wana furaha kuliko Watanzania. Watanzania tumekuwa tunarudi nyuma kila sehemu. Demokrasia tumerudi nyuma, uchumi tumerudi nyuma, master plan ya nchi haieleweki, uoga kwenye nchi, bank filisi, ardhi kushuka thamani,madeni ya nchi kuongezeka, hakuna uwekezaji binafsi mpya zaidi ya plan za zamani za mikopo. Uhuru wa habari unakufa, vyama vya siasa vina hujumiwa na kufa. Viongozi ni wasomi wasiojua kutenda hawana uzoefu wa utendaji. Tunapigana na rushwa wakati makama ya rushwa haina washitakiwa ..... na waliopo wachache ni wa kuchaguliwa. Kuna video za watu kutoa rushwa lakini hakuna action yeyote... polisi sasa ni chombo cha kisiasa. TRA ni chombo cha kutisha na kuua biashara. Bank ni sanamu hazitoe mikopo , hazina pesa...... Elimu bado hatuna plan wakati viwango vinaendelea kushuka. Tanzania hatuna hata statistics za kueleweka. Mfumo wa Afya unaotegemea msaada tu bila kubadilisshwa mfumo. Nchi ambayo viongozi wanajali siasa zaidi kuliko chi. Nchi ya wajuaji bila kuwa na la kuonyesha. Viongozi ambao wanajali habari kuliko ukweli na wananchi... viongoizi wasioweza kusemwa, kushauriwa au kubadilika......... I wish tungekuwa na viongozi wa Kenya maana sina imani tena... hata rushwa ni macho tu magari ya mchanga hayafanyi kazi mchana kwasababu ya rushwa kuzidi na kuchukua faida yote.....
Kwa ufupi Kenya ni open country na Tanzania ni closed country...
Useless, the last point you can do is to surrender land to any buyer!!!! Nchi yenu kwisha habari yake. Hakuna nchi bila ardhi.Kenya watatuacha zaidi kwasababu TZ hatuna plan inayoeleweka. Kenya sasa wana sera rahisi sana wako open kwa wana EA kuhamia Kenya, kununua land na kufanya biashara. Kwa Kenya watu ni rasilimali na sio kitu cha kuogopa. Kenya diaspora wote wana haki zao zote za kikatiba na uraia na hii inasababisha uwekezaji mkubwa sana kwenye nyumba na apartments Kenya. Uwekezaji wa Kenya unasababisha serikali kuwwa na pesa kwenye vitu vingine. Kenya budget ni 100% ina garimiwa na Wakenya bila msaaada wowote. Kenya wana katiba mpya na mfumo wa county ambao ni wa kimarekani ambao unapeleka maendeleo zaidi chini na pesa inabaki zaidi kwenye kata na kusaidia zaidi walipa mkodi. Mradi wa train wa Kenya umekwisha. Pamoja na ukabila Wakenya wana furaha kuliko Watanzania. Watanzania tumekuwa tunarudi nyuma kila sehemu. Demokrasia tumerudi nyuma, uchumi tumerudi nyuma, master plan ya nchi haieleweki, uoga kwenye nchi, bank filisi, ardhi kushuka thamani,madeni ya nchi kuongezeka, hakuna uwekezaji binafsi mpya zaidi ya plan za zamani za mikopo. Uhuru wa habari unakufa, vyama vya siasa vina hujumiwa na kufa. Viongozi ni wasomi wasiojua kutenda hawana uzoefu wa utendaji. Tunapigana na rushwa wakati makama ya rushwa haina washitakiwa ..... na waliopo wachache ni wa kuchaguliwa. Kuna video za watu kutoa rushwa lakini hakuna action yeyote... polisi sasa ni chombo cha kisiasa. TRA ni chombo cha kutisha na kuua biashara. Bank ni sanamu hazitoe mikopo , hazina pesa...... Elimu bado hatuna plan wakati viwango vinaendelea kushuka. Tanzania hatuna hata statistics za kueleweka. Mfumo wa Afya unaotegemea msaada tu bila kubadilisshwa mfumo. Nchi ambayo viongozi wanajali siasa zaidi kuliko chi. Nchi ya wajuaji bila kuwa na la kuonyesha. Viongozi ambao wanajali habari kuliko ukweli na wananchi... viongoizi wasioweza kusemwa, kushauriwa au kubadilika......... I wish tungekuwa na viongozi wa Kenya maana sina imani tena... hata rushwa ni macho tu magari ya mchanga hayafanyi kazi mchana kwasababu ya rushwa kuzidi na kuchukua faida yote.....
Kwa ufupi Kenya ni open country na Tanzania ni closed country...
Tzn kuna viwanda vya Ku assemble magari? Huko kwenye viwanda mbali,umecheki miundombinu yao au hata tu town planning? Kitu gani nchi hii cha kujivunia tumewazidi?Hahaha na ukifika South Africa si utazirai? Nitajie kiwanda kilichopo Kenya Tanzania hakuna mbona hukisemi?
Utageuka ww,mahekta ya ardhi yanayomilikiwa na kampuni za kigeni na matajiri wachache penyewe hamkurogwa?hakuna kitu hatari kama hicho, unafikiri kenya kupata Ardhi ni Raisi kama unavyofikiria, au kama jinsi sera yao inavyo sema, Yaani tukilogwa sijui kuruhusu watu wa EAC kuja kununua Ardhi TZ tutageuka watwana katika nchi yetu. hebu jaribu kufikiria ipi rahisi kati ya mkenya kupata Ardhi Tanzania na Mtanzania kupata Ardhi Kenya?