Kenya! Kenya! Kenya kwani mmepakana na Tanzania tu? kuna ethiopia, somalia,south Sudan kwa nini macho yenu yako Tanzania tu? kama unaona Kenya ni bora kuliko Tanzania basi rudi kule nini kilikuleta huku? na kuna watanzania wapumbavu wanaunga mkono upuuzi wa huyu mshenzi.Mwananchi unaedai hali na kuilalamikia serikali ulishawahi kufika China,USA,UK,AUSRALIA? kama uliwahi kufika ukakaa hata mwezi hakika haitatokea ukailalamikia serikali,ifike mahali mzilalamikie na familia zenu kutowapa muongozo sahihi.Tanzania unaruhusiwa kufanya biashara bila leseni,unauza popote,na chochote kinauzika.Tatizo la watanzania wachache wanataka maisha safiiiiii kirahisi rahisi,gari,nyumba,shamba,miradi mikubwa bila ya kuvuja jasho-unalijua jasho alilovuja Mandela,Halima mdee,Paul makonda,Paul kagame,mseveni,prof jay,Nyerere,Mtoto wa dandu,kanumba na wengine maarufu? Ni kujitoa sadaka na mafanikio yoyote makubwa lazima uadhirike,udharauliwe,udharirike,upuuzwe baade ndo ufanikiwe.Hao akina sisonje ujanani mwao walkuwa wakitembea km 5-20 kuifuata shule kulikuwa na simba,fisi,chui na nyoka mchana kweupe pia kipindi hicho hapakuwa na barabara nyingi na mvua zilikuwa nyingi sana umande hadi kifuani,kipindi hicho sisi tunaolalamika wazazi wetu walikuwa wanacheza poolbed..