Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
- Thread starter
- #81
salaale..bora tusiende huko..si unajua safari moja huanzisha nyingineUnafunguka kote kote (nafsi na mwili), kwa raha zako!
Usimtukane mtu tu!
salaale..bora tusiende huko..si unajua safari moja huanzisha nyingineUnafunguka kote kote (nafsi na mwili), kwa raha zako!
Usimtukane mtu tu!
Granted!i really need your permission....guess what
Granted!
How do you want me to guess? I am only discovering you now... just tell me.
hahaha..mkuu huu wimbo umenikumbusha mbali sana .babu yangu alikuwa na gitaa kipindi hicho alikuwa celebriti kwenye vilabu vya pombe kijijini ..na huu wimbo ndio ulikuwa unapendwa sanaa ..alikuwa akipiga gitaa na kuimba pembeni kulikuwa na mshkaji wake ameshika kopo la bati ndani limewekwa sijui ni kokoto zile au mchanga ..basi walevi wote kwenye kilabu cha pombe lazima wasimame.hhahhaha you just made my day.Ivunga, leo naona yupe Polisi wa Kike kakuwekea kichupa kizima cha Stolichnaya na Kalubasa kwa wingi maana hii topic imekaa wima.
Nimekumbuka wimbo wa KENGE ANA MADOA-MADOA.
![]()
Noma ya kenge ukutane nae mahali lazma ujikojolee maana anatisha sanaKamata hii zawadi kwa jibu lako la ki-great thinker!!
![]()
Need more beer?salaale...
hata nyoka namuogopa. Jamii hiyo ya reptilia naiogopa sana.
Need more beer?
Ivuga rudi bwana!
I think I don't need it. So what do you want to know?nope,now its your turn. I hope you dont take
I think I don't need it. So what do you want to know?
Bila shaka Aspirin. NIwekee nyama choma (napenda moyo)Leo mnajadili makenge... Orayt. Mwali utaniletea feedback ya huu mjadala huku wodi ya wenye mabusha.
Bado unacount?you gave me some beer so dont mind me kwa sababu nafunguka sasa hiviii.
1...2....3....hizo ni count down
Ivunga, leo naona yupe Polisi wa Kike kakuwekea kichupa kizima cha Stolichnaya na Kalubasa kwa wingi maana hii topic imekaa wima.
Nimekumbuka wimbo wa KENGE ANA MADOA-MADOA.
![]()
Leo mnajadili makenge... Orayt. Mwali utaniletea feedback ya huu mjadala huku wodi ya wenye mabusha.