Kenge.

Kenge.

Hata mimi namzimia sana!!!

hata akiwa hana mkia bado namzimia sana.....

Isipokuwa ni mjinga kweli.....hata hivyo nauzimia ujinga wake...
unataka kujua ujinga wa kenge?? we mlaze chali:rant: atalalama hadi nyoka watasikia:rant::rant::rant::rant::rant:
 
unataka kujua ujinga wa kenge?? we mlaze chali:rant: atalalama hadi nyoka watasikia:rant::rant::rant::rant::rant:
Unataka kujua ujinga mwingine wa kenge??.........Chemsha yai umpe.....Atafanya juhudi za kulimeza alafu ataona habari yake...KENGE bana.!!
 
Unataka kujua ujinga mwingine wa kenge??.........Chemsha yai umpe.....Atafanya juhudi za kulimeza alafu ataona habari yake...KENGE bana.!!

kenge kiboko yake ni yai la kuchemsha mkuu, hata gogo atakata bila kujali kuna watu au la

sasa angalia anavyofungu mdomo yai likikaa mahali yake:ballchain:
 
kwani tunapomzungumzia balali au tuzungumzia mashamba yanakua yameshalog in huku??

Wairak wanasema Ukikuta kenge amesimama mlangoni, hama hiyo nyumba, kenge ni kimeo
Kamata hii zawadi kwa jibu lako la ki-great thinker!!

010226_0667_0025_lslp.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom