Keissy alianzisha tena bungeni

Keissy alianzisha tena bungeni

Kweli watz sanaa nyingi lkn kwa hili la MZee Kessy Hakuna sanaa mle,pale ni uhalisia mtupu jamaa amekuwa Akiwalipua wazenji huku akiwatizama usoni........Hakuna unafiki pale.
 
Mh Kessy kanikumbusha uzi niliwai kuandika humu kaishia kuambulia matusi nakuitwa msaliti na si raia halali.TANGANYIKA NI NCHI HALALI KULIKO TANZANIA.
 
Dah!!!! mimi bado nashangaa kama account ya pamoja imeanzishwa halafu hakuna lilifonyika wakati Tanganyika ndio wanatakiwa pia waifanyie kazi wakati wazanzibar washakamilisha halafu anatokea ----- eti tunawabeba wazanzibar kubeba my ass.
Pia kama anahisi tunabebwa peleka hoja bungeni kwamba muungano basi sisi tulishaukataa na tunataka muungano washirikisho ambao tutashirikiana baadhi ya mambo tuu na mipaka lakini hamna mtanganyika anothubutu kuifufua tanganyika.

Na zaidi amsikilize mheshmiwa Tundu Lissu kwenye hoja ya wanzanzibar alivyochambua rejea mikutano ya ukawa pemba na zanzibar na vilevile bungeni wakati anawasilisha hoja halafu utajua kwamba tunabebwa ama tunabeba.In essence,hapo ndo utajua tofauti ya WAJINGA NA WASOMI.

Watanganyika ni watu wa hovyo tu ata usiumize kichwa chako angalia kila upande ulowazunguka i mean majirani zao hawafahamiani nao Kenya, Malawi , labda kidogo uganda but Rwanda ..hii mijitu ya bure kabisa huwa tunawaita watwana hawa. pumbav waheed
 
Kweli nimeamini waTanganyika hawana msemaji bunge la katiba Kessy kasema kweli anaambiwa aombe msamahaa.
 
Watanganyika ni watu wa hovyo tu ata usiumize kichwa chako angalia kila upande ulowazunguka i mean majirani zao hawafahamiani nao Kenya, Malawi , labda kidogo uganda but Rwanda ..hii mijitu ya bure kabisa huwa tunawaita watwana hawa. pumbav waheed

Wewe kweli kichwa nazi (dafu).
 
Watanganyika ni watu wa hovyo tu ata usiumize kichwa chako angalia kila upande ulowazunguka i mean majirani zao hawafahamiani nao Kenya, Malawi , labda kidogo uganda but Rwanda ..hii mijitu ya bure kabisa huwa tunawaita watwana hawa. pumbav waheed

ni wanawake mashangingi tu wanajishebadua, karibu kwenye chama cha kuvaa brezia
 
Hapa ndo naona ujanja wa Wazanzibari kila siku wanataka Zanzibar huru kumbe wazushi tu wanataka kutufunga macho ili tuendelee kuwabeba.Ukiwapa makavu kama kessy wanakuja juu.Nilitegemea Wazanzibar wangetumia ule mwanya wa wao kudai wa kinachoitwa Zanzibar huru.Badala yake wanaleta hadithi za udugu.Mi naona wazanzibar wametuzidi janja na kila tukistua janja yao wanakuja juu.Big up Kessy
Well said.. Janja ya nyani tumeigundua. Ila hawa jamaa wameshatufanya mandondocha wa kutosha. Watanganyika enough is enough. Hatuhitija huu Muungano
 
tatizo wewe ni mr.zero ni sawa na mtoto mchanga

No wonder you do not even have a month in this forum ................... in case you are also one of them then go back and consult!! ............. the Stupid New recruit!!!
 
The good thing about this game is, mwishowe itakuwa waliodhaniwa ni WASOMI NA WACHUMI WAKUBWA WA NCHI HII kwamba si lolote wala si chochote. Mshauri wao anaweza kuwakana kwa vile tayari lengo limeshatimia. Kuwamaliza kwa kutumia madhaifu yao ya kupenda kusifiwa. Usipoweza kusoma upepo na mwelekeo wake hali yako ni mbaya sana. Utaishia kutukana kutishia na hata kuua ukidhani kweli utaaminika tena. Toka mwanzo wa masuala haya ya Katiba Mpya kulikuwako na washauri ambao hawakuwa na nia njema na nchi hii, Shukuru Mola kwa waliotambua mapema na kubadili mwelekeo haraka. Ndio maana hata kulikuwa na ufadhili mwingi wa kutupumbaza tusiwaelewe. Pole yao waliobaki na misimamo ya mwanzo, lakini hongera kwa waliosimama kidete kusimamia maslahi ya nchi yetu kwa ujumla wake. Wananchi tupo nyuma yenu.
 
Usimsingizie Mwenyezi MUNGU kwenye hili Mkuu! Alitupatia uwezo wa KUTAMBUA MABAYA NA MEMA.....Tafakari!

Mkuu nchi nyingine zilipata madictator sisi tukapata CCM .................. tofaouti ni kuwa dictators ni rahisi kuwaondoa kwa vile mnadeal na individuals lakini CCM unadeal na system. ndiyo maana unaona huko China, North Korea, Cuba inakuwa ngumu kuleta mabadiliko kwenye system zao. Only time will change this ...............!!
 
Duuh!! Kessy..Huyu kwa CCM hakuna wa kumsogelea..Anasimamia anacho Amini..Siyo maigizo ya Mwingulu kuvaa matambara shingoni ndiyo Uzalendo
 
Kama hawachangii kwa nini wakasirike? Tuwaogope sababu ya ukali au sababu ya ukweli? Wale vya bure kwa sababu wana hasira? Wale vya bure sababu waliachia kiti umoja wa mataifa? Kwani kiti waliituuzia kwa bei gani? Tukiwarudishia kiti watatibiwa bure, kumbe hata Bunge Maalum la Katiba hawajachanga kitu chochote? Alash! Watanganyika wanagharamia yote haya ili wapate nini, sifa? Leteni Katiba ya serikali mbili TUTAONANA KWENYE SANDUKU labda muibe kama kawaida yenu.
Kama hawachangii muungano si maaana yake muungano ulikwisha vunjwa miaka hiyo, kinachofanyika ni kuwaibia waTg mpaka watakapokataa kuibiwa; hongera Zenji
 
Kwanza nawashangaa wabunge wa Tanganyika, kwa nini na wao hawakumuunga mkono shujaa Kessy? Wanzibar wanataka kumpiga Mtanganyika ndani ya nchi ya Tanganyika na Watanganyika wenzake wanasema aombe radhi. Mwenyekiti Samuel 6 na Masatu Wasira hawana uzalendo kabisa wanyimwe uraia wa nchi mbili hawa. Badalawaungane kama walivyoungana wenzao wa Zanzibar- Watanganyika wanaufyata.
mkuu zako umepima?
Keissy yuko sahihi, wazanzibar wanabebwa sana na Tanganyika
 
Wabunge wa Zanzibar wanachangia hoja zaidi ya hao wa Bara ambao kila kukicha wanaonekana wamelala tena wengine wakisha weka saini ya mahudhurio wanarudi mahotelini kujirusha na mabinti. Huyu Mjumbe Kessy ni jinga la wajinga kwa sababu bunge letu ni bunge la JMT sio bunge la Tanganyika. Hao wajumbe 83 wanawakilisha majimbo yao sawa kabisa na wabunge 300 wetu ambao kwa upumbavu wetu wameenda pale kuchuma na kugombea nafasi za kuingia mabaraza ya Bunge kuvuta Posho. Kama kuna mambo ya Tanganyika ambayo wabunge wa Zanzibar hawatakiwi kujadili basi na uiundwe Congress yenye wajumbe wake toka pande mbili ili kupitia yale ya Muungano, kisha hilo bunge la Tanganyika libakie na magarasha wake.

Akumbuke tu kwamba Katiba inayojadiliwa ni ya Tanzania hivyo kila kinachpitishwa na bunge hilo ni kwa ajili ya Tanzania sio Tanganyika, Sheria za Tanganyika ndizo hutumika kama sheria mama. hivyo ni wao Wazanzibar wamefungwa na matakwa ya Tanganyika kuingia moja kwa moja kuwa sheria mama na ndio maana wanaitaka serikali 3 (ya Tanganyika) ili sheria mama ya JMT iwe tofauti na ile ya Tanganyika.

Ama kweli ni taabu kubwa sana akili ndogo kuongoza akili kubwa.
 
Wabunge wa Zanzibar wanachangia hoja zaidi ya hao wa Bara ambao kila kukicha wanaonekana wamelala tena wengine wakisha weka saini ya mahudhurio wanarudi mahotelini kujirusha na mabinti. Huyu Mjumbe Kessy ni jinga la wajinga kwa sababu bunge letu ni bunge la JMT sio bunge la Tanganyika. Hao wajumbe 83 wanawakilisha majimbo yao sawa kabisa na wabunge 300 wetu ambao kwa upumbavu wetu wameenda pale kuchuma na kugombea nafasi za kuingia mabaraza ya Bunge kuvuta Posho. Kama kuna mambo ya tanganyika mabyo wabunge wa Zanzibar hawatakiwi kujadili basi na uiundwe Congress yenye wajumbe wake toka pande mbili ili kupitia yale ya Muungano, kisha hilo bunge la Tanganyika libakie na magarasha wake.

Ama kweli ni taabu kubwa sana akili ndogo kuongoza akili kubwa.

Yeye Kessy alitolea mfano wa bunge la Tanzania, kwa kukazia mfano wa bunge la Tanzania alitolea hiyo hoja kuchangia kuwa Zanzibar haijchangia pato lake kwa serikali ya Muungano toka Mzee Karume atutoke.Tunawahudumia sisi Tanganyika hao wabunge watokao Zanzibar.
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha Mkandara unamkandia Mheshimiwa Kessy lakini mwisho wa siku unakubali mawazo yake yafanyiwe kazi bila kumumunya maneno Kessy ndie mbunge mwenye akili kubwa kushinda wabunge wote kutaka Tanganyika.

Wabunge wa Zanzibar wanachangia hoja zaidi ya hao wa Bara ambao kila kukicha wanaonekana wamelala tena wengine wakisha weka saini ya mahudhurio wanarudi mahotelini kujirusha na mabinti. Huyu Mjumbe Kessy ni jinga la wajinga kwa sababu bunge letu ni bunge la JMT sio bunge la Tanganyika. Hao wajumbe 83 wanawakilisha majimbo yao sawa kabisa na wabunge 300 wetu ambao kwa upumbavu wetu wameenda pale kuchuma na kugombea nafasi za kuingia mabaraza ya Bunge kuvuta Posho. Kama kuna mambo ya Tanganyika ambayo wabunge wa Zanzibar hawatakiwi kujadili basi na uiundwe Congress yenye wajumbe wake toka pande mbili ili kupitia yale ya Muungano, kisha hilo bunge la Tanganyika libakie na magarasha wake.

Akumbuke tu kwamba Katiba inayojadiliwa ni ya Tanzania hivyo kila kinachpitishwa na bunge hilo ni kwa ajili ya Tanzania sio Tanganyika, Sheria za Tanganyika ndizo hutumika kama sheria mama. hivyo ni wao Wazanzibar wamefungwa na matakwa ya Tanganyika kuingia moja kwa moja kuwa sheria mama na ndio maana wanaitaka kuwepo serikali ya Tanganyika ili sheria mama ya JMT iwe tofauti na ile ya Tanganyika.

Ama kweli ni taabu kubwa sana akili ndogo kuongoza akili kubwa.
 
Last edited by a moderator:
Nchi ngumu hii hasa kwa sisi wanaume wa tanganyika,kipata cha laki mbli hapo inabidi kuhudumia wazanzibar na familia yako tutafika kweli..!!?

Sio wazanzibari, bali ni magamba ya zanzibar, mimi kama mzanzibar siiyoni hio kodi yako.
 
Back
Top Bottom