Keissy alianzisha tena bungeni

Keissy alianzisha tena bungeni

Ama kweli ukistaajabu ya musa!
Leo ni wewe unawaunga mkono S3!! Masaa machache kwenye ule uzi wa Pasco umesema S2. Leo unashauri bunge la tatu kama Warioba, mkuu ukweli ukitimia... Ahsante Keissy unatoa majoka mapangoni.

Mkandara, kwanini hawana kazi na maana yoyote katika bunge kama anavyosema Keissy!

1. Hawana mchango katika wa fedha(siyo hadithi za Mkuu wa majeshi) katik posho na mishara yao.
Pesa hizo zinatoka hazina Dar ambako wao, kwa mujibu wa Ndulu majuzi tu hawana mchango hata senti tano.

Wanachukua milioni 15 kwa mwezi, wanaenda kutibiwa na kila mafao ikiwa ni pesa za Tanganyika kwa jina la Tanzania.
Jumla ya mishahara yao ni Bilioni 126. I mean watu 84 wasio na kazi wanalipwa kiasi hicho! Real

2. Wamekuja kutetea masilahi ya znz. Ndio maana wana 2/3. Hivyo wanapaswa kulipwa na SMZ.
Hawapaswi kulipwa na JMT kwasababu tunajua wazi hawana mchango katika hazina wala TRA.
TRA inakusanya znz na kuacha huko, hizi wanazobeba na kupora ni za TRA Tanganyika, ambayo kwa uhuni na wizi wanaita TRA Tanzania.

3. Hawana la kusema kwasababu hizi
a) Tukiongelea NECTA, wao wameondoa wana baraza lao. Hapo Dodoma hawana haki ya kuongelea mambo yetu ya elimu
b) TBS, wameondoa katika muungano, iliyobaki ni yetu wanazungumzia nini kama si umbea tu unaowasumbua
c) Mafuta na gesi walikimbia kuondoa, leo wamegundua hata pipa moja halitoshi wanakuja kuongelea isiyo wahusu
d) Waliondoa bandari ili iwe huru huko znz, leo inapokea meli 31/2 na kwa mwezi. Dodoma wanajadili bandari zetu ili iweje

Orodha ni ndefu sana na inatia kinyaa jinsi wazanzibar wanavyopora Tanganyika kwa jina la Tanzania.


Mbunge Keissy ana uchungu, maana Bilioni 126 za mishahara tu ya hao watalii wanaokuja Dodoma inatosha kumaliza tatizo la barabara na maji mkoani Sumbawanga.

Leo wananchi wa Nkasi wanalipa kodi kwenda kulipa mishahara ya watu 84 wanokuja kutetea nchi yao.

Hawa wanapaswa walipwe na SMZ ili wakija kucheza drafti wawajibike huko kwao, si kuja kulala na kuongelea mambo yasiyowahusu. Umbea tu halafu wanalipwa milioni 15/mwezi, wizi mkubwa huu.

Ngoja niwape maudhi zaidi ya hawa watalii wa Unguja na Pemba pale Dodoma.

Nchi yao ina watu 1.2M sawa na idadi ya watu wa jimbo la Ubungo au Ilala.

Wabunge wao wanawakilisha hadi watu 5,000 sawa na kata ya makurumla hapa Dar.

Mfuko wa jimbo, mbunge wa Kinodnoni, Kawe, Mpanda, Mgumu na Muheza wenye idadi ya watu si chini ya 500,000( laki tano) wanapewa pesa za mfuko wa jimbo sawa na mbunge wa znz mwenye watu (5,000) elfu tano.

Yaani mbunge wa Temeke anapewa milioni 30 sawa na wa makunduchi ambaye watu wake ni 3,000-5,000.

Kwa wale msioelewa, chuko kikuu cha Dar es salaam kina watu wengi kulliko jimbo moja la mtalii wa znz

Hizo pesa za jimbo zinatoka kodi za Watanganyika. Wao wamekataa TRA iisilete pesa bara.
Hizo zinazokusanywa bara ndizo zinaenda hazina kuwalipa hawa watalii.

Yaani chao kibaki huko, chetu ndicho tugawane kwa jina la Tanzania.
Ndio maana hawataki kusikia Tanganyika, maana Tanganyika haitatoa nafasi za wizi wa mchana namna hii. Uporaji tu

Tazama, ndani ya Baraza la wawakilishi, wao wana wajumbe 50 kwasababu hawana pesa za kulipa zaidi ya hapo.

Watalii waokuja Dodoma ni 84 kwasababu SMZ haina shida ya kuwalipa, hilo ni zigo la Watanganyika, na tunawalipa.

Huu wizi Watanganyika na hasa wabunge wa CCM wanaufumbia macho.

Kw uhalisia wabunge( watalii kwa maana halisi) wanapaswa kuja Dodoma si kwa zaidi ya siku 5.

Wasikilize bajeti ya ulinzi na usalama, mambo ya ndani na nje, naa baada ya hapo waondoke maana mengine yote wameshayakataa yasiwe ya muungano, wameyaondoa.

Hata kusikiliza ni favor maana hawajui bajeti ya wizara hizo. ZNZ haina mchango hata senti tano kumbuka.



cc Mkandara Bongolander Pasco MJINI CHAI Alinda Mchambuzi

wewe ndio msomi unaetegemea wa wadanganyika ? ati TRA wanakusanya znz na kuziacha huko huko hiyo kazi ya kanisa wanamfanyia nani? kwani ZRB wanakazi gani. akili yako na ya kessy haina tofauti
 
Watanganyika ni watu wa hovyo tu ata usiumize kichwa chako angalia kila upande ulowazunguka i mean majirani zao hawafahamiani nao Kenya, Malawi , labda kidogo uganda but Rwanda ..hii mijitu ya bure kabisa huwa tunawaita watwana hawa. pumbav waheed
A%20S%20112.gif
A%20S%20112.gif






:A S 112::A S 112::A S 112:
A%20S%20112.gif



A%20S%20112.gif
 
We unaongelea Dar.....nikubwa sana kwao....chukua mfano wa Mkuranga tu nayo pia inaweza kuwazidi.....Mhs.Kessy huyu huyu alishatuambia nchi gani unaweza kusimama katikati ukawaita wote kwa filimbi.....tena hata mluzi tu unawatosha tukikata umeme wetu wa Tanesco...Wanafiki wakubwa hawa...ooh Tanganyika inatubana sasa mbona mtu akiwashupalia muondoke mnataka kurusha ngumi...ooh sisi ndugu...huyo mwarabu...sasa mwaka huu mtatutambua mpaka na wamakonde kudadadeki zenu!
Well said kaka
 
Wabunge 83 toka Znz!!! Hawa ndio wanaosababisha korum ya bunge itoshe kumbe hawana lo lote ni watalii tu. Hawa ndio wanaosababisha ndioooooooooo isikike kwani wabunge wengi wa Tanganyika huwa hawahudhurii vikao vya bunge. Kweli iko haja ya wabunge toka Znz wasiwepo wakati wa kujadili mambo ya Tanganyika. Sasa tunagundua kasoro nyingi katika katiba zote, ya zamani, ya Tume na inayojadiliwa. Kessy umetufumbua macho..
 
Wabunge 83 toka Znz!!! Hawa ndio wanaosababisha korum ya bunge itoshe kumbe hawana lo lote ni watalii tu. Hawa ndio wanaosababisha ndioooooooooo isikike kwani wabunge wengi wa Tanganyika huwa hawahudhurii vikao vya bunge. Kweli iko haja ya wabunge toka Znz wasiwepo wakati wa kujadili mambo ya Tanganyika. Sasa tunagundua kasoro nyingi katika katiba zote, ya zamani, ya Tume na inayojadiliwa. Kessy umetufumbua macho..[/QUOTE
Natamani Keissy asimame tena ili azidi kutufungua macho. Ila kesho inaanza Scotland, itafuata Hongkong then vuguvugu la kudai Tanganyika huru litahamia kwetu
 
Huyu ndiye mwanaume wa shoka kabisa. Tunaitaka Tanganyika na Zanzibar yenu bakini nayo.
 
...huu mteremko na posho ndo zinawafanya wazanzibar wasalitiane...
 
Katika historia watu Wenye akili sana kama mh. Keise daima walionekana kua hawana akili timamu, na jamii daima iliwakataa na kuwaua lkn baadae ilikuja fahamika kua walikua sahihi na Wenye akili timamu Sana. Mahali aliposemea ni mahali sahihi . Hongera Mh. Kesi..! Historia itakutetea daima -
 
Sijuwi unatumia nini kufikiri, hayo maneno sikusema mimi rudi kwenye mada kuu kuna mchangiaji kutoka Zanzibar jana bungeni baada ya Kessy kusema Zanzibar haichangii muungano, mchangiaji huyo alikuja juu na kusema ''Keissy hajui historia kwani Zanzibar ilipoteza utambulisho wake katika kiti cha Umoja wa Mataifa na kuiachia Tanzania, jambo ambalo nchi hiyo ndogo inastahili kupongezwa''

Ndoma mana sasa nasema Ivi kuna baadhi ya watu hasa wazanzibari kwamba Zanzibar kukosa kiti chake UN na kuiachia Tanganyika ama Tz bado wanaona Zanzibar ipongezwe kwa kukosa mamlaka yake hayo? ndo nimesema kwamba huyu jamaa anafaa kupimwa akili.
sawa mkuu nimeelewa
 
Kwa kweli watanganyika ni watu wa maajabu sana,hivi aliyeificha tanganyika ni nani kama sie nyerere?zanzibar inahusika vipi na upotevu wa tanganyika?tokea nyerere alipo uasisi muungano huu ni waznzibar ndio waliokuwa wanaupinga muungano huu?wazanzibar wangapi wameteswa,wameuliwa,wamewekwa kizuizini(uamsho)na wengine kupotea hadi leo hawajulikani walipo kisa tu wamehoji muungano huu je ni haki kuwalaumu wazanzibar kwenye muungano huu?ifike mahali watanganyika muache unafiki wa kuwalaumu wazanzbar,inafika muda rais wa zanzibar mnamteua kutoka dodoma ili aje zanzibar kusimamia maslahi ya tanganyika na kuleta vifaru na majeshi kuhakikisha ukoloni wa nyerere unatawala zanzibar bila ya ridhaa ya wazanzbar,kama kweli huyo keissy sie mnafiki atueleze ni kwanini ccm hawataki serekali 3 zilizopendekezwa na rasimu ya warioba?zanzbar kwanza.
Maswali yako ni magumu kuyajibu machoni pa watu mkuu.......................Siri hii imefichika na hakuna aliye tayari kuifichua...............!!!
 
Back
Top Bottom