Keissy alianzisha tena bungeni

Keissy alianzisha tena bungeni

Hapa naona wa TGK na WZB wote tunatoa mapovu tukilumbana na mchawi wetu anatulamba tu. Kama tumechoka kweli 2015 tuwatupe nnje CCM. Alichosema Keissy ni sawa na wale wanaosema jamaa kavaa koti la muungano. Kama hatuchukui hatua tutaendelea kulalamika kwa miaka mingi ijayo.
 
MaCCM wote walio simama ama kupiga kelele kwa kumpinga Mh. Kessy hawakutoa hoja yenye mashiko hata moja zaidi ya ubabe, matusi na kejeli. Hivyo kwa kuzipima ilitakiwa hoja ya Mh. Kessy ifanyiwe kazi na iingizwe kwenye Katiba mpya. Wasipofanya hivyo ina maana Katiba yote ni utumbo mtupu, iliyojaa iliyotungwa kwa "hoja za nguvu" na si "nguvu ya hoja".
 
Kessy ni jembe la ulaya namkubali sana huyu mweshimiwa anapasua jipu bila hiana anaenuna anune
hapa hakuna cha kulelana zanzibar kama wameshindwa na muungano waachiwe wakafie mbele uko maana wao kila siku hawaishi na kero zao uku wao tu ni kero kubwa kwet sis
 
Wakuu nimeitafuta clip ya huyu bwana sijaipata, naomba mwenye nayo airushe hapa wakuu
 
WaZanzibar hawapendi kusikia ukweli ............. na hii ni kwa kuwa Watanganyika wamekuwa waoga kusema ukweli!! Sasa kumbe ZNZ wanataka tuwalipe fadhira kwa kuachia kiti cho cha umoja wa mataifa!!?? Wapo BUngeni wanapiga kelele za usawa katika muungano kumbe hata kuchangia ghrama za posho wameshindwa.

Anyway, Keissy ana point kubwa sana, itakuwaje Rais wa Zanzibar awe makamu wa Rais wakati anachaguliwa na wazanzibar peke yao! Kama ikitokea Rais akafa nani atakuwa Rais kwa mapendekezo yao!!? Hapa unaweza kuta Rais anakufa halafu Rais wa ZNZ anarithi kwa mujibu wa katiba na kuwa Mkuu wa nchi wakati amechaguliwa na watu laki 5 tu kule visiwani.

Sioni kwa nini mtu anazungumza na kuchangia au kuhoji kitu muhimu halafu analazimishwa kumba msamaha .......... kwa kweli CCM ni laana tuliyopewa na Mungu Tanzania!!

Kwa maelezo uliyotoa, wewe ni mfuasi wa serikali mbili kama zilivyo leo. Serikali tatu zitatibu hili gonjwa sugu la kila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe! Au unataka serikali mbili tu ziendelee?
 
Komaa nao Keissy. Niko pamoja na wewe, uliongea ukweli mchungu na ulizungumza kwa umakini mkubwa.
Ni ujinga kupingana na Keissy kwa jambo hili, hata Mimi hainiingii eti Rais wa Zanzibar awe Makamu wa Rais wakati bara hakupigiwa kura. Keissy umetisha mtu wangu.
Ova
 
hiyo katiba ya kumbe imejaa uozo kama huo! ccm kweli ni laana
 
Komaa nao Keissy. Niko pamoja na wewe, uliongea ukweli mchungu na ulizungumza kwa umakini mkubwa.
Ni ujinga kupingana na Keissy kwa jambo hili, hata Mimi hainiingii eti Rais wa Zanzibar awe Makamu wa Rais wakati bara hakupigiwa kura. Keissy umetisha mtu wangu.
Ova

Ndio sababu Tume ya Warioba ilikuja na mfumo wa serikali 3. Tanganyika iwe na serikali yake, Zanzibar iwe na yao na serikali ndogo ya Muungano yenye mambo ya muungano machache. Kama hili limekuwa shida kulielewa, tutaendelea kuongelea pumba za Rais a Zanzibar kuwa Makamo wa Rais wa Tanzania na kulalamika kichini chini kuwa tunabeba mzigo mzito(Zanzibar).

Watanganyika tunung'ang'ania Muungano. Sijamsikia Kessy akitoa Rai ya kuiachia Zanzibar ipumue kama wazanzibari wanavyodai.
 
Ama kweli ukistaajabu ya musa!
Leo ni wewe unawaunga mkono S3!! Masaa machache kwenye ule uzi wa Pasco umesema S2. Leo unashauri bunge la tatu kama Warioba, mkuu ukweli ukitimia... Ahsante Keissy unatoa majoka mapangoni.

Mkandara, kwanini hawana kazi na maana yoyote katika bunge kama anavyosema Keissy!

1. Hawana mchango katika wa fedha(siyo hadithi za Mkuu wa majeshi) katik posho na mishara yao.
Pesa hizo zinatoka hazina Dar ambako wao, kwa mujibu wa Ndulu majuzi tu hawana mchango hata senti tano.

Wanachukua milioni 15 kwa mwezi, wanaenda kutibiwa na kila mafao ikiwa ni pesa za Tanganyika kwa jina la Tanzania.
Jumla ya mishahara yao ni Bilioni 126. I mean watu 84 wasio na kazi wanalipwa kiasi hicho! Real

2. Wamekuja kutetea masilahi ya znz. Ndio maana wana 2/3. Hivyo wanapaswa kulipwa na SMZ.
Hawapaswi kulipwa na JMT kwasababu tunajua wazi hawana mchango katika hazina wala TRA.
TRA inakusanya znz na kuacha huko, hizi wanazobeba na kupora ni za TRA Tanganyika, ambayo kwa uhuni na wizi wanaita TRA Tanzania.

3. Hawana la kusema kwasababu hizi
a) Tukiongelea NECTA, wao wameondoa wana baraza lao. Hapo Dodoma hawana haki ya kuongelea mambo yetu ya elimu
b) TBS, wameondoa katika muungano, iliyobaki ni yetu wanazungumzia nini kama si umbea tu unaowasumbua
c) Mafuta na gesi walikimbia kuondoa, leo wamegundua hata pipa moja halitoshi wanakuja kuongelea isiyo wahusu
d) Waliondoa bandari ili iwe huru huko znz, leo inapokea meli 31/2 na kwa mwezi. Dodoma wanajadili bandari zetu ili iweje

Orodha ni ndefu sana na inatia kinyaa jinsi wazanzibar wanavyopora Tanganyika kwa jina la Tanzania.

Mbunge Keissy ana uchungu, maana Bilioni 126 za mishahara tu ya hao watalii wanaokuja Dodoma inatosha kumaliza tatizo la barabara na maji mkoani Sumbawanga.

Leo wananchi wa Nkasi wanalipa kodi kwenda kulipa mishahara ya watu 84 wanokuja kutetea nchi yao.

Hawa wanapaswa walipwe na SMZ ili wakija kucheza drafti wawajibike huko kwao, si kuja kulala na kuongelea mambo yasiyowahusu. Umbea tu halafu wanalipwa milioni 15/mwezi, wizi mkubwa huu.

Ngoja niwape maudhi zaidi ya hawa watalii wa Unguja na Pemba pale Dodoma.

Nchi yao ina watu 1.2M sawa na idadi ya watu wa jimbo la Ubungo au Ilala.

Wabunge wao wanawakilisha hadi watu 5,000 sawa na kata ya makurumla hapa Dar.

Mfuko wa jimbo, mbunge wa Kinodnoni, Kawe, Mpanda, Mgumu na Muheza wenye idadi ya watu si chini ya 500,000( laki tano) wanapewa pesa za mfuko wa jimbo sawa na mbunge wa znz mwenye watu (5,000) elfu tano.

Yaani mbunge wa Temeke anapewa milioni 30 sawa na wa makunduchi ambaye watu wake ni 3,000-5,000.

Kwa wale msioelewa, chuko kikuu cha Dar es salaam kina watu wengi kulliko jimbo moja la mtalii wa znz

Hizo pesa za jimbo zinatoka kodi za Watanganyika. Wao wamekataa TRA iisilete pesa bara.
Hizo zinazokusanywa bara ndizo zinaenda hazina kuwalipa hawa watalii.

Yaani chao kibaki huko, chetu ndicho tugawane kwa jina la Tanzania.
Ndio maana hawataki kusikia Tanganyika, maana Tanganyika haitatoa nafasi za wizi wa mchana namna hii. Uporaji tu

Tazama, ndani ya Baraza la wawakilishi, wao wana wajumbe 50 kwasababu hawana pesa za kulipa zaidi ya hapo.

Watalii waokuja Dodoma ni 84 kwasababu SMZ haina shida ya kuwalipa, hilo ni zigo la Watanganyika, na tunawalipa.

Huu wizi Watanganyika na hasa wabunge wa CCM wanaufumbia macho.

Kw uhalisia wabunge( watalii kwa maana halisi) wanapaswa kuja Dodoma si kwa zaidi ya siku 5.

Wasikilize bajeti ya ulinzi na usalama, mambo ya ndani na nje, naa baada ya hapo waondoke maana mengine yote wameshayakataa yasiwe ya muungano, wameyaondoa.

Hata kusikiliza ni favor maana hawajui bajeti ya wizara hizo. ZNZ haina mchango hata senti tano kumbuka.

Bila shaka Zanzibar is behaving in a more parasitic manner than a partner, it will keep on behaving so until CCM wakes up. Mkuu Nguruvi3 kinachonishangaza ni kuwa kwanini wanaCCM wanaona haya halafu wanafumba macho? Kuna kitu gani ambacho kinawafanya wawe vipofu?

Unajua mpaka sasa hakuna hoja inayotolewa ku-counter argument za wanaotaka serikali 3. Kila ninaposikia mtu anasema yeye ni muumini wa serikali mbili huwa najiuliza kama kweli yanatoka moyoni, akilini au ni kutumwa tu. Naona labda hili ndio liwe swali.

cc Mkandara Bongolander Pasco Ghibuu Barubaru MJINI CHAI Alinda Mchambuzi
 
Mkuu siyo hivyo tu, hata hoja za Keissy leo wameshindwa kujibu.

Keissy kasema Ndulu alikuwepo, Katibu mkuu fedha JMT, katibu mkuu fedha SMZ.
Ndulu kasema Zanzibar hawana mchango wa aina yoyote.
Si katibu mkuu znz au wabunge wa znz waliojibu hapana.

Keissy kasema wanakula mishahara ya Tanganyika, hadi kutibiwa wao na wake zao huko nje. Hakuna aliyejibu

Majibu yao ni haya
1. Mh Kombo, mchango wa znz ni kupoteza kiti chake UN.
Jibu: Tanganyika ilipoteza kiti UN, halafu ikatpoteza jina na utambulisho wake Duniani

2. Waheshimiwa wengine
Keissy chizi, tena Mwarabu huyo

Jibul letu: Hao waarabu wapo znz, vipi Keissy aonekane ni mwarabu tofauti na wale wa znz?
Je, Waarabu hawana haki nchi hii? Amani Karume ana damu ya Waarabu na katawala znz, leo iweje mwarabu wa Sumbawanga.

Waheshimiwa wa znz: Keissy analeta ubaguzi ndani ya bunge

Jibu letu: Ubaguzi upi uliozidi kumwita Keissy Mwarabu na Chizi.

Hawa wznz ni watu wa ajabu sana, wakati wanasema Tanganyika imevaa koti la muungano sisi tulikuwa kimya.
Wakati wanaleta madai yao ya hovyo kila mara sisi tulikuwa kimya.
Wakatuona wajinga hadi kuvunja katiba

Leo wanajibiwa wanataka kupigana, ngumi mkononi kwasababu ni ukweli mtupu hawakusingiziwa.

Ni ukweli, znz haina mchango katika muungano, wanahudumiwa wao na watoto wao, watalii wanakuja bungeni, na wale waliobaki znz wanawasha taa bure, watoto wao wanasoma bila mikopo.
Tunabeba muungano, wanapewa mishahara kutoka Tanganyika. Huo ni ukweli, ngumi zanini?

Vumilieni tuwepe dawa, mlidhani midomo inatumika hovyo.

Mkuu hawa ni parasite tu, hakuna neno mbadala.

Hao CCM wanotetea ni wasaka tonge. Wasira anaongopa eti 4.5% ni mikopo.
Yaani Tanganyika ikkokosa mikpo na misaada ina maana hakuna 4.5. Wala hakuna mahali iliposemwa ni za nini.

4.5 ni ya pato la Tanganyika. Ina maana pato likifikia Trilioni 50 bado watakula 4.5 ambayo ni kubwa kuliko bajeti yao.
Hata sasa hivi 4.5 ni kubwa kuliko mapato yao.

Tutawaambia CCM na wananch watambue anayewauza na kuuza Watanganyika ni CCM hao hao.

Hakuna aliyejibu hoja hata mmoja
 
Ama kweli ukistaajabu ya musa!
Leo ni wewe unawaunga mkono S3!! Masaa machache kwenye ule uzi wa Pasco umesema S2. Leo unashauri bunge la tatu kama Warioba, mkuu ukweli ukitimia... Ahsante Keissy unatoa majoka mapangoni.

Mkandara, kwanini hawana kazi na maana yoyote katika bunge kama anavyosema Keissy!

1. Hawana mchango katika wa fedha(siyo hadithi za Mkuu wa majeshi) katik posho na mishara yao.
Pesa hizo zinatoka hazina Dar ambako wao, kwa mujibu wa Ndulu majuzi tu hawana mchango hata senti tano.

Wanachukua milioni 15 kwa mwezi, wanaenda kutibiwa na kila mafao ikiwa ni pesa za Tanganyika kwa jina la Tanzania.
Jumla ya mishahara yao ni Bilioni 126. I mean watu 84 wasio na kazi wanalipwa kiasi hicho! Real

2. Wamekuja kutetea masilahi ya znz. Ndio maana wana 2/3. Hivyo wanapaswa kulipwa na SMZ.
Hawapaswi kulipwa na JMT kwasababu tunajua wazi hawana mchango katika hazina wala TRA.
TRA inakusanya znz na kuacha huko, hizi wanazobeba na kupora ni za TRA Tanganyika, ambayo kwa uhuni na wizi wanaita TRA Tanzania.

3. Hawana la kusema kwasababu hizi
a) Tukiongelea NECTA, wao wameondoa wana baraza lao. Hapo Dodoma hawana haki ya kuongelea mambo yetu ya elimu
b) TBS, wameondoa katika muungano, iliyobaki ni yetu wanazungumzia nini kama si umbea tu unaowasumbua
c) Mafuta na gesi walikimbia kuondoa, leo wamegundua hata pipa moja halitoshi wanakuja kuongelea isiyo wahusu
d) Waliondoa bandari ili iwe huru huko znz, leo inapokea meli 31/2 na kwa mwezi. Dodoma wanajadili bandari zetu ili iweje

Orodha ni ndefu sana na inatia kinyaa jinsi wazanzibar wanavyopora Tanganyika kwa jina la Tanzania.

Mbunge Keissy ana uchungu, maana Bilioni 126 za mishahara tu ya hao watalii wanaokuja Dodoma inatosha kumaliza tatizo la barabara na maji mkoani Sumbawanga.

Leo wananchi wa Nkasi wanalipa kodi kwenda kulipa mishahara ya watu 84 wanokuja kutetea nchi yao.

Hawa wanapaswa walipwe na SMZ ili wakija kucheza drafti wawajibike huko kwao, si kuja kulala na kuongelea mambo yasiyowahusu. Umbea tu halafu wanalipwa milioni 15/mwezi, wizi mkubwa huu.

Ngoja niwape maudhi zaidi ya hawa watalii wa Unguja na Pemba pale Dodoma.

Nchi yao ina watu 1.2M sawa na idadi ya watu wa jimbo la Ubungo au Ilala.

Wabunge wao wanawakilisha hadi watu 5,000 sawa na kata ya makurumla hapa Dar.

Mfuko wa jimbo, mbunge wa Kinodnoni, Kawe, Mpanda, Mgumu na Muheza wenye idadi ya watu si chini ya 500,000( laki tano) wanapewa pesa za mfuko wa jimbo sawa na mbunge wa znz mwenye watu (5,000) elfu tano.

Yaani mbunge wa Temeke anapewa milioni 30 sawa na wa makunduchi ambaye watu wake ni 3,000-5,000.

Kwa wale msioelewa, chuko kikuu cha Dar es salaam kina watu wengi kulliko jimbo moja la mtalii wa znz

Hizo pesa za jimbo zinatoka kodi za Watanganyika. Wao wamekataa TRA iisilete pesa bara.
Hizo zinazokusanywa bara ndizo zinaenda hazina kuwalipa hawa watalii.

Yaani chao kibaki huko, chetu ndicho tugawane kwa jina la Tanzania.
Ndio maana hawataki kusikia Tanganyika, maana Tanganyika haitatoa nafasi za wizi wa mchana namna hii. Uporaji tu

Tazama, ndani ya Baraza la wawakilishi, wao wana wajumbe 50 kwasababu hawana pesa za kulipa zaidi ya hapo.

Watalii waokuja Dodoma ni 84 kwasababu SMZ haina shida ya kuwalipa, hilo ni zigo la Watanganyika, na tunawalipa.

Huu wizi Watanganyika na hasa wabunge wa CCM wanaufumbia macho.

Kw uhalisia wabunge( watalii kwa maana halisi) wanapaswa kuja Dodoma si kwa zaidi ya siku 5.

Wasikilize bajeti ya ulinzi na usalama, mambo ya ndani na nje, naa baada ya hapo waondoke maana mengine yote wameshayakataa yasiwe ya muungano, wameyaondoa.

Hata kusikiliza ni favor maana hawajui bajeti ya wizara hizo. ZNZ haina mchango hata senti tano kumbuka.

cc Mkandara Bongolander Pasco MJINI CHAI Alinda Mchambuzi
Unaonaje pia wabunge wa Tanganyika walipwe kwa mujibu wa mchango wa majimbo yao kwenye pato la Taifa au kodi? Au walipwe kwa uwiano wa idadi ya watu wanaowakilisha?
 
Last edited by a moderator:
Hivi hawa jamaa wakiambiwa ukweli wao wanajiandaa kupiga mtu.Haya wako kwetu Dodoma wanataka kupigana ingekuwaje hilo bunge lao la kijani na vikaragosi vyao Mrema Dovutwa na Cheyo vikao vyake vingefanyika Zanzibar si wangelipua mtu kabisa.Wanajifanya wana hasira wakati wanapewa ukweli live.Wameze wateme shauri yao.Bravo brother Kessy
 
Watanganyika tusiojinyanyapaa, tunataka nchi yetu Tanganyika.
Ee Mola wangu, wainue watetezi wengi kuliko mbunge Kessy !
 
Jana ndipo nimekuja kugundua kodi zetu tunazokatwa huku tunalisha familia nzima ya mbunge wa Zanzibar ndio maana wakija huku wanakuwa wanaufyata ila wakiwa kwao wanakuwa wakali balaa.

Hii ni rushwa kama zingine,sijajua Tanganyika inapata nini kwa kutoa rushwa hii kwa miaka nenda rudi!!
 
Ndugu Zangu ,sifa walizo mwagiwa wabunge kutoka Zanzibari na Ndgugu A Keissy sio matusi au kashifa kama inavyo ongelewa ndani na nje ya bunge ,kabla sijalizungumzia hili nitapenda kutowa mifano hai ya familia nyingi za kizanzibari ambazo jamaa zao wapo hasa warabuni wamekuwa wakiishi katika maisha kama aliyoyaeleza Ndugu Keissy katika bunge ni kweli tupu maisha ya jamii kubwa kule zenj wamekuwa wakiishi hivyo kupokea pesa au vitu muhimu kutoka kwa familia zao zilizopo nje utamaduni wao wa kuzaliwa nao ,sasa inapokuja aliyoyasema Ndugu Keissy zile zilikuwa ni sifa kwa wabunge wa kizanzibari na wengi wao hujisifia hilo kwa wake zao na familia zao kuwa wanakwenda bara kuchota mtaji sio aibu kwao mwanamume anahudumiwa yeye na mkewe na watoto kama tunavyo wahudumia wabunge wao na ndio hilo lilizo elezwa ndani ya bunge ,hao watu ni watu wa mtelezo jamii imekulia katika hali hiyo usitegemee wabunge wao wabadilike na ndio leo hii tunashuhudia wamekuwa mstari wa mbele kukwamisha maendeleo, uvivi wa akili zao imepelekea hao waitwao wabunge kutoka zanzibar kuwa na akili za kuchangiwa , jana leo hii ndugu Ali Keissyi ameliweka bayana lakini hao viumbe wameweka pamba za masikio as long mrabo kutoka Tanganyika unaingia katika mikono yao binafsi.

Sasa na wewe umechangia kitu gani!!??? Kosa limo wapi kwa Mimi kupata msaada kutoka kwa ndugu yangu Wa damu ikiwa anao uwezo wa kufanya hivyo!?

Ikiwa nyinyi watanganyika utamaduni wenu ni kutomsaidia mwenzake hasa ndugu yake na uwezo Wa kufanya hivyo anao si muendelee nao tu!! Au mnataka na wazanzibar nao wawe na roho mbaya hata kwa ndugu zao!? Huachi wewe!!
 
Asante Mh. KEISSY kwa kutufungua sisi wa Tanganyika. Tafadhali endelea kutuamsha. Nilikuwa sifahamu ya kuwa Zanzubar ambayo ni ndogo kuliko DSM na ina watu wachache kuliko vDSM ina wabengu 83 kwenye bunge la jamhuri. Wakati DSM inawabunge 5 wa kuchaguliwa. Sina uhakika kama wa viti maalumu wanafika 10. Sasabu wao hawalipi gharama za bunge la jamhuri ndio maana kila siku wanazid kuongeza majimbo. Ukweli mchungu ila ujumbe umefika
We unaongelea Dar.....nikubwa sana kwao....chukua mfano wa Mkuranga tu nayo pia inaweza kuwazidi.....Mhs.Kessy huyu huyu alishatuambia nchi gani unaweza kusimama katikati ukawaita wote kwa filimbi.....tena hata mluzi tu unawatosha tukikata umeme wetu wa Tanesco...Wanafiki wakubwa hawa...ooh Tanganyika inatubana sasa mbona mtu akiwashupalia muondoke mnataka kurusha ngumi...ooh sisi ndugu...huyo mwarabu...sasa mwaka huu mtatutambua mpaka na wamakonde kudadadeki zenu!
 
Back
Top Bottom