Jamaa hamwachii mkuu ndio maana wanatangaza tufunge mkanda sijui wana matatizo gani yaani wapo radhi Tanzania nzima tupate matatizo ila sio kukaa na Umoja wa Ulaya kukubali matakwa ambayo ni faida kwa Watanzania wote harafu wao wanaopata vitu bure wanatutangazia tufunge mkanda..Mimi barua zenu sizijui zaidi ya Commonwealth.
Ninachojua zimebaki siku 8 lissu aachiwe.
Asanteni sana wazungu
DevilNoted
Hata mimi nahisi hivi. Kwa sasa tuupe muda nafasiAll I know mwisho mfumo utashinda. Ukichakata mapito ya Taifa hili inawezekana kinasukwa kitu ambacho hakuna atayekuja kutikisa Taifa kwa miaka 50 ijayo. Hizi sarakasi ni za uchungu wa kuzaa lakini atatoka mtoto wenye siha njema ..... I believe tutabaki na Taifa imara.
Kikwete utadhani kama si Mtanganyika, yaani unaenda kumweka Mzanzibari awe rais wa Watanganyika kweli?All I know mwisho mfumo utashinda. Ukichakata mapito ya Taifa hili inawezekana kinasukwa kitu ambacho hakuna atayekuja kutikisa Taifa kwa miaka 50 ijayo. Hizi sarakasi ni za uchungu wa kuzaa lakini atatoka mtoto wenye siha njema ..... I believe tutabaki na Taifa imara.
Nasikia hivo pia aliyeenda Zanzibar miaka 5 ilopita ni tofauti kubwa sana na ya sasa, wametoa wapi pesa?Kikwete utadhani kama si Mtanganyika, yaani unaenda kumweka Mzanzibari awe rais wa Watanganyika kweli?
Zanzibar inajengwa sana kipindi hiki kuliko wakati wowote ule,
Wewe unajua lipi?Huna unachojua chochote ila unatembea na upepo tu kwa kuhisi mambo yalivyo hivi sasa hilo laweza tokea.
Ni kweli, kwa upande mmoja tunaweza kumlaumu huyu, lakini tukumbuke JK ni mmoja tu, tulio wengi ndo wenye nguvu ya kukataa ujinga huo. Sisi watanganyika ndo tumelala usingizi mzito. Siyo kwamba hatuwezi, tunaweza vizuri kabisa. Shida kubwa inayotukumba ambayo hata madhalimu yanatumia kutukandamiza ni ujinga wetu, kutojitambua kwetu, umaskini na woga wetu.Kikwete utadhani kama si Mtanganyika, yaani unaenda kumweka Mzanzibari awe rais wa Watanganyika kweli?
Zanzibar inajengwa sana kipindi hiki kuliko wakati wowote ule,
Wakati Mwingulu akiwa waziri wa fedha deni la taifa liliongeza kasi ya kupanda ya 5G, hii ni kwa sababu Bi Msumi anajua akikopa Bilioni 500 Zanzibar nayo ina fungu lake kwenye huo mkopo, baada ya Mwingulu sasa kamweka Mzanzibari mwenzake wizara ya mambo ya nje ili senga la asali Zanzibar izidi kufaidika.Nasikia hivo pia aliyeenda Zanzibar miaka 5 ilopita ni tofauti kubwa sana na ya sasa, wametoa wapi pesa?