britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 18,029
- 46,326
- Thread starter
- #201
NaanWew jamaa inakuwaga na info ..hata Samia naye anajiuzulu ama?
NaanWew jamaa inakuwaga na info ..hata Samia naye anajiuzulu ama?
NCHIMBIMkuu barua ya nini tena tujuze.
Kete ya wazalendo imeliwa, kuna kete gani tena kwa wapenda Taifa na rasilimali zake?NCHIMBI
Kama utani vile ila Dah😂Haha
Kwisha Amna jipya tena tuendelee kusubiri miujiza ya wagaratiaKete ya wazalendo imeliwa, kuna kete gani tena kwa wapenda Taifa na rasilimali zake?
Kwan anatumia uchawi gan yeye na kikwete kushinda kila pambano.Naan
Hyo labda Mungu ndo aamueWew jamaa inakuwaga na info ..hata Samia naye anajiuzulu ama?
Uko wapi ukubwa tunaoambiwa RC?Kwisha Amna jipya tena tuendelee kusubiri miujiza ya wagaratia
sasa umeelewaUandishi wa hivi muwe mnatumiana sms inbox sasa "tayari huko" ndo nini 😏😏
Njoo ujipinge LamomySiku hizi huna habari nyeti umepwaya
Ndo nilikua natafuta kwenye noticification nipate huu uzi nisome tena 😂😂sasa umeelewa
Sawa mkuu humu tuko kama vidole....hatulinganiNdo nilikua natafuta kwenye noticification nipate huu uzi nisome tena 😂😂