Keep waiting , Barua ishaandaliwa

Keep waiting , Barua ishaandaliwa

4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU KUTOKA COMMONWEALTH CMAG(The Ultimatum)

Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:

Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.

Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.

Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.

Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.

MWISHO WA UBAYA NI AIBU
Hapo mwisho bila kuchelewa!

Uchunguzi huru,

Ikitokea baada ya uchunguzi kiwa huru then ikaonekana yalikua maagizo kutoka juu!

Je huko juu kutatiwa hatiani!!?

Au ndio maana nimeshaanza kuona post kule Facebook kwamba;-

1.natamani siku ziishe nipumzike!!
2.kimataifa tunasifiwa tatizo ni humu ndani!
3. Tutamkumbuka mama kwa mazuri mengi!!

Ndio kusema desert mission imeiva au!!?

Ndio kusema Lisu akitoka atakinukisha zaidi na wote tutaimba wimbo wa katiba mpya ama sivyo !huku makam akisapoti au yeye ndio atapewa asimamie!!?

Hebu jazia nyama hapo!!
 
Back
Top Bottom