Kazi

Mwakijj

New Member
Oct 10, 2011
2
0
Why vijana wngi walio hitimu elmu ya juu kupa kwao kaz ina kua inshu embu waziri wa ajira litazame hili zen 2pelekee kwa ofis za TAMISEM mmja kwa mja ili na cc 2weze ajiliwa
 
Kwa uandishi huo hakuna mtu atakayekuajiri
 
Why vijana wngi walio hitimu elmu ya juu kupa kwao kaz ina kua inshu embu waziri wa ajira litazame hili zen 2pelekee kwa ofis za TAMISEM mmja kwa mja ili na cc 2weze ajiliwa

Mkuu,kwanza karibu sana JF.
Pili,uandishi huo wa vifupisho vya kwenye meseji haviruhusiwi hapa.
 
Tatizo mnataka kukalia viti ofisin,mi mwenyewe ulikua ndo mkakati wangu lakini nimechemsha nikaamua kubadilika na sasa kupata mafanikio, ni hayo tu!
 
Back
Top Bottom