Natengeneza magari, kama gari lako lina tatizo lolote niletee tulirekebisheTuanze na wewe umefanya nini ? au we huna elimu mkuu
Kwani mwenye PhD ya sheria anaweza kufanya upasuaji wa moyo?Nenda pale hospitali na hiyo elimu ya darasa la saba ukafanye kazi ya upasuaji wa moyo.
Inamsaidiaje kufanya maajabu na dunia ikatambua huyu ni msomi na anajua alichokisomea?Kwani mwenye PhD ya sheria anaweza kufanya upasuaji wa moyo?