Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,156
- 55,656
Wengi tumeenda vyuo tukasoma na kutunukiwa vyeti mbalimbali; ila ukiulizwa hiyo fani ulioisomea unatakiwa ufanye nini, unashindwa kujieleza au kuonyesha kwa vitendo namna elimu ulioipata huko vyuoni inavyoweza kutatua changamoto zilizopo.
Mwingine atasema nimesomea IT, Computer sayansi, Biashara n.k; sasa tueleze, katika hiyo fani yako unaweza kufanya nini cha ajabu ili Dunia ijue, ulichokisomea unakitendea haki?
Wengi tunakimbilia kwenye koneksheni,uchawa n.k kwa sababu tulienda shule na hatujui tulichokisomea.
Kama wewe unaelewa ulichokisomea shuleni/vyuoni, tuonyeshe kwa vitendo unaweza kufanya nini cha ajabu, ambacho mtu wa darasa la saba hawezi kufanya.

Karibuni kwa mjadala.