Si sahihi na ninakupinga kwa hili 100%Toa pesa hii ni Africa hakuna kazi za Bure vitengo maarufu.
Hivi kugombania Malaya tu ndiyo justification kuwa TISS Agents hawana Maadili?TISS ya Tanzania hovyoo sana haina maadili wala nidhamu. Nenda 4 Ways Kinondoni uone wanavyogombania malaya. Uchumi, utawala etc they are useless.
Povu ruksaaa
Hamna kutoa hongo, hii kazi ni ya kipekee, hata huyo aliyekwambia utoe pesa hayupo huko amekuchota tu....Jamani mwenye clue na hili tusije kupigwa maana ni mpunga mrefu tunaambiwa tutoe kazi ipatikane.
Je, kuna ukweli?
Mapungufu machache ya Kiutendaji hayaepukiki katika Idara ( Taasisi ) yoyote ile kwani hata huko CIA na MOSSAD nako pia kuna 'some rotten Agents' kama waliopo TISS ila haihalalishi kuwa Ofisi nzima na Watendaji wake hawafai.Kutoa vitambulisho kwenye baa ni upumbavu.
Ila kwa namna fulani una hoja maana hii idara yetu ya sasa mhhh.
Lakini lazima sote tuamini kuwa wapo maofisa nguli na wale welevu kabisa trust me.
Waliotoa mpunga kisha wakaingia huko ndo wanaoisumbua jamii kwa dirty job sasaJamani mwenye clue na hili tusije kupigwa maana ni mpunga mrefu tunaambiwa tutoe kazi ipatikane.
Je, kuna ukweli?
Ila we popoma Kila siku unajinasibu kuwa jasusi la kagame Sasa tiss inakuhusu nini?Mapungufu machache ya Kiutendaji hayaepukiki katika Idara ( Taasisi ) yoyote ile kwani hata huko CIA na MOSSAD nako pia kuna 'some rotten Agents' kama waliopo TISS ila haihalalishi kuwa Ofisi nzima na Watendaji wake hawafai.
Tuwe na Heshima kidogo na hii Idara kwani pamoja na kwamba ina Udhaifu wa hapa na pale ( ambao hata hivyo unafanyiwa Kazi na Kudhibitiwa ) ila imefanya Kazi kubwa na bado inaendelea kufanya Kazi kubwa ya Kiusalama ndani na nje ya Tanzania japo tunaweza tusione au tusiligundue hilo.
Ni kweli wapo vijana wengi wameingia JWTZ, TISS, POLICE lakini hiyo michongo ilipitia kwa wakubwa flani maana tatizo unaweza kukutana na tapeli ukaliwa hela na jamaa usimwone tena.wengi mbona wameingia kwa rushwa wengi... TISS ,JWTZ au Polisi.
Wengi sana
Kama huyo mtu unamwamini mpe tu maan sahv jwtz na Tiss wanachukua watu kimyakimya hutokaa uskie wametangaza kama ilivy vitengo vingine mfano mwez ulopita nyuma kuna gazet nliona polisi,magereza,zimamoto na uhamiaji wanataka idad fulan ya watu wajiunge.
Na Hadi leo sijackia kiliendelea nn lakn JWTz na TISs hawakutangaza kabisaaaa na hata wanaoenda kozi uwa kimykimy sana. Cha kukushaur fanya kama unafumba macho tu mpe anachotaka kikubwa umri wako uwe sio juu ya 25 usiwe umeoa/kuolew.
Kingine rekodi safi ya uhalifu na usiwe na makosa kwn naskiaga wanakuchunguza kwanzia chini yaan uliposoma na history yako kubwa zaidi tunza damu yako iwe swafi na swalama.
Asubuh njema
Tapel nan Sasa mkuu mm au??mmpe na namba yako kabisa akutafute! Tapeli mkubwa wewe!
Siongei sana ila unatakiwa uwepo sehemu ambayo wao watakuona hizo shemu kuingia ndio utajua hujui.Si sahihi na ninakupinga kwa hili 100%
WeeeeeeJamani mwenye clue na hili tusije kupigwa maana ni mpunga mrefu tunaambiwa tutoe kazi ipatikane.
Je, kuna ukweli?
Emb toa namba kwa dm kama huwezi kuli pa SS tt lpNi mfanyakaz huko TISS
M 9Ni kweli kabisa kuna mtu hadi M9
Ngj niende hapo huenda na connection zipo hkoTISS ya Tanzania hovyoo sana haina maadili wala nidhamu. Nenda 4 Ways Kinondoni uone wanavyogombania malaya. Uchumi, utawala etc they are useless.
Povu ruksaaa
Kaa mbali na matapeli kijanaJamani mwenye clue na hili tusije kupigwa maana ni mpunga mrefu tunaambiwa tutoe kazi ipatikane.
Je, kuna ukweli?